Dr. Nchimbi na urais 2015

Dr. Nchimbi na urais 2015

kuna ile picha yake alipiga na muuza unga mwenye nayo atupe.
 
Tukiwa chuoni,mwaka 2012 kijana mmoja kutoka Songea aliwahi kusema kuwa Nchimbi nae anautaka, Wengi tulichukulia kawaida lakini sasa naanza kuona jamaa anaweza kupenya. nakupeperusha bendela ya CCM mwaka huu.Tafadhali kama kuna mtu amamfahamu vizuri huyu jamaa hebu atujuze.
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Huku unajidai kujua huku hujui unataka ujuzwe,khaaaa!!!
 
huyu si kinje? du hawa watu wana pesa wanaweza muweka huyu jamaa!!!

Kama wakina BEKA waliweza kumuweka DHAIFU kwanini wakina Kinje washindwe kumuweka Nchimbi?
 
Kama umewahi kucheza draft utajua ccm wanacheza mfumo upi, hakuna cha nchimbi, maghufuri wala lowasa, Kilichotokea kwenye kinyang'anyiro cha uspika ndani ya ccm ndicho kitakachotokea kwenye urais, Dr Migiro ndio atakayebeba bendera ya ccm

Spika Anna Makinda ndio chaguo
 
Spika Anna Makinda ndio chaguo

Ameamua kujipumzikia Makinda ,
ndani ya ccm kuna kambi tatu zenye nguvu, lakini kutokana kambi zote tatu kuwa na mabaka ya ufisadi ni vigumu kuuzika kwa wananchi. Pinda toka awali aliandaliwa kuwa Rais wa 5 wa URT , kwa nature Yake hakupaswa kuwa waziri mkuu kwa sababu si mtendaji kwa viatu vya uwaziri mkuu vikampwaya kama vilivyompwaya Warioba kipindi chake. Ukichanganya na Epa,escrow,piga tu, mauaji ya albino image yake haitazamiki tena, hata Usalama walimtaka yeye!,
Mtu ambaye hana friction yoyote kati ya hayo makundi ni mtu neutral aliyebeba matumaini ya watanzania lakini ambaye anaonekana ataweza kuibeba vyema agenda ya ccm kushinda chaguzi zote na kushika dola.. Huyu c mwingine bali ni Asha Rose Migiro. Ni mtu pekee ambaye ukawa wana hofu nae
 
CCM wamevurugwa sana... Si ajabu mkasikia wamemsimamisha Kingunge Ngombale Mwiru ...
 
Tukiwa chuoni,mwaka 2012 kijana mmoja kutoka Songea aliwahi kusema kuwa Nchimbi nae anautaka, Wengi tulichukulia kawaida lakini sasa naanza kuona jamaa anaweza kupenya. nakupeperusha bendela ya CCM mwaka huu.Tafadhali kama kuna mtu amamfahamu vizuri huyu jamaa hebu atujuze.
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Wewe John Nchmbi acha kudanganya watu. Mwambie kaka yako ajaribu kuokoa Ubunge wake ambao mpaka dakika hizi tayari ameshaukosa.
 
Let me tell you my friend, there is only two people who have what it takes to preside this once was a beautiful nation;Dr John Maghufuli and Dr Wilbrod Slaa.My third favourite was Dr Salim Ahmed Salim but the time is ticking against him now.

where u a my friend.
 
Bado...Huyu avae Viatu Vya Kinana. ..,kwanza aliitegemewa kupewa nafasi ya Mwigulu karibuni ....
 
Huyu nchimbi ni rafiki Yake na bwana mmoja ni mpigaji wa madini wa pale Mikocheni anaitwa Musa ni watu wa ovyo Sana.
 
Ameamua kujipumzikia Makinda ,
ndani ya ccm kuna kambi tatu zenye nguvu, lakini kutokana kambi zote tatu kuwa na mabaka ya ufisadi ni vigumu kuuzika kwa wananchi. Pinda toka awali aliandaliwa kuwa Rais wa 5 wa URT , kwa nature Yake hakupaswa kuwa waziri mkuu kwa sababu si mtendaji kwa viatu vya uwaziri mkuu vikampwaya kama vilivyompwaya Warioba kipindi chake. Ukichanganya na Epa,escrow,piga tu, mauaji ya albino image yake haitazamiki tena, hata Usalama walimtaka yeye!,
Mtu ambaye hana friction yoyote kati ya hayo makundi ni mtu neutral aliyebeba matumaini ya watanzania lakini ambaye anaonekana ataweza kuibeba vyema agenda ya ccm kushinda chaguzi zote na kushika dola.. Huyu c mwingine bali ni Asha Rose Migiro. Ni mtu pekee ambaye ukawa wana hofu nae
Wewe kweli ni naive na siasa za nchi hii,haitatokea mwanamke kuwa rais wa nchi hii.Fanya research ndogo tu ya kuona ni kwa kiwango gani wanawake wanapewa nafasi ya kuongoza Tanzania, Anzia kwa upande wa dini uone Waislamu,Wakristu,Wapagani wana mtazamo gani kuhusu hilo na majibu utakayopata bila shaka yatabadili mtazamo wako.
 
Nchimbi huyu aliyefeli Mzumbe au?
Huyuhuyu aliyekodi watu wafike majimaji kushangilia miaka 38 ya ccm na kuwalazimisha wanafunzi wa shule zote za manispaa kuwepo uwanjani ili uwanja ujae watu!!?
Kafanya nini Songea basi ili apewe urais wa nchi tajiri yenye lundo la maskini!!?
 
Wewe kweli ni naive na siasa za nchi hii,haitatokea mwanamke kuwa rais wa nchi hii.Fanya research ndogo tu ya kuona ni kwa kiwango gani wanawake wanapewa nafasi ya kuongoza Tanzania, Anzia kwa upande wa dini uone Waislamu,Wakristu,Wapagani wana mtazamo gani kuhusu hilo na majibu utakayopata bila shaka yatabadili mtazamo wako.

Naheshim mawazo yako. Urais sio Upadri au Usheikh, kuwaza hivyo ni kuwa na fikra mgando, uanamke si kigezo cha kuwa au kutokuwa rais! ni kukidhi vigezo vya kikatiba na kuwa na uwezo wa kutatua kero za wananchi. Unataka kuniambia Mh.Halima Mdee hawezi kugombea urais hata kama amekidhi vigezo vya kikatiba!!!,
 
Kichwa cha mwenyewazimu....njoo munyoe mwenye kinyoleo. Asietangaza nia mwaka huu asitegemee(kwa anaejijua anataka kujiweka kwenye historia) tena standard will be set too high...
 
kama nchimbi nae atakuwa rais basi nitashawishika kuihama nchi hii na kuungana na kina Julius ughaibuni!itakuwa haina maana,hasa nikumbuka panchi aliyopigwa pale mzumbe university(by then IDM) wakati anagombea urais wa serikali ya wanafunzi
Yupo Bora Nchimbi au Samia?
 
kama nchimbi nae atakuwa rais basi nitashawishika kuihama nchi hii na kuungana na kina Julius ughaibuni!itakuwa haina maana,hasa nikumbuka panchi aliyopigwa pale mzumbe university(by then IDM) wakati anagombea urais wa serikali ya wanafunzi
Yupo Bora Nchimbi au Samia
 
Back
Top Bottom