Waulize kina Kitenge Mwaipaya na wenzao watakuambia yule mzee ni mtu wa aina gani.. wewe ukiishia kutazama upara wake kwenye TV tu hutamuelewa mnyonyaji yule na mwizi yule aliyeichoma moto benki kuu enzi zake
Umeme vijijini unafanywa kama mradi binafsi wa Waziri! Tunalipia pesa hizo kwenye bill zetu za umeme, na ni pesa ya Marekani Millennium goal na hizi zote si yeye aliyezitfuta...amekuta mradi unatekelezwa.kwa kweli muhongo amejitahidi amesambaza sana umeme vijijini
_lakini jana zzk kasema wizara yake ndio ina hati mbaya kwa madeni alafu nikaja kumdharau alivyofanikisha kuituibia mabilioni alafu wakina ashunta mshana wanampigia makofi
Mpambano mzuri yaelekea Mengi atashinda,lakini ushindi wa mengi unapewa nguvu na Nimrod Mkono na Lowasa ambao Ni wezi wakubwa,ambao wanaufanya ushindi wa swaiba wao uwe na doa...
Mtoa mada inaelekea unamfuatilia sana Mengi, lakini kwa jinsi Muhongo alivyowaudhi wananchi wengi, hakuna anayemhurumia katika sakata hili.
kwa kweli muhongo amejitahidi amesambaza sana umeme vijijini
_lakini jana zzk kasema wizara yake ndio ina hati mbaya kwa madeni alafu nikaja kumdharau alivyofanikisha kuituibia mabilioni alafu wakina ashunta mshana wanampigia makofi
Muhomakilo Jr Exactly it is dirty game between Nimrod Mkono kubanwa wizi wakuiibia TANESCO na MENGI kunyimwa DEAL YA VITALU VYA GESI.Edward alikuwa anataka kupunguza competition kwa MTOTO WA MKULIMA kuonja Yake ya 2008 ingawa kaponea chupchup licha ya wengi kujenga hoja kupitia kwa marafiki zake Raigwani
Mpambano mzuri yaelekea Mengi atashinda,lakini ushindi wa mengi unapewa nguvu na Nimrod Mkono na Lowasa ambao Ni wezi wakubwa,ambao wanaufanya ushindi wa swaiba wao uwe na doa...
Hivi ni nani alisema akifukuzwa nchi itatikisika kweli?!
Huyu Mzee ni kama Nabii Fulani, he has "powers from within", ukimtibua... safari!.Profesa Muhongo sasa ameshakuwa historia!
Reginald zmengi alipiga kelele san juu ya hili, kutukanwa sana ila wachache walimwelewa.
Wengine tulimwelewa!
Wakati Mengi analisha vilema na masikini, tazama waliofaidika na miamala ya fedha za Escrow account.
Hivyo basi kwa kupiga jaramba mapema juu ya ukosefu wa uzalendo wa Muhongo, sasa umethibitika.
Hongera Reginald Mengi.
Ukawa wakiongozwa na Mbowe wamehongwa na Serikali ndio maana wamekubali kufanya maridhiano ya KIJUHA.
naweza kukuunga mkono! Lakini kwanini usifiri labda wameamua kufanya hivyo ili kuficha na kulinda heshima ya rais? Na usikimbilie kusema wamehongwa? Na kama wamehongwa ni shilingi ngapi ngapi? Hatutaki upayukaji hapa kama wa muhongo, lakini pia kwa nini usiseme walihongwa wale walio kuwa wanamtetea muhongo kwa pongezi za kinafiki lakini bado anang'oka,kibajaji anajua hili zaidi, lakini lengo lilikuwa wezi watolewe na wametoka ,1 muhongo,mwaswi,na werema, wengine wamevuliwa nyadhifa, chenge,tibaijuka majaji wawili nk?? Lakini pia mitambo iataifishwa inarudi serikalini. Nafikiri 86% ya matakwa ya ukawa yame fikiwa labda kama una lingine,
Mtoa mada inaelekea unamfuatilia sana Mengi, lakini kwa jinsi Muhongo alivyowaudhi wananchi wengi, hakuna anayemhurumia katika sakata hili.
Huyu Mzee ni kama Nabii Fulani, he has "powers from within", ukimtibua... safari!.
Alianza na wamiliki wa DTV na CTN kuhusu haki za kuonyesha kombe la dunia, vituo vyote vimekufa.
Akatubuana na Gazeti la Mtanzania kutoa siri kuwa anadaiwa na mabeki, Mtanzania likafilisika hadi kuuzwa!.
Akatibuana na Lowasa Mengi akiwa Mwenyekiti wa NEMCI, Lowasa akang'oka!.
Alipishana kauli na Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Shamin Khan, shamim aling'olewa!
Alipishana kauli na Masilingi, wakati wa "mchezo mchafu", Masilingi aling'olewa!.
Alipishana kauli na Basil Mramba akiwa waziri wa fedha kuhusu kodi ya Jack Pot Bingo, Mramba aling'oka!.
Alipishana kauli na Adam Malima, almanusura Adam, yangemkuta, Sitta akamuombea msamaha!, ndio salama yake!.
Alipishana kauli na Tido kuhusu TV inayolipwa na kodi za wananchi kugombea matangazo na TV binafsi!, Tido aling'oka!.
