mashikolomageni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 1,570
- 193
Mungu amrehemu Dr. Ndibalema, Poleni sana wanafamila wote
Nimepata taarifa kuwa aliyekuwa mhadhiri wa chuo kikuu cha dar es salaam,dr ndibalema amefariki jana usiku,dr ndibalema alikua akifundisha EDUCATION ADMINISTRATION AND MANAGEMENT (EA), Pia alikua akifundisha chuo kikuu kishiriki cha ualim-DUCE
Hakika ndugu kabisa huyu , RIPNimepata taarifa kuwa aliyekuwa mhadhiri wa chuo kikuu cha dar es salaam,dr ndibalema amefariki jana usiku,dr ndibalema alikua akifundisha EDUCATION ADMINISTRATION AND MANAGEMENT (EA), Pia alikua akifundisha chuo kikuu kishiriki cha ualim-DUCE
True , sio huko chuo hata katika familia alikuwa hivyoVery very sad news. Ndibalema alikuwa mwalimu mzuri sana. Binafsi nitamkumbuka kwa vichekesho vyake wakati anapofundisha kiasi kuwa huwezi sinzia kwenye lecture za Ndibalema. Mungu ailaze roho yake pema peponi Amin
🙏🏽🙏🏽🙏🏽Mungu amrehemu Dr. Ndibalema, Poleni sana wanafamila wote