Wakati huo huo, tutapeleka vijana wa jeshi wakabangue kwa meno...usiombe uugue kichaa cha kihutu, it is real & incurable!
Si aseme tu biashara zimebuma chini ya draconian Jiwe?? Machinga?? Machinga ndio nani ktk uchumi wetu?? Anaficha nini?? Kuhusu nyongeza ya mishahara aneamua kumlipua Jiwe kwa lugha ya kiuchumi. Màana amezidiwa na sekta binafsi anbazo nazo anapambana kuzifutilia mbali.Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.
Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .
Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
na kirabhabhuura hene hene."Ekiriro kirimubhuraa"
Mkuu pandisha video hii hapa ya Dr mpango kuna robot za lumumba haziaminiHii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.
Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .
Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
Nani wakuchukua hatua?Ndo wachukue Hatua sasa sio kukili2 alaf kukaa kimya.... Ni upuuzi huu
We subiri tuu utakapo fika wakati watumishi wa Serikali wanakaa miezi miwili hakuna mshahara kama Watumishi wa Sahara media ndio watakapo acha zile nyimbo zao za mbele kwa mbele!
Wewe na waziri wa fedha nani anajua akaunti za serikali?Pengine hajapitia accounts za serikali vizuri. Mererani peke yake ilikuwa ikiingiza kama milioni 160 hivi na sasa tunapata trilions.
Sababu mbona zipo wazi.hatuzalishi, kodi juu, purchasing power very low na matakataka kibao unayajua.Sasa tuambiane ukwel nn hasa kinasababisha kuwa na uchumi wa namna hii na serikal ifany nn ili kuondokana na ukata huu
Walikua wapiga dili hao. Waende zaoHii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.
Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .
Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
Ukiona hivyo ujue mrijo wa mvinyo umekata akili zimeanza kumrejea.Daaadeki! Mkuu kimekukumba nini tena kule Lumumba?
Daah kweli Mzee..au huenda ni Ndugu wa jiweMkuu hizo ni robot hamna watu pale
Asante sana mkuu , Moderator kama unatusikia tunakuomba kutuwekea video hii pale juu ili wadau wajionee , natanguliza shukraniMkuu pandisha video hii hapa ya Dr mpango kuna robot za lumumba haziamini
View attachment 924817
Mererani ipi wewe!?hii iliyopauka migodi inashindwa kufanya kazi,uzalishaji hamna coz ya Sera zenu mbovu hali mererani kila siku inazidi kua mbayaPengine hajapitia accounts za serikali vizuri. Mererani peke yake ilikuwa ikiingiza kama milioni 160 hivi na sasa tunapata trilions.