Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

Max tafadhari comments zikifutwa leo sasa tutajua kuwa mko kwa kazi maalumu.
 
Wamefanya kila hila, hadi Wassira anaapa hakitafika sijui hadi lini mbona mambo ndio songele...

Tulimwambia Wasira yeye ndiye atakayepotea katika ulimwengu wa siasa lakini Chadema is there to stay...
 
Wapi chama cha mafisi? Sasa hivi Mafisi yanakanyagana arachuga. Mengine hapo Mwanza,mengine Dom, na mengine sijui wapi? Maana yanawaza tumbo tu.
 
Slaa naomba ufike kwao mama yangu Mpanda tafadhari wako na hari mbaya sana ya miundombinu na maji maccm yamewafanya wateja ila kwa ss wamenambia wamechoka.
 
Endelea na Kazi Rais wetu. Mafisi bado yanararuana na mwaka huu mpaka yauwane yenyewe kwa yenyewe. Mungu Wa ajabu sana.

Mwacheni Mungu aitwe Mungu.Huwa anajibu maombi kwa wakati usiyotarajia.
 
Mungu aliipenda Tz hata akamuleta Dr. Slaa ili Tz iokolewe. Hebu fikiri kama Chadema isingekuwepo kwa Nyakati hizi hata sijui ingekuwaje. Maana sasa Watu wanavuta subira wakijua October itafika tupige kura kwa Rais wao Dr. wakijaribu kuiba ndipo tushughulike nao. Sasa chukulia kusingekuwa na matarajio ingekuwaje?
 
Wapi chama cha mafisi? Sasa hivi Mafisi yanakanyagana arachuga. Mengine hapo Mwanza,mengine Dom, na mengine sijui wapi? Maana yanawaza tumbo tu.

Kuendekeza Tumbo ni laana mbaya sana.Tizama kilichompata yule anayejiita Nuru ya chama.
 
Kuna yule dogo alizani yy ndiyo Chadema na akasaau kuwa hii ni Taasisi hahaha imebidi akimbie Jimbo lake.
 
Slaa naomba ufike kwao mama yangu Mpanda tafadhari wako na hari mbaya sana ya miundombinu na maji maccm yamewafanya wateja ila kwa ss wamenambia wamechoka.

Viongozi wako hapa ni wazi ombi lako litachukuliwa kwa uzito unaostahili....
 
Mungu aliipenda Tz hata akamuleta Dr. Slaa ili Tz iokolewe. Hebu fikiri kama Chadema isingekuwepo kwa Nyakati hizi hata sijui ingekuwaje. Maana sasa Watu wanavuta subira wakijua October itafika tupige kura kwa Rais wao Dr. wakijaribu kuiba ndipo tushughulike nao. Sasa chukulia kusingekuwa na matarajio ingekuwaje?

Ni kweli tupu Kamanda.

Kuhusu wizi wa kura wahesabu wameumia kwani RB wametanda kila eneo la nchi kwa kazi moja tu kulinda kura za wananchi.
 
Hapa Boda. tunamsubiri kwa hamu kubwa, Zoezi la kundikisha wapigakura linaendelea vizuri sana Makamanda wanajitokeza kwa wingi kwenye vituo na mpaka sasa hakuna malalamiko yoyote ijapokuwa baadhi ya kata bado.

Karibu sana our President.

BACK TANGANYIKA
 
Karibu sana Mbeya rais wetu Dr slaa tukuoneshe tunavyokupenda na tayari tumeeshajiandikisha ili kukupigia kura
 
Kuna yule dogo alizani yy ndiyo Chadema na akasaau kuwa hii ni Taasisi hahaha imebidi akimbie Jimbo lake.

Ogopa sana chama ambacho kina mtu maarufu mmoja tu....Vyama kama hivyo ni type za kina Cheyo na Mrema.
 
Hapa Boda. tunamsubiri kwa hamu kubwa, Zoezi la kundikisha wapigakura linaendelea vizuri sana Makamanda wanajitokeza kwa wingi kwenye vituo na mpaka sasa hakuna malalamiko yoyote ijapokuwa baadhi ya kata bado.

Karibu sana our President.

BACK TANGANYIKA

Tunashukuru sana kwa mrejesho huu mkuu wetu.Endeleeni kuhamasisha watu waendelee kujitokeza kwa wingi sana.Waambieni vijana salama ya mausha yao ni kura yao.
 
Karibu sana Mbeya rais wetu Dr slaa tukuoneshe tunavyokupenda na tayari tumeeshajiandikisha ili kukupigia kura

Mbeya ni Ngome kuu ya Chadema.Wanyakyusa na Wasafwa wameamua chama chao ni Chadema na Rais wao ni Dr Slaa.
 
Ajabu mpaka mda huu misukule ya zitto na lumumba haijaingia kumtukana dr slaa
 
Dr Slaa ndio rais ajaye ni mpigania haki wa kweli sio hawa wezi wa mali za umma wanao tumia nguvu kubwa ya fedha kujinadi. Dr Slaa ameongoza mapambano ya ufisadi bungeni na bado ameendelea nayo nje ya Bunge.

Fisadi anaye jinadi hajawahi kukemea ufisadi ndani wala nje ya Bunge. Alijidhihirisha hilo kwenye Bunge maalum la katiba.

Kama watanzania wanataka kuondokana na dude la utawala mbovu unaoitwa ccm basi Dr Slaa ndio mbadala na muafaka.
 
Back
Top Bottom