Mm naona Emmanuel Nchimbi (Ph D) anafaa sana kuwa rais. Mwenyezi Mungu amrehemie huko alipo
 
..hahitaji kumhimiza Mungu kwa hili, kila kitu kiko wazi kwa yeyote anayejua thamani ya ukristo..
 
Wakatoliki pigeni mbiu, jpili ya kesho lazima nchimbi ashiriki ibada km sehemu/kiungo cha mwili wa kristo..asipoonekana wakatoliki wote msimame nje ya makanisa kutoa ujumbe kwa waliomuondoa kazini na kumfuta uanachama wa chama chake kujibu nchimbi yuko wapi..! Kiungo kimoja kwenye mwili wa Kristo kikiumia, mwili wote unaumia..! Hili si suala la mababa Askofu, ni suala la kanisa..!
Kanisa/waumini ni mwili wa Kristo.
 
Makanisani na nyumba za ibada wengi wanaenda kwa mazoea,kwa sasa nyumba za ibada zimechakachuliwa sana kwa kuweka pesa/mali mbele.
Yaliyo ya kaisari/kaisari hivi sasa ndio yanahubiriwa madhabahuni 💔
Njoo ufunguliwe kiuchumi,kiafya haya ndio trends🙌
 
Wachana na mambo ya dini au hata taasisi zinazojinasibu ni watetezi wa haki za binadamu,mimi nilichothibitisha watanzania ni wabinafsi hakuna hata familia moja iliyoziomba mamlaka miili ya ndugu zao waliotangulia hata kwa kauli za kunyenyekea na vilio kama tulivyo waona mama Henche na Slow slow kipindi cha nyuma.
Sisi ni wabinafsi kupitiliza na nashukuru hili nililiona miaka ya mwanzo kabisa ya ujana wangu,mambo ya kutetea umma nilishayaweka pembeni kila ntu afe na shida zake!!
 
I repeat, you're very foolish. How many people the church has ever found in country or elsewhere? Keep your ignorance to yourself and your family. You know nothing!
 
I repeat, you're very foolish. How many people the church has ever found in country or elsewhere? Keep your ignorance to yourself and your family. You know nothing!
Tanzania population as per Year 2026 is 73 million approximately, among which the christians are 63%, Muslims are only 21%, others make 6%

Although RC remain the most influential, popular,the richest dominion in Tanzania and most HRs defender in Tz, all christians have the same responsibility to their congregations.

Why the number of Christians in the church irritate your ass so much? Are you a Muslim? You are welcome to defend HRs in Tz too.
 
Tanzania haijawahi kufanya sensa ya idadi ya waumini kwa zaidi ya miaka hamsini. Wewe umeitoa wapi?
Au ndio ninyi wajinga wachache mliobaki kwenye kuamini Kanisa Katoliki lina nguvu na mkiulizwa nguvu gani hamna cha kujibu mnabaki tuko wengi! Majinga kabisa!

Kwa taarifa yako, Kanisa Katoliki limesajiliwa Serikalini kama NGO tu! Haina tofauti na NGO zile zinazotoa vilainishi. Zote zimesajiliwa daftari Moja! Daaaadeki!
 
Sadaka ziendelee tu mkuu, acha kutegea
 
..hahitaji kumhimiza Mungu kwa hili, kila kitu kiko wazi kwa yeyote anayejua thamani ya ukristo..
Sasa huyo unayemjibia, thamani hiyo haijui, ndiyo maana kaleta hoja ya kipuuzi kama hiyo, na mimi nimemjibu kwa kujuwa kuwa haijui hiyo thamani unayoizungumzia wewe.
 
Makasiriko na matusi ya nini?
Are you a psychopath?
Unahangaika bure Kwa data ambazo ata ukigoogle unazipata.
Toa hizo data zako tuone, data zangu hazitegemei serikali ya Tz ambayo ata utabiri wa hali ya hewa inategemea data kutoka nje.

Kinachokusumbua ni poor exposure kuhusu global issues. Uko nje wanajua mpaka idadi ya wanyama wetu na rasilimali zetu bila ata ya kutegemea data za kupika toka serikalini ambazo haziaminiki kimataifa.

Kanisa kusajili kama NGO sio big deal, kila mtu mwenye akili timamu anajua nguvu ya katoliki ktk kutoa elimu, huduma za afya etc, kiasi kwamba taasisi zake ndio zinatoa huduma bora kuliko ata za serikali.

Wake the Fvck up! Clueless fool.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…