Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

mkuu watanzania kutafanya kosa sana kama watu waadilifu kama hawa tukiwachezea na kuwapa watu hatima ya nchi yetu mafisadi hakika tutajuta sana
ni hivi , wananchi tumekubalia kuitoa nchi hii kwenye mdomo wa mamba .
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kesho anaanza ziara rasmi ya nyanda za juu kusini itakayomfikisha katika mikoa ya Mbeya,Rukwa na Katavi.

Taarifa iliyothibitishwa na msemaji mkuu wa CHADEMA Tumaini Makene inasema kiongozi huyo maarufu nchini atafanya mambo makubwa matatu katika ziara hiyo ambapo ni kukagua zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa njia ya BVR,kukagua shughuli mbalimbali zinazofanywa na chama na kuhutubia mikutano ya hadhara.

Kiongozi huyo atahutubia mikutano ya hadhara katika miji ya Vwawa,Tunduma,Sumbawanga na Mpanda.

Tayari matayarisho yote muhimu ya mapokezi ya kiongozi huyo myamekamilika.
mkuu molemo hakikisha unawasiliana na kamanda Stand alone aliye kwenye ujumbe huo mzito atuletee kila kinachojiri .
 
Last edited by a moderator:
BABU msafisha njia tu wataaza kuingia ikulu kati ya MBOYE au MBATIA basi,ajiandae kuingia kwenye kundi la mtei hasiye taka basi.
 
updates zinatakiwa , watanzania wanataka kujua , huyu mtu kiboko ya wezi na mafisadi anaongea nini leo?

Hana lolote ameishindwa karatu tangu akiwa mbuge imejaa wizi,ubaguzi,ukiritimba na unafiki aje aweze nchi nzima ni ndoto, tena huyu loverbabu ataoa watumishi wote wakike ikulu.
 
BABU msafisha njia tu wataaza kuingia ikulu kati ya MBOYE au MBATIA basi,ajiandae kuingia kwenye kundi la mtei hasiye taka basi.

Mboye ni kitu gani? Kajifunze kiswhili kwanza...
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kesho anaanza ziara rasmi ya nyanda za juu kusini itakayomfikisha katika mikoa ya Mbeya,Rukwa na Katavi.

Taarifa iliyothibitishwa na msemaji mkuu wa CHADEMA Tumaini Makene inasema kiongozi huyo maarufu nchini atafanya mambo makubwa matatu katika ziara hiyo ambapo ni kukagua zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa njia ya BVR,kukagua shughuli mbalimbali zinazofanywa na chama na kuhutubia mikutano ya hadhara.

Kiongozi huyo atahutubia mikutano ya hadhara katika miji ya Vwawa,Tunduma,Sumbawanga na Mpanda.

Tayari matayarisho yote muhimu ya mapokezi ya kiongozi huyo yamekamilika.

watalamu wanakwambia mwanaume yeyote anaendekeza wanawake ni zaifu na hawezi kuwa na maamuzi magumu,kama unabisha muulize DR, MWAKA, mtaalam wa seikolojia atakwambia. babu hatoshi.
 
Kumbe wewe ni mwanamke?
 
Kumbe wewe ni mwanamke?

Inawezekana tunajenga nyumba moja ili mitizamo tofauti,ukawa kwanza ila kwa vigezo,ameshindwa kuongoza familia yake ilokuwa na wake wawili atawezakuongoza 45 milion za watz? shaka.
 
Wewe wacha Ufisi fisi habari ya Tanzania ni Dr. Slaa kuongoza Tanzania
 
Back
Top Bottom