Dr. Nchimbi na urais 2015

Dr. Nchimbi na urais 2015

Kipindi kile Sumaye anawania kugombea urais kwa tiketi ya ccm,nilisema siko tayari kuongozwa na sumaye.Hivi juzi mkawa mnasema oooh Karume ndo rais ajae,Iam not ready for that too.Sasa naona mmekuja na kali nyingine,Nchimbi! No,mi naamini mtakuwa mnamsingizia tuu.Nina uhakika kabisa hayo mawazo hayajawahi kumpitikia kabisa katika akili yake.Kwani yeye mwenyewe anajua hawezi,THATS IT.
Kwanini asiwe na mawazo kama hayo? hivi ubnafahamu kuwa Nchimbi ana nguvu kubwa kwenye CCM? KAMA NI UZOEFU HAO WALIOTAJWA HAKUNA HATA MMOJA UKIWAONDOA MALECELA NA DR.SALIM wenye uzoefu na CHAMA.

NCHIMBI KWA MUDA MREFU NI MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA.KUMBUKA AMEKUWA MWENYEKITI WA UVCCM KWA MUDA MREFU SANA.SUMAYE,MWANDOSYA,PINDA,MEMBE,MASHA HAWAMUWEZI HATA KIDOGO DR.NCHIMBI KWENYE NETWORK NA UZOEFU WA CHAMA.AMEKULIA KWENYE CCM HAO WENGINE KAMA MEMBE HAWAKIJUI CHAMA.
NCHIMBI KAMZUIA NAPPE KWENYE UVCCM.ANA NGUVU.
 
Issue ya msingi ni uwezo wa mtu na siyo chuki kwa mtu. Nchimbi ni kijana mwenye uzoefu hilo lazima tukubali na pia tukubali tu kuwa ana uwezo wa kuzichanga karata zake vizuri na ndiyo maana amefika hapo alipo na kama weakness kila mtu anazo za kwake na si ajabu yeye akawa stronger than the presidents that we had. Msimshambulie kwa chuki bali mwambie weakness zake ili aweze kujirekebisha. ukizingatia kuwa nikiongozi wa umma mwambieni ukweli.
 
Tayari kakaa mkao wa kula wewe utasema daktari feki mwenzako anakata mbuga.kama ni Daktari feki kwanini aliposhinda ubunge wapinzani hawakwenda mahakamani kuweka pingamizi dhidi yake?

Mkuu Kanda 2 kupinga ufisadi wa aina yeyote ile na kulitetea Taifa langu ambalo ni lako pia si kazi ya wapinzania bali ni Watanzania wote .Una habari kwamba watu walipiga kelele na uchunguzi kufanyika ukweli ukawa nje kuanzia kwa Chitalilo hadi Nchimbi lakini ukweli umekaliwa na JK ambae ndiye mwenyekiti wa CCM na kiongozi wa sirikali ya CCM ?

Tuwe tunawapa mwanya wapinzani na sisi kama watanzania hata kama hatuna vyama tuna saidia kukataa na si kunyoosha vidole pekee kaka .
 
Issue ya msingi ni uwezo wa mtu na siyo chuki kwa mtu. Nchimbi ni kijana mwenye uzoefu hilo lazima tukubali na pia tukubali tu kuwa ana uwezo wa kuzichanga karata zake vizuri na ndiyo maana amefika hapo alipo na kama weakness kila mtu anazo za kwake na si ajabu yeye akawa stronger than the presidents that we had. Msimshambulie kwa chuki bali mwambie weakness zake ili aweze kujirekebisha. ukizingatia kuwa nikiongozi wa umma mwambieni ukweli.

Unajua unayoyasema yanaweza kuwa kweli,mi binafsi sina chuki na Nchimbi.Inawezekana mweznetu unajua uwezo wa Nchimbi,ebu briefly nioneshe uwezo alionao mpaka nikubali awe rais wangu.Please
 
Issue ya msingi ni uwezo wa mtu na siyo chuki kwa mtu. Nchimbi ni kijana mwenye uzoefu hilo lazima tukubali na pia tukubali tu kuwa ana uwezo wa kuzichanga karata zake vizuri na ndiyo maana amefika hapo alipo na kama weakness kila mtu anazo za kwake na si ajabu yeye akawa stronger than the presidents that we had. Msimshambulie kwa chuki bali mwambie weakness zake ili aweze kujirekebisha. ukizingatia kuwa nikiongozi wa umma mwambieni ukweli.

Huwezi kutuconvince kwa huyo mgombea wako. Tafuta mwingine mapema kabisa kabla jua halijazama mkuu. Ana uwezo gani huyo kama sio kubebwa bebwa tu? Hapa watu wanaongea ukweli sio kumshambulia. Ataenda kujirekebishia pahala pengine sio lazima afanyio marekebisho ktk public service bana. Hajui atoke tu acha kumbembeleza eti aweze kujirekebisha. Public service is not internship mkuu.
 
Nimesikia nyepesi nyepesi kuwa hata Dokta Joe naye atatupa kofia ulingoni. Mweeeeee....mwakani mbona burudani
 
Huuyu jamani wala asiwasumbue kichwa kabla ya hata hiyo 20015 lazima akamfwate mume mwenzake

mpakanjia
 
Nchimbi hapana, au bado tunaendekeza sura? kawafanyia lipi watz hata kuweza kumpa uhalali wa kuongoza? MUNGU atuepushie mbali na mabalaa ya sura maana tunaonja uchungu wake from the likes of JK
 
"NCHIMBI KWA MUDA MREFU NI MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA.KUMBUKA AMEKUWA MWENYEKITI WA UVCCM KWA MUDA MREFU SANA.SUMAYE,MWANDOSYA,PINDA,MEMBE,MASHA HAWAMUWEZI HATA KIDOGO DR.NCHIMBI KWENYE NETWORK NA UZOEFU WA CHAMA.AMEKULIA KWENYE CCM HAO WENGINE KAMA MEMBE HAWAKIJUI CHAMA.
NCHIMBI KAMZUIA NAPPE KWENYE UVCCM.ANA NGUVU."

Mkuu hizo za alikua, alikua. Hazina nafasi kwenye politiki za sasa.

Nchimbi si mjumbe wa kamati kuu. Nchimbi si mjumbe wa halmashauri kuu taifa(NEC). Nchimbi kinachom beba ni huo unaibu waziri. Kama akipigwa chini anabaki kuwa mbunge tu wa kawaida. Hao wengine wote hapo ni wajumbe na halmashauri kuu(kasoro Masha), na Membe na Pinda ni wajumbe wa kamati kuu. Hayo mambo ya alikua, hayana nafasi. Mangula alikuwa katibu mkuu wa chama only 4 years back lakini anapower gani sasa hivi?... Nchimbi angekua na hiyo power angegombea ujumbe wa NEC Taifa viti 20 vya Tanzania bara, pale ndio wanapopimwa wenye power ndani ya chama. Mbona alikimbia???

Halafu usipindishe ukweli ili kumkweza mtu. Nape alifungwa na kanuni za UVCCM ambazo zinaaply kwa wagombea wote. Nchimbi kama angekuwa na hiyo power, alipomfukuza Nape UVCCM ingebidi Nape avuliwe uanachama wa jumuiya pamoja na ujumbe wa NEC taifa, mbona vyote bado anavyo???
 
Asante kwa kutupa matumaini sisi vijana tutajiandaa na hasa kulinda afya zetu tusije tukafa kwa magonjwa yale ya kisasa au hata kipindu pindu au kama una ndoto za kuwa rais na umepanga Mbagala hama usije lipukiwa na bomu tukakupoteza rais wetu.

NOTE: Vijana wenzetu mnatukati9sha tamaa mnakaa mbali na siasa nchi inaliwa mnatumika kusambaza sera za wafisadi kwa milungula kidogo unakubali kutumika hata kupotosha umma kuhusu ukweli fulani.

Kuhusu Nchimbi kuwa dokata feki siyo kweli ila urais afahamu hapa siyo nchi ya kisultani ya kupeana, tuko makabila mengi haiwezekani familia mmoja watuongoze tena ukizingatia mzee wake hana jema alichofanya mana anahusishwa na yule mfalme aliyepewa eneo Ngorongoro hadi shmasa anawaita wamasai wakenya.
 
