Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
Muhongo kakuta kesi inazungukazunguka tu na Mkono kila siku anakula hela ya Tanesco, akaamua kuwaita wadai na wadaiwa wakae chini wayamalize
yeye kosa lake nini?, kapata nini baada ya kuwa Dalali?, unaweza kuwa Dalali bila kupewa kitu?
angalieni sana hii Triangle ya Zitto, Mkono na Mengi, wanaonekana wazalendo sana kwa maneno, lakini Muhongo kawadhibiti mbaya na anawajua chini juu,