Kwakifupi tatizo ni Mjasiliamali na mambo yanayo mzunguka kuanzia kwenye familia hadi kimataifaKwa hiyo sasa mkuu huu uzi ufungwe tusubiri kitabu chako ama? Wabongo bana😀
Si wanalipa kodi lakini?kampuni za michezo ya kubashiri zichunguzwe zinadhulumu pesa nyingi toka kwa watanzania mbumbu wanaoamini wanaweza kushinda milioni 200 kwa 500, ukichunguza pesa inayokusanya kwa siku kampuni 1 ya michezo ya kubashiri, inazidi pesa ambayo shirika letu la umeme inaingiza kwa wiki.
Sooner than later and it was about time.Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji , Ukosefu wa Ajira mpya katika nchi na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.
Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .
Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
Huyu jamaa atatumbuliwa soon!!
BTW kama anayajua hayo yote kwann asimshauri mkuu wake?
Usisahau dhuluma na uonevu walioutenda kwa miaka mingi.Sisi binadamu ni viumbe wa ajabu sana hata kama magufuli angefanya vizur bado pangehitajika kukitoa chama madarakani ujue ccm imechokwa hii toka 1995 inaishi kibabe kwa hiyo hata kifanyike kitu cha maana bado itakuwa bure raia wanashauku ya kutaka kupata kitu kipya wamechoka kisikia kila siku jambo moja wapingaji hawatapungua watazid kuongezeka ndo mana ccm inapata shida sana ninachokwambia nina uhakika nacho mfano hata ujeruman iliwah tokea watu walisema hatupend chama na viongoz wake tumechoka kuwasikia na kuona sura zao tunahitaj watu wapya ila kila kitu kilikuwa poa.
Halafu baada ya kubanguliwa tutazipeleka mashuleni na mahospitalini wakatafune huko. Selekali yangu sio ya mchezomchezoWakati huo huo, tutapeleka vijana wa jeshi wakabangue kwa meno...usiombe uugue kichaa cha kihutu, it is real!
Tupiamo na kavideo ka yotube tafadhaliHii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji , Ukosefu wa Ajira mpya katika nchi na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.
Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .
Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
Mbowe kwenye mikutano yke na waandishi wa habari alishalisema hili la kuporomoka na kuanguka uchumi,msemaji wa serikali msiba na dr.Hassani wakakanusha leo mngo anakiri muda umepitaHii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji , Ukosefu wa Ajira mpya katika nchi na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.
Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .
Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
Leo unaongea kwa nidhamu na upole sioweka clip mkuu,
Huyu ameshapiga U-turn kubwa sana kwasasa.Muongeze hapo imhotep
Na wakati huo ukifika, hata Jiwe watamkana.Bado watasema yote muda ukifika.
Waswahili walisema "mbio za sakafuni, huishia ukingoni".Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji , Ukosefu wa Ajira mpya katika nchi na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.
Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .
Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
Nisamehe mkuu maana nimekuja rudia comment yako kumbe uko vice versaPengine hajapitia accounts za serikali vizuri. Mererani peke yake ilikuwa ikiingiza kama milioni 160 hivi na sasa tunapata trilions.
Hahaha...wazee wa sportpesa na 1xbetuchumi umishikiliwa na makampuni ya kubet...serikali inatakiwa kuyabana waongeze odds..!!