Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

Sijakuelewa,

Utakuja kujua siku za mbele kaka, we fata upepo na mashairi mazuri yenye kukuliwaza, issue ya ESCROW kweli ipo na ni wizi wa mchana kabisa, Muhongo kahusikaje hapo?

tuelewe nini tena? Ina maana huyo Mengi kazihonga kamati zote za uchunguzi pamoja na wajumbe wote wa kamati ya bunge iliyochambua ripoti ya uchunguzi?. You must be joking, right? Kama hivyo ndivyo basi Mengi kawahonga wabunge wote!. Au wewe ndo shabiki wa kina muhongo uayeingiza hoja dhaifu zilizopita?. Wote ni wezi kwani wamesaidia wizi kufanikiwa na tutajua tu dau lake soon. Kiburi na dharau kwa mwanadamu huwa ni mwanzo wa anguko la aibu. Wezi wetu hawa waliacha mianya ambayo watu makini wameitumia kuwa-trace kirahisi.
Let them go nao wakazionje magereza ili wakirudi waagize magereza zijengwe kama hoteli za nyota tano na yale mabasi yageuzwe boeng za business class. Nyodo zitaisha sasa.
 
kaka unaongea kitu tofauti na ninachoongea, wizi wa PESA ZA UMMA NI KWELI UMEFANYIKA KWENYE ACCOUNT ya ESCROW, hoja yangu ni hii, Muhongo kausikaje na wizi wa hizo fedha, kulikuwa na umuhimu wa kuwa na jina lake kwenye hiyo report?

Report inasema Muhongo ni DALALI, fine, katika udalali wake kapata nini? Au ulikuwa ni udalali wa Sadaka tu?
 
muhongo na uprofesa wake,kapigwa KO na mfanyabiashara Reginald Mengi.

upeo umevuma, kesho ndo kimbembe. kama upepo utamvumia vibaya zaidi muhongo basi itabidi mzee mengi apate airtime kama kawaida kumshambulia muhongo (kama alivyofanya kwa wabaya hapo kabla)
 
Mengi dalali wa vitalu. Muhongo dalali wa ESCROW. Ngoma droo. Ila naona mengi kamzidi muhongo kwa u freemaso na u mjini!
 
Muhongo ni janga..alifikiri kua profesa wa Geology ndio kujua kila kitu kumbe Dalali tu tena unaweza kuta kala hela ya urojo tu... mbaff
 
nilikua hapa serena hotel na mh mengi alikua anagonganisha glass na wapambe wake wameshauangusha mbuyu mkubwa mohongo
 
Mengi mtetezi wa wanyonge watz.alianza masilingi kumfuatafuata mengi akapote akaja lwaurens masha akampa mengi siku 14 kwa kutaja mafisadi papa.wote waliende na maji kaja muongo nae anaondoka.
Manji je
 
tuelewe nini tena? Ina maana huyo Mengi kazihonga kamati zote za uchunguzi pamoja na wajumbe wote wa kamati ya bunge iliyochambua ripoti ya uchunguzi?. You must be joking, right? Kama hivyo ndivyo basi Mengi kawahonga wabunge wote!. Au wewe ndo shabiki wa kina muhongo uayeingiza hoja dhaifu zilizopita?. Wote ni wezi kwani wamesaidia wizi kufanikiwa na tutajua tu dau lake soon. Kiburi na dharau kwa mwanadamu huwa ni mwanzo wa anguko la aibu. Wezi wetu hawa waliacha mianya ambayo watu makini wameitumia kuwa-trace kirahisi.
Let them go nao wakazionje magereza ili wakirudi waagize magereza zijengwe kama hoteli za nyota tano na yale mabasi yageuzwe boeng za business class. Nyodo zitaisha sasa.
Report imesimama juu ya nguzo moja kuu kwamba pesa za escrow ni za umma bila kueleza kivipi.sasa limuhongo likiweza kutengua tu hiyo,report yote chali.
 
Nchi ya waliozoea kudanganywa na kuibiwa, uwivu na ubaguzi,usipompenda mtu hata akisema ukweli unabisha! Unafiki umetawala watz
"Mikataba ni siri" anayeulizia mjinga.!! Siri ya nani?
 
nikikumbuka kauli za muhongo dhidi ya wa-tz siamini kama leo hii ni yeye amechafuka hivyo. Eti mitaji ya watanzania ni ya kuwekeza kwenye matunda na juice. Alijaa dharau kupitiliza mpaka akataka kutoa cv ya ole sendeka kwamba ana elimu ndogo kushinda yeye msomi!

yaani huyu baba toka siku ile nilimdharau
 
Tumesikia mara kwa mara waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo akimlaumu IPP Chairman, Dr. Reginald Mengi kuwa anang'ang'ania vitalu vya gesi na mafuta kumilikishwa kwa wazawa kwa kuwa ni dalali. Leo katika report ya PAC bungeni, Prof. Sospeter Muhongo ametajwa kama dalali kwa kuwa ndiye yeye aliyewakutanisha Harbinder Sigh Seth na James Rugemalira katika dili ya Tanesco. Dr. Mengi atasema nini kuhusu yaliyotokea?
images
images

Huyu Muhongo ameitwa dalali kwa heshima tu, nijuavyo mimi dalali ni mtu wa kati anayechukua mali ya huyu na kumuuzia mwingine kwa kuongeza cha juu. Muhongo kwenye sakata hili alikuwa mtu wa kati kweli lakini alikchukua MANENO ya huyu kumpelekea huyu, kwa kiswahili mtu huyu angestahili kuitwa KUWADI
 
Yani inaonekana ushabiki umekufanya hata kufatilia mwisho wa mambo ulikuaje huna ni hivi kesi ya manji na mengi manji alishinda na manji alihojiwa alipaswa alipwe na mengi manji alipoulizwa akasema mengi amlipe (sumni) sijui unaijua hiyo hela au umezaliwa tu ukamjua mengi na kumsifia tu usilete habari za kishabiki kama hujui mambo sasa jiulize kwa kiasi icho alichodai manji alipwe na mengi alikuwa anamaanisha nini.
you are really out of topic, umepotea chaka kabisa, hapa hatuongelei ile kesi mahakamani, tunaongelea mabifu. muhongo alikuwa na bifu na mengi na mengi ameshinda. mengi alikuwa na bifu na manji na mengi alishind amabifu yao yale hata manji alipoenda kutumia waislam wa kukodi ili kupeleka vita yake na mengi kwenye dini alishindwa kwasababu kikao chote walichokuwa wakijadili walirekodiwa na sauti zilisikika na akaitoa ITV na tz nzima tuliona, hapo manji aliamua kunyosha mikono. rostam aziz alishindwa, angeweza manji?...
 
nilikua hapa serena hotel na mh mengi alikua anagonganisha glass na wapambe wake wameshauangusha mbuyu mkubwa mohongo

ya ukweli hayo!mbona mnatuaminisha uongo.hivi kutoa pesa cash zaidi ya billion ni halali kwa masharti ya nchi gani?Acheni kutuaminisha kwamba ni vita wizi ni wizi tu.Acha watoke
 
Back
Top Bottom