Dr. Slaa afunga Ndoa na Josephine Mushumbusi Ughaibuni

Dr. Slaa afunga Ndoa na Josephine Mushumbusi Ughaibuni

Huyu nae, sasa kwanini hakufungia Tanzania????
Jipu! jipu! jipu!
 
Nikisoma comments za watu wanaoongea negative kuhusu mtu kufunga ndoa inanishangaza sana

Kisaikolojia naona dalili za wivu tu hakuna kingine

That's just how losers and mediocres console themselves

You should face your own life if you have one

Wengine watakuja hapa kulalamika mbona hajafungia nchini kama wale waliolialia kwenye thread ya jana usiku

Hii tabia ya kuzamia kwenye sherehe za watu ipo Tanzania tu.Dunia haiko hivyo

Tubadilike tuache majungu,Wivu na Chuki.

It will cost you nothing kutoa maneno ya Baraka kwa mwenzako aliyetenda jambo la kheri

Who the hell are you to judge others?

Tena wengine kama huyu anamtaja "mungu" wake kwa kumuandika kwa kuanza kwa Herufi ndogo,unafiki tu wa kutaka kuonyesha kuwa sisi tunamjua Mungu zaidi kuliko wengine.

Get a life !
 
......alieuacha upadri.....akavunja nadhiri ya upadri wake aliowekewa mikono na mapadri......akashindwa kuuvumilia upadri.....akafanya unyanganyi ....hatimaye ....akaoa......mungu amsimamie.....!?
Mbona wapo wengi walioacha na kuoa? Tukiacha mambo ya Siasa, nampongeza Dr. Silaa kwa kuwa mkweli, maana aliona kuliko kuishi ktk dhambi ya uzinzi huku akijiita Padri ni bora kuacha na kuoa.
 
Giant men wengi ni victim wa kuangushwa na wanawake.angalia
Samson na Delila
Daudi na Berthsheba
Solomon na wanawake wake (Queen of Sheba nk)
Adam na Eva
Clinton na Monica Lewisky ....
udhaifu mkubwa wa mwanaume upo kwenye sehemu zake za siri I guess...


Teh teh teh. Hii kitu hii kituu hiii kitu hiii!!. Hii ilianza tangu uumbaji Adam na Hawa. Mwanamke anaushawishi mkubwa katika maisha na mahusiano.
 
kama hakuwa tayari kumtumikia mungu wetu aliingiaje upadriii....!?/
kila mahala pana miiko yake!
mf.huwezi oa dada yako nani mwiko!
*kukiuka miiko tena mbaya zaidi ya kiongozi wa kiimani!/
mungu wetu amsamehe.
 
kama hakuwa tayari kumtumikia mungu wetu aliingiaje upadriii....!?/
kila mahala pana miiko yake!
mf.huwezi oa dada yako nani mwiko!
*kukiuka miiko tena mbaya zaidi ya kiongozi wa kiimani!/
mungu wetu amsamehe.
Unazijua vizuri taratibu za kuacha kutoa huduma ya Upadri kanisa Katoliki? Hebu tuwe tunauliza basi
 
Hi!! Kumbe muda woote alikuwa anazini tu, na uzee wote ule!
 
Back
Top Bottom