Issue ya msingi ni uwezo wa mtu na siyo chuki kwa mtu. Nchimbi ni kijana mwenye uzoefu hilo lazima tukubali na pia tukubali tu kuwa ana uwezo wa kuzichanga karata zake vizuri na ndiyo maana amefika hapo alipo na kama weakness kila mtu anazo za kwake na si ajabu yeye akawa stronger than the presidents that we had. Msimshambulie kwa chuki bali mwambie weakness zake ili aweze kujirekebisha. ukizingatia kuwa nikiongozi wa umma mwambieni ukweli.

Posting hii imejaa busara na upevu wa mawazo. Kula 5, mana umesema yale niliyotaka kuyasema.
 
"NCHIMBI KWA MUDA MREFU NI MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHAMA.KUMBUKA AMEKUWA MWENYEKITI WA UVCCM KWA MUDA MREFU SANA.SUMAYE,MWANDOSYA,PINDA,MEMBE,MASHA HAWAMUWEZI HATA KIDOGO DR.NCHIMBI KWENYE NETWORK NA UZOEFU WA CHAMA.AMEKULIA KWENYE CCM HAO WENGINE KAMA MEMBE HAWAKIJUI CHAMA.
NCHIMBI KAMZUIA NAPPE KWENYE UVCCM.ANA NGUVU."

Mkuu hizo za alikua, alikua. Hazina nafasi kwenye politiki za sasa.

Nchimbi si mjumbe wa kamati kuu. Nchimbi si mjumbe wa halmashauri kuu taifa(NEC). Nchimbi kinachom beba ni huo unaibu waziri. Kama akipigwa chini anabaki kuwa mbunge tu wa kawaida. Hao wengine wote hapo ni wajumbe na halmashauri kuu(kasoro Masha), na Membe na Pinda ni wajumbe wa kamati kuu. Hayo mambo ya alikua, hayana nafasi. Mangula alikuwa katibu mkuu wa chama only 4 years back lakini anapower gani sasa hivi?... Nchimbi angekua na hiyo power angegombea ujumbe wa NEC Taifa viti 20 vya Tanzania bara, pale ndio wanapopimwa wenye power ndani ya chama. Mbona alikimbia???

Halafu usipindishe ukweli ili kumkweza mtu. Nape alifungwa na kanuni za UVCCM ambazo zinaaply kwa wagombea wote. Nchimbi kama angekuwa na hiyo power, alipomfukuza Nape UVCCM ingebidi Nape avuliwe uanachama wa jumuiya pamoja na ujumbe wa NEC taifa, mbona vyote bado anavyo???

Nchimbi amekuwa mwenyekiti wa UVCCM kwa miaka 15 hivyo akawa Kamati kuu na NEC kwa miaka yote hiyo hadi decemba 2007.Pinda na Membe wana mwaka mmoja na miezi kadhaa kama wajumbe wa Kamati kuu.Nchimbi kashiriki kupatikana rais Mkapa na KIKWETE kama mjumbe wa Kamati kuu anajua mbinu gani zilitumika.Pinda,Mwandosya na Membe hawana uzoefu huo.alipogombea ubunge aligombea na DR.GAMA ambaye alikuwa mkurugenzi wa usalama wa Taifa na kiongozi mzoefu.akampiga bao.

jaribuni kutafakari kuwa mtu kawa Mwenyekiti wa vijana kwa miaka 15.vijana ndio muhimili wa Chama.msimdharau Nchimbi.sisi tuko kweye intaneti mwenzetu yuko kwenye ground.Nchimbi ana roho ngumu analotaka lazima liwe hata kama kumdhuru au kuwadhuru watu.

mie si shabiki wa Nchimbi ila natoa tathimini Yangu.
 
mhhhh hii habari inanitisha mno.nitAHAMA NCHI.
angalia usichelewe mi nshahama tayari sasa naangalia kubadili kabisa uraia ikiwezekana maana mambo ya huko home presha inapanda na kushuka kwa pamoja
 
Nchimbi amekuwa mwenyekiti wa UVCCM kwa miaka 15 hivyo akawa Kamati kuu na NEC kwa miaka yote hiyo hadi decemba 2007.Pinda na Membe wana mwaka mmoja na miezi kadhaa kama wajumbe wa Kamati kuu.Nchimbi kashiriki kupatikana rais Mkapa na KIKWETE kama mjumbe wa Kamati kuu anajua mbinu gani zilitumika.Pinda,Mwandosya na Membe hawana uzoefu huo.alipogombea ubunge aligombea na DR.GAMA ambaye alikuwa mkurugenzi wa usalama wa Taifa na kiongozi mzoefu.akampiga bao.

jaribuni kutafakari kuwa mtu kawa Mwenyekiti wa vijana kwa miaka 15.vijana ndio muhimili wa Chama.msimdharau Nchimbi.sisi tuko kweye intaneti mwenzetu yuko kwenye ground.Nchimbi ana roho ngumu analotaka lazima liwe hata kama kumdhuru au kuwadhuru watu.

mie si shabiki wa Nchimbi ila natoa tathimini Yangu.

