Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

watalamu wanakwambia mwanaume yeyote anaendekeza wanawake ni zaifu na hawezi kuwa na maamuzi magumu,kama unabisha muulize DR, MWAKA, mtaalam wa seikolojia atakwambia. babu hatoshi.
Dr. Mwaka ndio amekuwa point of reference??! Ama kweli watanzania tunatisha
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kesho anaanza ziara rasmi ya nyanda za juu kusini itakayomfikisha katika mikoa ya Mbeya,Rukwa na Katavi.

Taarifa iliyothibitishwa na msemaji mkuu wa CHADEMA Tumaini Makene inasema kiongozi huyo maarufu nchini atafanya mambo makubwa matatu katika ziara hiyo ambapo ni kukagua zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa njia ya BVR,kukagua shughuli mbalimbali zinazofanywa na chama na kuhutubia mikutano ya hadhara.

Kiongozi huyo atahutubia mikutano ya hadhara katika miji ya Vwawa,Tunduma,Sumbawanga na Mpanda.

Tayari matayarisho yote muhimu ya mapokezi ya kiongozi huyo yamekamilika.

huwa siamini kama CHADEMA mnataka kuongoza nchi hii kwasababu ziara zenu ni mijini tuuuuuuuuuuu na wakati mateka wa CCM wako vijijini, siku mkigundua kuwa kura nyingi zipo vijiji mtabadilika si MBOWE WALA SLAA kila siku utawasikia MUSOMA TARIME BUNDA MWANZA BARIADI MBEYA LAKINI UKO KOTE NI KWENYE MAKAO MAKUU YA WILAYA AU MIKOA yani mnakera kuliko CCM, mateka wa CCM wako vijijini mmetuchosha na mikutano ya MIJINI NENDENI VIJIJINI ama kaeni kimya MAANA HAKUNA KURA ZA KUTOSHA MJINI, watu vijijini wako tayari bila nyie kwenda, NENDENI KAWAIMARISHENI.MNAKERA MNA BOA.WATU GANI HAMSIKII USHAURI
 
Sasa wew unafikiri wana nia ya dhati mkuu , hapo kinachotafutwa ni perdiem , wamechungulia kwenye a/c. Wakagundua kuna kihela kina zagazaga kwa hiyo kwa hiyo ni swala tu la kikitafutia kijishughuli cha kishikaji tu ili kiandikiwe VOCHA elewa hivyo
 
Ni maneno makali na yenye uchungu lakini tunayachukulia kwa uzito unaostahili...
 
Sasa wew unafikiri wana nia ya dhati mkuu , hapo kinachotafutwa ni perdiem , wamechungulia kwenye a/c. Wakagundua kuna kihela kina zagazaga kwa hiyo kwa hiyo ni swala tu la kikitafutia kijishughuli cha kishikaji tu ili kiandikiwe VOCHA elewa hivyo

Ukizoea ufisadi unafikiri kila mtu nifisadi
 
Back
Top Bottom