Dr Ndibalema wa udsm afariki

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Nimepata taarifa kuwa aliyekuwa mhadhiri wa chuo kikuu cha dar es salaam,dr ndibalema amefariki jana usiku,dr ndibalema alikua akifundisha EDUCATION ADMINISTRATION AND MANAGEMENT (EA), Pia alikua akifundisha chuo kikuu kishiriki cha ualim-DUCE
 
Very very sad news. Ndibalema alikuwa mwalimu mzuri sana. Binafsi nitamkumbuka kwa vichekesho vyake wakati anapofundisha kiasi kuwa huwezi sinzia kwenye lecture za Ndibalema. Mungu ailaze roho yake pema peponi Amin
 
Dr Alphonce Ndibalema was a great man and a wonderful Lecturer. May his soul rest in peace.
Kwa kweli ni vigumi sana kuamini na ninapata wakati mgumu kuelewa ukuu wake Mungu na mipango aliyonayo juu ya watu wake.
 
Mie ndiyo nipo hapa msibani.Sababu ya kifo ni 'BP'.Aliamka asubuh ajisikii vizuri wakaamua kumpeleka zahati moja kwa uchunguz wa awali,wakakuta PB ipo chini,walivyojitaidi kuipandisha ndiyo hivyo alivyotutoka.
kwa kifupi alikuwa ni mzee kwa kisasa zaid asiyependa makuu.
RIP Dr Ndibalema
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom