Godman Autodidact
Member
- Aug 26, 2026
- 77
- 200
VIongozi wa RC si watu wa kukurupuka, wamefuatilia, na wanaendelea kufuatilia, taarifa ambazo tena ni classified kumhusu wanazo! Sema, ni kwamba any ngoja nifute nilichotaka kuendelea kuandika kwanzaDr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania.
Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na mtu wa mwenye hadhi kubwa nchini, tunajiuliza na kujaa mashaka umuhimu wa sisi kutoa sadaka kwa kanisa uko wapi!?
Kama kwa mtu wa hadhi ya Dr Nchimbi kanisa halisimami nae, je sisi waumini tusio maarufu itakuwaje?
Kimsingi tunatoa sadaka kwa Mungu ili watumishi wake wapate wepesi wa kufanya kazi ya Mungu, maana yake pesa uishia kwenye matumizi ya wanadamu maana Mungu hatumii pesa hizo yeye mwenyewe.
Sasa kwa hii hali inayomkuta Dr Nchimbi na kanisa halimsaidii au linasimama na watesi wetu/mashetani maana yake umuhimu wa sisi kutoa sadaka haupo tena. Kama tukitoa maana yake hatumtolei Mungu tena maana sadaka zetu zinafanya kazi za kishetani.
Kukaa kimya ni kukaa upande wa watesi wetu, na kitendo hiki ni cha kishetani. Kufikia Xmas mwaka huu kama kanisa katoliki na makanisa mengine pamoja na waislam wataaendelea kukaa kimya, nashauri waumini wote wakristo na wasio wakristo tusimame upande wa Mungu kwa kukataa kutoa sadaka ambazo zinafanya kazi za kishetani, yaani viongozi wake wanasimama na viongozi waovu wa serikalini.
Tukigoma kutoa sadaka kwa viongozi wa dini zote, hakika ushirika wa viongozi wa dini na serikali utapungua na tutawawajibisha viongozi wetu wa kidini wasiwe machawa wa mifumo kandamizi.
Sadaka ziendelee tu mkuuKimsingi tunatoa sadaka kwa Mungu ili watumishi wake wapate wepesi wa kufanya kazi ya Mungu, maana yake pesa uishia kwenye matumizi ya wanadamu maana Mungu hatumii pesa hizo yeye mwenyewe.
Andika tu, usifute. Uoga wetu ndio unachochea utekaji, mauaji, uonevu, rushwa etcVIongozi wa RC si watu wa kukurupuka, wamefuatilia, na wanaendelea kufuatilia, taarifa ambazo tena ni classified kumhusu wanazo! Sema, ni kwamba any ngoja nifute nilichotaka kuendelea kuandika kwanza
VIongozi wa RC si watu wa kukurupuka, wamefuatilia, na wanaendelea kufuatilia, taarifa ambazo tena ni classified kumhusu wanazo! Sema, ni kwamba any ngoja nifute nilichotaka kuendelea kuandika kwanza
Kutoa sadaka ni kuchochea maovu ya viongozi wa kanisa, hapo humtolei Mungu sadaka bali shetani.Sadaka ziendelee tu mkuu
KWamba shetani kuna muda anaongoza kanisa pia?Kutoa sadaka ni kuchochea maovu ya viongozi wa kanisa, hapo humtolei Mungu sadaka bali shetani.
NDejembi kapitishwa bungeni kwa 100% kwa mujibu wa taarifa rasmiNchimbi yupo okay: a little bit restricted but he's okay.
Siyo rahisi kumdhuru Kwa sababu bado ana ushawishi mkubwa katika Chama.
Kwani wewe huwezi kuchukua jukumu la kumtafuta mpaka usakizie wengine?Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania.
Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na pia ni mtu mwenye hadhi kubwa nchini, tunajiuliza na kujaa mashaka umuhimu wa sisi kutoa sadaka kwa kanisa uko wapi!?
Kama kwa mtu wa hadhi ya Dr Nchimbi kanisa halisimami nae, je sisi waumini tusio maarufu itakuwaje?
Kimsingi tunatoa sadaka kwa Mungu ili watumishi wake wapate wepesi wa kufanya kazi ya Mungu, maana yake pesa uishia kwenye matumizi ya wanadamu maana Mungu hatumii pesa hizo yeye mwenyewe.
Sasa kwa hii hali inayomkuta Dr Nchimbi na kanisa halimsaidii au linasimama na watesi wetu/mashetani maana yake umuhimu wa sisi kutoa sadaka haupo tena. Kama tukitoa maana yake hatumtolei Mungu tena maana sadaka zetu zinafanya kazi za kishetani.
Kukaa kimya ni kukaa upande wa watesi wetu, na kitendo hiki ni cha kishetani. Kufikia Xmas mwaka huu kama kanisa katoliki na makanisa mengine pamoja na waislam wataaendelea kukaa kimya, nashauri waumini wote wakristo na wasio wakristo tusimame upande wa Mungu kwa kukataa kutoa sadaka ambazo zinafanya kazi za kishetani, yaani viongozi wake wanasimama na viongozi waovu wa serikalini.
Tukigoma kutoa sadaka kwa viongozi wa dini zote, hakika ushirika wa viongozi wa dini na serikali utapungua na tutawawajibisha viongozi wetu wa kidini wasiwe machawa wa mifumo kandamizi.
mada za Nchimbi na Kanisa Katoliki ni Uchonganishi tu, mbn hakukua na mada za Ally Kibao kutoka Bakwata wala Shura imamu? Ni sawa tu wanavyokaa kimyaVIongozi wa RC si watu wa kukurupuka, wamefuatilia, na wanaendelea kufuatilia, taarifa ambazo tena ni classified kumhusu wanazo! Sema, ni kwamba any ngoja nifute nilichotaka kuendelea kuandika kwanza
Kama haujaelewa hoja nyepesi, kapime IQ level yako mkuu.KWamba shetani kuna muda anaongoza kanisa pia?
Ndg, Kwanza asante kwa kuongea jambo hili kwa uwazi..hebu tuambizane ukweli tu, msimamo wa mababa Askofu kupitia TEC dhidi ya udhalimu na ukandamizaji wa serikali kwa wananchi haujulikani..? Ni lini WAUMINI WAKATOLIKI wamejitokeza kuunga mkono msimamo huo hadharani..? Nani mwenye mapungufu kati ya waumini na maaskofu ktk kukemea maovu na kutetea haki..? Hebu pima ushiriki wa waumini wakatoliki kwenye matamasha na sherehe..kwa nini huoni kitu km hicho linapokuja suala la kukemea UOVU..?Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania.
Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na pia ni mtu mwenye hadhi kubwa nchini, tunajiuliza na kujaa mashaka umuhimu wa sisi kutoa sadaka kwa kanisa uko wapi!?
Kama kwa mtu wa hadhi ya Dr Nchimbi kanisa halisimami nae, je sisi waumini tusio maarufu itakuwaje?
Kimsingi tunatoa sadaka kwa Mungu ili watumishi wake wapate wepesi wa kufanya kazi ya Mungu, maana yake pesa uishia kwenye matumizi ya wanadamu maana Mungu hatumii pesa hizo yeye mwenyewe.
Sasa kwa hii hali inayomkuta Dr Nchimbi na kanisa halimsaidii au linasimama na watesi wetu/mashetani maana yake umuhimu wa sisi kutoa sadaka haupo tena. Kama tukitoa maana yake hatumtolei Mungu tena maana sadaka zetu zinafanya kazi za kishetani.
Kukaa kimya ni kukaa upande wa watesi wetu, na kitendo hiki ni cha kishetani. Kufikia Xmas mwaka huu kama kanisa katoliki na makanisa mengine pamoja na waislam wataaendelea kukaa kimya, nashauri waumini wote wakristo na wasio wakristo tusimame upande wa Mungu kwa kukataa kutoa sadaka ambazo zinafanya kazi za kishetani, yaani viongozi wake wanasimama na viongozi waovu wa serikalini.
Tukigoma kutoa sadaka kwa viongozi wa dini zote, hakika ushirika wa viongozi wa dini na serikali utapungua na tutawawajibisha viongozi wetu wa kidini wasiwe machawa wa mifumo kandamizi.
Exactly the pointKutoa sadaka ni kuchochea maovu ya viongozi wa kanisa, hapo humtolei Mungu sadaka bali shetani.
Yuko ok wapi, Bro Polepole hakuwa na ushawishi?Nchimbi yupo okay: a little bit restricted but he's okay.
Siyo rahisi kumdhuru Kwa sababu bado ana ushawishi mkubwa katika Chama.
Kanisa ndio lenye platform na mechanism hiyo, mtu binafsi na kanisa ni nani mwenye nguvu?Kwani wewe huwezi kuchukua jukumu la kumtafuta mpaka usakizie wengine?
Very stupid fallacious argument.Kanisa ndio lenye platform na mechanism hiyo, mtu binafsi na kanisa ni nani mwenye nguvu?
Simple common sense.
Km kutoka hadharani kupinga jambo baya ni uchonganishi ni bora mara 100.. wewe unaona uchonganishi lkn huoni chanzo cha uchonganishi..nini kimeleta uchonganishi..? Halafu si sawa kuupima ukristo/ukatoliki kwa tabia za dini au imani nyingine, ni vitu tofauti kabisa..unaweza kupima ubaya au uzuri wa mwanga kwa kulinganisha na giza..? Punguani ndie anaweza kufanya hivyo..mada za Nchimbi na Kanisa Katoliki ni Uchonganishi tu, mbn hakukua na mada za Ally Kibao kutoka Bakwata wala Shura imamu? Ni sawa tu wanavyokaa kimya
GT msome mleta mada vzr btn the lineKm kutoka hadharani kupinga jambo baya ni uchonganishi ni bora mara 100.. wewe unaona uchonganishi lkn huoni chanzo cha uchonganishi..nini kimeleta uchonganishi..? Halafu si sawa kuupima ukristo/ukatoliki kwa tabia za dini au imani nyingine, ni vitu tofauti kabisa..unaweza kupima ubaya au uzuri wa mwanga kwa kulinganisha na giza..? Punguani ndie anaweza kufanya hivyo..
Tujifunze kukataa uovu kwanza kabla ya kuongelea matokeo ya uovu!
Says the low IQ moron. Stop being this clueless fool and useful idiot for an evil regime.Very stupid fallacious argument.