barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
binafsi napenda macho yake tu.ova
Ya chura, una taste mbaya ya macho, duh!
binafsi napenda macho yake tu.ova
Ya chura, una taste mbaya ya macho, duh!
Tukiwa chuoni,mwaka 2012 kijana mmoja kutoka Songea aliwahi kusema kuwa Nchimbi nae anautaka, Wengi tulichukulia kawaida lakini sasa naanza kuona jamaa anaweza kupenya. nakupeperusha bendela ya CCM mwaka huu.Tafadhali kama kuna mtu amamfahamu vizuri huyu jamaa hebu atujuze.
![]()
![]()
![]()
![]()
Kweli watu wamevurugwa
sasa nchimbi hata kwao hakubaliki sembuse nchi??
Teh teh teh teh
Tunayo historia ya kuuliwa Mh Amina Chifupa na uhusika wa Nchimbi!! subiri aletwe tuwashe moto!!Rais anatakiwa kuwa na nidhamu kwa wakubwa na wadogo, sasa huyu tuliambiwa alimtukana the Late Mzee Gamma je atatufaa?
Ungeyaona yangu je! ungekufa maana usingeweza kula bila kuniona wala kulala bila kuniona!hayohayo yananikuna nkiyaona
mkuu wewe unapendekeza nani? mimi hadi leo hii sijaona zaidi ya magufuli na dr salim.