Mkuu, marekebisho kidogo. Nchimbi hajawa mwenyekiti kwa miaka 15. Nchimbi alichukua uenyekiti wa UVCCM toka kwa John Guninita(Mwenyekiti wa sasa wa CCM Dar) mwaka 1997. Na Guninita alikua anapay the price kwa kutangaza UVCCM kuwaunga mkono wagombea vijana yeye akiwa kama mwenyekiti wa UVCCM 1995. Kwahiyo sio kweli kuwa Nchimbi alikuwepo wakati wa kumsimika Mkapa 1995.

Ila nakiona unachojaribu kukisema na nakubaliana na wewe kwenye kusema kuwa do not underestimate Emmanuel Nchimbi kwenye siasa chafu, sababu kubwa ni style yake ya kimafia aliyotumia kumng'oa mzee Gama kwenye ubunge Songea mjini. Kipindi kile wajumbe walitekwa wakafungiwa sehemu na bastola zilikua nje nje.

Ila tangu ahusishwe kuwa mkono kwenye kifo cha mbunge Amina Chifupa, amekua ni mtu wa kuoperate chini ya rada. Tatizo kubwa la Nchimbi ni kuwa na mikakati mingi ya kutafuta madaraka, bila kuwa na mikakati wa kutumikia hayo madaraka. Yaani madaraka ni end badala ya kuwa means to an end. Yeye ni kati ya wana wa hii filosofia mpya ya wanamtandao, ya kutafuta cheo kwa nguvu zote ili kikulee badala ya kutafuta cheo ili upate fursa ya kutumika kwa manufaa ya umma.
 
Huuyu jamani wala asiwasumbue kichwa kabla ya hata hiyo 20015 lazima akamfwate mume mwenzake

mpakanjia
e bwana mkuu wewe si nimekuona kule upande mwingine unahubiri injili?
 
Nchimbi amekuwa mwenyekiti wa UVCCM kwa miaka 15 hivyo akawa Kamati kuu na NEC kwa miaka yote hiyo hadi decemba 2007.Pinda na Membe wana mwaka mmoja na miezi kadhaa kama wajumbe wa Kamati kuu.Nchimbi kashiriki kupatikana rais Mkapa na KIKWETE kama mjumbe wa Kamati kuu anajua mbinu gani zilitumika.Pinda,Mwandosya na Membe hawana uzoefu huo.alipogombea ubunge aligombea na DR.GAMA ambaye alikuwa mkurugenzi wa usalama wa Taifa na kiongozi mzoefu.akampiga bao.

jaribuni kutafakari kuwa mtu kawa Mwenyekiti wa vijana kwa miaka 15.vijana ndio muhimili wa Chama.msimdharau Nchimbi.sisi tuko kweye intaneti mwenzetu yuko kwenye ground.Nchimbi ana roho ngumu analotaka lazima liwe hata kama kumdhuru au kuwadhuru watu.
mie si shabiki wa Nchimbi ila natoa tathimini Yangu.

Hapo kwenye bold nakubaliana nawe vizuri sana.Jamaa ni Mafia flani na kama unagombea nae public office lazima nawe uwe mndundu.Kama unagombea na Nchimbi kwa Kampeni kama za Salim basi hutoki.Nchimbi anawezana na watu wa type ya Lowassa au Membe na kama watagombea kweli basi hiyo 2015 patakuwa hapatoshi!
 
Nchimbi kugombea uraisi? Acheni mizaha wakubwa! Who then cannot vie for the top office in the land?
 
It is a joke.I think JF should stop calling Nchimbi a Doctor!Let Uhuru ,Daily News and other government bodies
do !
 
Back
Top Bottom