Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

kutwa nzima nimesoma habari za watoa rushwa tu , angalau sasa naweza kupata usingizi baada ya hii habari ya mkombozi mkuu na kiboko ya wezi na mafisadi , Mungu akulinde sana Dr slaa , wewe ndio tegemeo la nchi hii .
umenigusa mkuu
 
Huyu ndie mtu tunayemwamini watanzania wenye akili.....sio yale mafisadi ya CCM!!
 
Daaaah!! Hii waswahili wanasema ugali moto mboga moto. Kule Mbowe huku Slaa pale Lissu hapa Lema mamaaaaaa!!! CCM hawachomoki awamu hii
Hatareeeee sanaaa hawa watu yaani hii speed ni unstoppable tangu 2010
 
dr.slaa lini mkoa wa ruvuma? wilaya za mkoa ule zimelala sio mbinga wala namtumbo. afadhali kidogo nyasa na songea mjini. tumeni makamanda wakaamsheamshe....
 
Alishawahi kuongoza nini hadi apewe majukumu ya kuongoza wtz ml50 ?tafadhalini tusiwadharau wtz kwa kufanya majaribio ya kipuuzi kumweka slaa au mbowe ni aibu
 
Daaaah!! Hii waswahili wanasema ugali moto mboga moto. Kule Mbowe huku Slaa pale Lissu hapa Lema mamaaaaaa!!! CCM hawachomoki awamu hii



Kamanda nakwambia hawa mizigo maccm wakichomoka naenda south sudan kuomba uraia daaadekiii!!!!
 
Alishawahi kuongoza nini hadi apewe majukumu ya kuongoza wtz ml50 ?tafadhalini tusiwadharau wtz kwa kufanya majaribio ya kipuuzi kumweka slaa au mbowe ni aibu

Huyo EL aliejaribu kuongoza akashindwa Mbona mnampigia Debe?
 
Back
Top Bottom