Akapisha kauli na Yusuph Manji, sasa Manji anafilisiwa!.
Akapishana kauli na Masha, Masha kang'olewa!.
Akaja Rostam Aziz, sasa ameikimbia nchi!,
Ndipo amekuja Mhongo!.
Watu wa karibu na Mhongo, mshaurini atubu na kwenda kuangukia mapema, watu wa Mungu sio wa kuchezea!.
Vinginevyo!.
Pasco.

Mkuu kweli una orodha ndefu ya jamaa waliopishana na Mengi.Huyu Mzee ni kama Nabii Fulani, he has "powers from within", ukimtibua... safari!.
Alianza na wamiliki wa DTV na CTN kuhusu haki za kuonyesha kombe la dunia, vituo vyote vimekufa.
Akatubuana na Gazeti la Mtanzania kutoa siri kuwa anadaiwa na mabeki, Mtanzania likafilisika hadi kuuzwa!.
Akatibuana na Lowasa Mengi akiwa Mwenyekiti wa NEMCI, Lowasa akang'oka!.
Alipishana kauli na Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Shamin Khan, shamim aling'olewa!
Alipishana kauli na Masilingi, wakati wa "mchezo mchafu", Masilingi aling'olewa!.
Alipishana kauli na Basil Mramba akiwa waziri wa fedha kuhusu kodi ya Jack Pot Bingo, Mramba aling'oka!.
Alipishana kauli na Adam Malima, almanusura Adam, yangemkuta, Sitta akamuombea msamaha!, ndio salama yake!.
Alipishana kauli na Tido kuhusu TV inayolipwa na kodi za wananchi kugombea matangazo na TV binafsi!, Tido aling'oka!.
Akapisha kauli na Yusuph Manji, sasa Manji anafilisiwa!.
Akapishana kauli na Masha, Masha kang'olewa!.
Akaja Rostam Aziz, sasa ameikimbia nchi!,
Ndipo amekuja Mhongo!.
Watu wa karibu na Mhongo, mshaurini atubu na kwenda kuangukia mapema, watu wa Mungu sio wa kuchezea!.
Vinginevyo!.
Pasco.
Mkuu usijejidanganya kuwa kusambaza umeme ni kazi ya Muhongo.
Mpango huo ni wa Millenium Challenge unaofadhiliwa na serikali ya Marekani, na sasa umesitishwa kutokana na wizi huo wa Escrow account, na muhusika mkuu ni Muhongo.
Huo mradi wa Millenium Challenge ulianza hata kabla Muhongo hajapewa kibarua pale wizarani.
Waulize kina Kitenge Mwaipaya na wenzao watakuambia yule mzee ni mtu wa aina gani.. wewe ukiishia kutazama upara wake kwenye TV tu hutamuelewa mnyonyaji yule na mwizi yule aliyeichoma moto benki kuu enzi zake
Masha Yupo!, mimi I belong to kundi la wale masikini jeuri!, maisha ni kama ya "kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!", hata kama jirani anatupa chakula jalalani, kuliko kuomba bora kulala njaa!.Kwenye hii orodha umemsahau Laurence Masha naye aliomba radhi akamsamehe na akampa ushindi kwenye bahati nasibu zake.
Je vipi na wewe uko tayari kutubu? Maana umetuita Ignorant akiwemo Mengi
Huyu Mzee ni kama Nabii Fulani, he has "powers from within", ukimtibua... safari!.
- Alianza na wamiliki wa DTV na CTN kuhusu haki za kuonyesha kombe la dunia, vituo vyote vimekufa.
- Alitibuana na Katibu Mkuu, Mambo ya Ndani, Silvanus Adel, Adel alimwaga unga wake!.
- Akatubuana na Gazeti la Mtanzania kutoa siri kuwa anadaiwa na mabeki, Mtanzania likafilisika hadi kuuzwa!.
- Akatibuana na Lowasa Mengi akiwa Mwenyekiti wa NEMCI, Lowasa akang'oka!.
- Alipishana kauli na Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Shamin Khan, shamim aling'olewa!
- Alipishana kauli na Masilingi, wakati wa "mchezo mchafu", Masilingi aling'olewa!.
- Alipishana kauli na Iddi Simba kwenye mambo ya Uzawa, Iddi Simba alimwagwa!.
- Alipishana kauli na Basil Mramba akiwa waziri wa fedha kuhusu kodi ya Jack Pot Bingo, Mramba aling'oka!.
- Alipishana kauli na Adam Malima, almanusura Adam, yangemkuta, Sitta akamuombea msamaha!, ndio salama yake!.
- Alipishana kauli na Tido kuhusu TV inayolipwa na kodi za wananchi kugombea matangazo na TV binafsi!, Tido aling'oka!.
- Akapisha kauli na Yusuph Manji, sasa Manji anafilisiwa!.
- Akapishana kauli na Waziri wa Mambo ya ndani, Masha, Masha kang'olewa!.
- Akaja Rostam Aziz, sasa ameikimbia nchi!,
- Alipishana kauli na Balozi wa Uingereza kwenye kashfa ya Silvadale!, Balozi wa Uingerezwa aliondoshwa!.
- Alipishana kauli na wandeshaji wa Kipindi cha "Kiti Moto", Kiti Moto kilikufa!
- Ndipo sasa amekuja Prof. Mhongo!.