Dr. Slaa afunga Ndoa na Josephine Mushumbusi Ughaibuni

Dr. Slaa afunga Ndoa na Josephine Mushumbusi Ughaibuni

Tangu dr mihogo alivyo amua kuasi cdm sababu ya fweedha za ccm ndio siku hiyo akili ilipo hama kutoka kichwani mwake
Huna lolote......Dr atakuoa ili uwalee watoto wake unaowaonea huruma
 
Nikisoma comments za watu wanaoongea negative kuhusu mtu kufunga ndoa inanishangaza sana

Kisaikolojia naona dalili za wivu tu hakuna kingine

That's just how losers and mediocres console themselves

You should face your own life if you have one

Wengine watakuja hapa kulalamika mbona hajafungia nchini kama wale waliolialia kwenye thread ya jana usiku

Hii tabia ya kuzamia kwenye sherehe za watu ipo Tanzania tu.Dunia haiko hivyo

Tubadilike tuache majungu,Wivu na Chuki.

It will cost you nothing kutoa maneno ya Baraka kwa mwenzako aliyetenda jambo la kheri

Who the hell are you to judge others?

Tena wengine kama huyu anamtaja "mungu" wake kwa kumuandika kwa kuanza kwa Herufi ndogo,unafiki tu wa kutaka kuonyesha kuwa sisi tunamjua Mungu zaidi kuliko wengine.

Get a life !
Naungana na wewe 100%
 
......alieuacha upadri.....akavunja nadhiri ya upadri wake aliowekewa mikono na mapadri......akashindwa kuuvumilia upadri.....akafanya unyanganyi ....hatimaye ....akaoa......mungu amsimamie.....!?
NI WAPI MUNGU AMEWEKA NADHIRI YA UPADRI KWENYE BIBLIA? KUACHA UPADRI NA KUOA NI UAMUZI BINAFSI, MAHUSIANO YA DR. SLAA NA MUNGU NI YAKE BINAFSI. ASIHUKUMIWE NA WATU.
 
kuna wengi wanaomponda lakini kiukweli wengine hata ndoa hawajafunga,wengine wamefunga lakini ndoa zao zina matatizo kibao wengine wako kwa wazazi ambao ndo zao zina matatizo kabla ujamshambulia mwenzako jiangalie na wewe
 
What's the big deal?

Watu wameamua maisha yao kwa faida yao na watoto wao.

Stop poking your nose into their family affairs.

Kudos...!

I appreciate and respect your words of Wisdon.

They should mind their own business only if they have one.

They should stop hating,wajifunze kuongea maneno ya Baraka kwa wengine

Wengine wanatoa povu sijui wameathirikaje watu kufunga ndoa. Ridiculous !
 
......alieuacha upadri.....akavunja nadhiri ya upadri wake aliowekewa mikono na mapadri......akashindwa kuuvumilia upadri.....akafanya unyanganyi ....hatimaye ....akaoa......mungu amsimamie.....!?

Kama alishindwa kukaa na Mungu ndiyo atakaa na huyo bibie!!
Juzi tumesikia wanachangishana fedha kwaajili ya ku-redeem nyumba yake iliyonadiwa, leo anatanua ughaibuni
Ama kweli, kuna aina nyingi za usaliti, kumbe Tanzania si kwao maana wameona hapafanani kufungia arusi ila kwa wenzetu ughaibuni ndiko kunafaa
 
Ahaaa ht mi mkatoliki! Kufunga ndoa katoliki haimaanishi ni takatifu, ht madhehebu mengine yana ndoa takatifu!

Hoja yangu ni kuwa ndoa takatifu ni ile ambayo ni mpango wa Mungu, Kwahiyo unaweza ukafunga ndoa popote iwe katoliki au popote na isiwe mpango wa Mungu! Nina mifano kibao ambao walienda kwa waganga na wakafunga ndoa madhabahuni katoliki nk. Huwezi kuniambia ni mpango wa Mungu huo, au ni ndoa takatifu hiyo!!

