Hivi kwanini watu waliosoma seminary hasa katoliki huwa mara nyingi hawapati wenza sahihi, au hawajui kuchagua wanawake wa kuishi nao? Nasema kitu ambacho nimefanya utafiti kwa zaidi ya watu 37 waliosoma seminary!
Unategemea, kama walifunga ndoa na Rose basi hii ni batili na anazini tu au kama hyu mama walifunga ndoa na mshumbushi basi hapa naye azini
Unategemea, kama walifunga ndoa na Rose basi hii ni batili na anazini tu au kama hyu mama walifunga ndoa na mshumbushi basi hapa naye azini
Mkuu sio kila ndoa ni mpango wa Mungu ht km imefungiwa kanisani!
Ni kwasababu ndani ya katoliki. Ndoa Ni moja tu hufungwa, mpaka kifo kiwatenganishe.Mkuu, ndoa za kanisa katoliki ni takatifu, na hakuna ndoa ya kikatoliki ambayo si takatifu. Huwezi kufunga ndoa ya kikatoliki na kisha ukasema haikuwa mpango wa Mungu. Naomba tu nikusahihishe kwa sababu mimi ni Mkatoliki. Hayo ndiyo mafundisho na imani yetu.
Kaolewe wewe basi uwasaidie hao watotoNawaonea huruma watoto wa dr mihogo maana huyo mushumbusi hata waacha salama kufaidi kiinua mgongo cha mihogo kutoka ccm
Hiyo tabia unayo wewe maana baada ya kufurumushwa kutoka cmd ukaenda act na ccm,kiwavi mkubwa weweKaolewe wewe basi uwasaidie hao watoto
Unafaa kuwa mke wa pili wa Dr Slaa....Hilo shati la bluu Dr. Slaa analipenda sana.
Tangu dr mihogo alivyo amua kuasi cdm sababu ya fweedha za ccm ndio siku hiyo akili ilipo hama kutoka kichwani mwakeNi kwasababu ndani ya katoliki. Ndoa Ni moja tu hufungwa, mpaka kifo kiwatenganishe.
Ndoa ya namna hii ni ndoa takatifu .
Ndo hii inapofungwa haitambui talaka.
Napata Shida kama ndoa ya dokta slaa vigezo na masharti vimezingatiwa
Technically yeahMzee alivyo muongo utakuta amewadanganya wazungu kuwa hajawahi kuwa na mke ili wamfungie hiyo ndoa.
Naona wewe ndiye mlinzi uliye mbebea begi lake siku amefukuzwa na mushumbusiWhat's the big deal?
Watu wameamua maisha yao kwa faida yao na watoto wao.
Stop poking your nose into their family affairs.
Mkuu, ndoa za kanisa katoliki ni takatifu, na hakuna ndoa ya kikatoliki ambayo si takatifu. Huwezi kufunga ndoa ya kikatoliki na kisha ukasema haikuwa mpango wa Mungu. Naomba tu nikusahihishe kwa sababu mimi ni Mkatoliki. Hayo ndiyo mafundisho na imani yetu.