Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

Jamani daktari Slaa,mi usipogombea sintaenda kupiga kura.
 
Anasubiriwa na wajinga

Taratibu tu mtaelewa, si mmeweka pamba masikioni? Nyie endeleeni kulisafisha fisadi lenu sisi huku tunawaandalia watanzania kiongozi safi asiye na mawaha wala kughoshiwa ambaye ni Dr.Slaa.

Tanzania Mpya yeye utajiri mithili ya ngamia kedari wa Midiani na utajiri wa Lebanon, Yaja hivi sasa. VIVA
 
Mungu ni mwema Kila la kheri CHADEMA hakika ukombozi umekaribia. Kikweli uzi na comments za uzi huu zimenipa raha sana japokuwa kunaviti.tu vyenye MTINDIO WA UBONG.O
( mental retarders ) vimea.chiwa
milemb.e na kuvamia na kuleta mzaha kwenye UZI makini wenye manufaa kwa taifa. Anyway kiujumla nimeenjoy
Huku kusini wanasema:
Chademaaaaaaaa
Tuna jambo letuuu,
Ukawaaaaaaaaaaa
Tumaini letuuuuuu.
Kazi njema MAKAMNDA.
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kesho anaanza ziara rasmi ya nyanda za juu kusini itakayomfikisha katika mikoa ya Mbeya,Rukwa na Katavi.

Taarifa iliyothibitishwa na msemaji mkuu wa CHADEMA Tumaini Makene inasema kiongozi huyo maarufu nchini atafanya mambo makubwa matatu katika ziara hiyo ambapo ni kukagua zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa njia ya BVR,kukagua shughuli mbalimbali zinazofanywa na chama na kuhutubia mikutano ya hadhara.

Kiongozi huyo atahutubia mikutano ya hadhara katika miji ya Vwawa,Tunduma,Sumbawanga na Mpanda.

Tayari matayarisho yote muhimu ya mapokezi ya kiongozi huyo yamekamilika.
...wito wangu kwenu chadema na UKAWA ...walindeni hao viongozi wenu vema...maana moja ya njia ya kudhofisha upinzani ni kuwaangamiza viongozi wa upinzani...hili tayari tumeliona kwa Mkurunziza Burundi...pale walipomuua kiongozi mkuu wa upinzani hivi majuzi...baada ya ile coup attempt kushindikana.....
 
kutwa nzima nimesoma habari za watoa rushwa tu , angalau sasa naweza kupata usingizi baada ya hii habari ya mkombozi mkuu na kiboko ya wezi na mafisadi , Mungu akulinde sana Dr slaa , wewe ndio tegemeo la nchi hii .
 
...wito wangu kwenu chadema na UKAWA ...walindeni hao viongozi wenu vema...maana moja ya njia ya kudhofisha upinzani ni kuwaangamiza viongozi wa upinzani...hili tayari tumeliona kwa Mkurunziza Burundi...pale walipomuua kiongozi mkuu wa upinzani hivi majuzi...baada ya ile coup attempt kushindikana.....
umeandika jambo zito sana ! unajua baada ya kila njama ya wizi wa kura kuanikwa tegemeo kubwa la magamba ni hujuma kuu , ccm wanajua kwa haki hawawezi kushinda uchaguzi huu .
 
Daaaah!! Hii waswahili wanasema ugali moto mboga moto. Kule Mbowe huku Slaa pale Lissu hapa Lema mamaaaaaa!!! CCM hawachomoki awamu hii
mkuu hao watu uliowataja we mwenyewe huoni aibu?maana ni vilaza at best
 
Ni kweli tupu Kamanda.

Kuhusu wizi wa kura wahesabu wameumia kwani RB wametanda kila eneo la nchi kwa kazi moja tu kulinda kura za wananchi.
mkuu unajitahidi kumpigigia promo mtu ambaye ameshajichokea zamani
 
Kila la heri kamanda rais wetu kivuli.
 
Taratibu tu mtaelewa, si mmeweka pamba masikioni? Nyie endeleeni kulisafisha fisadi lenu sisi huku tunawaandalia watanzania kiongozi safi asiye na mawaha wala kughoshiwa ambaye ni Dr.Slaa.

Tanzania Mpya yeye utajiri mithili ya ngamia kedari wa Midiani na utajiri wa Lebanon, Yaja hivi sasa. VIVA
kuna watu huwa mnaota mchana kweupeee
 
Back
Top Bottom