Habari inaweza kuwa kweli lakini bwana mdogo huna credibility kabisa kuzungumzia mambo haya.Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.
Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .
Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
Bora ya lugola aliesema Mashoga tembeeni vifua mbere.KWELI KABISA, WATZ TEMBEENI KIFUA MBELE
Kama kitu kinakuwa na bei kubwa kwa sababu ya VAT kwa kuwa kimo ndani ya duka, ni kwa nini nisikinunue kwa Machinga nje ya duka hilo hilo kwa bei ya chini ambayo haina VAT. Aidha, ni kwa nini wenye madu wasiwapatie wamachinga wawauzie nje ya maduka yao.Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.
Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .
Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
"Ekiriro kirimubhuraa"Let's call a spade a spade and not a big spoon. Wamachinga miaka wapo, leo wanatumika as scape goat ya kuporomoka uchumi. Wawe wazi and realistic kwa swala hili la uchumi. Wasiwe nyambisa bisa burweri.
Huu ndio mkakati wa sasa kariakooKama kitu kinakuwa na bei kubwa kwa sababu ya VAT kwa kuwa kimo ndani ya duka, ni kwa nini nisikinunue kwa Machinga nje ya duka hilo hilo kwa bei ya chini ambayo haina VAT. Aidha, ni kwa nini wenye madu wasiwapatie wamachinga wawauzie nje ya maduka yao.
Natamani wanajeshi wakose mshahara miezi mitatu ndo nchi itakuwa nzuriWe subiri tuu utakapo fika wakati watumishi wa Serikali wanakaa miezi miwili hakuna mshahara kama Watumishi wa Sahara media ndio watakapo acha zile nyimbo zao za mbele kwa mbele!
Mkuu sio Kifua Mbele ni Kifua Mbereee"Watanzania tutembee kifua mbele tena tukiwa tumevua mashati"
Weka nyama mkuuMagufuli angekuwa raisi mwenye sifa....ila kaenda kujichanganya kwa huyu antihomo
Sasa wachunguzwe vp mkuu wakati hawamkabi kuwapa pesa?kampuni za michezo ya kubashiri zichunguzwe zinadhulumu pesa nyingi toka kwa watanzania mbumbu wanaoamini wanaweza kushinda milioni 200 kwa 500, ukichunguza pesa inayokusanya kwa siku kampuni 1 ya michezo ya kubashiri, inazidi pesa ambayo shirika letu la umeme inaingiza kwa wiki.