Utakatifu wa ndoa hauletwi na dini /dhehebu Bali na Mungu /Yesu mwenyewe....

Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe..... Unfortunately nyingine zimeunganishwa na wanadamu sio Mungu.

Mkuu, nimesemea taratibu za kikatoliki tu. Madhehebu mengine yana taratibu zake, na yanajua yenyewe misimamo yao kuhusu ndoa. Hakuna ndoa ya kikatoliki ambao si takatifu. Na ninasisitiza neno TAKATIFU kwa sababu lina maana kubwa sana kwa imani yetu. kwa hiyo unaposema........"Kufunga ndoa katoliki haimaanishi ni takatifu, ht madhehebu mengine yana ndoa takatifu!" haya ni maneno na imani yako na si ya imani ya kikatoliki. Kama wewe ni Mkatoliki, basi nakualika tena uisome vizuri Katekesi na uyafuatilie vizuri mafundisho ya kanisa letu. Dr. Slaa analijua sana fundisho hili kwa sababu ni padri, na bila shaka ndiyo maana ameamua kufunga ndoa kwingine. Zaidi ya hapa, mimi ni nani? ninakuacha uamini kile unachoona ni sahihi kwako...
 
Mijitu inatokwa povu hapa utafikiri yenyewe ndoa zao ziko imara..

Kumbe ukute inagongewa kila siku
Kugongewa ni kwa kila mmoja. Unajuaje labda na wewe unagongewa au baba yako anagongewa. La kugongewa liache, kama siyo wewe basi baba yako anagongewa, huwezi kujua
 
Mkuu, nimesemea taratibu za kikatoliki tu. Madhehebu mengine yana taratibu zake, na yanajua yenyewe misimamo yao kuhusu ndoa. Hakuna ndoa ya kikatoliki ambao si takatifu. Na ninasisitiza neno TAKATIFU kwa sababu lina maana kubwa sana kwa imani yetu. kwa hiyo unaposema........"Kufunga ndoa katoliki haimaanishi ni takatifu, ht madhehebu mengine yana ndoa takatifu!" haya ni maneno na imani yako na si ya imani ya kikatoliki. Kama wewe ni Mkatoliki, basi nakualika tena uisome vizuri Katekesi na uyafuatilie vizuri mafundisho ya kanisa letu. Dr. Slaa analijua sana fundisho hili kwa sababu ni padri, na bila shaka ndiyo maana ameamua kufunga ndoa kwingine. Zaidi ya hapa, mimi ni nani? ninakuacha uamini kile unachoona ni sahihi kwako...

Nasisitiza utakatifu sio dini, ngoja niishie hapa.... Coz hatuwezi kuelewana hence ww umebase kwny dini mi sipo huko! All is well mkuu!

Mkuu nilishasoma na mafundisho yote kuanzia komunio ya 1mpk kipaimara naelewa sn!
 
mtampenda2 slaa wake...
mama atambadilisha na kuwa yankii...
IMG_20160303_061951_739.JPG

12814712_799875423489394_8739784274968688284_n.jpg
 
Hongera zake,
Hongera dokta kwa kuanza kula tunda la mti wa katikati kihalali
 
Mkuu sio kila ndoa ni mpango wa Mungu ht km imefungiwa kanisani!
Mipango ya ndoa ni matakwa ya miili yetu Bali Mungu humheshimu maagano tuyafanyayo katikati ndoa.
Mungu hujawahi kupanga ndoa yoyote Bali alimpa Adam coz aliona anahitaji
 
Ndoa ni makubaliano ya watu wawili, kuhus kanisan ni kuthibitisha tu, hao walishaamua na walishaoana kitambo tangu day one walivyo sex.. hongera Dr, ss hv uache siasa kikwelii usijishushie heshima zaid kaa tunza familia. Mungu awabarikini sana
 
Back
Top Bottom