Dr Mpango akiri uchumi wa nchi kuporomoka

Dr Mpango akiri uchumi wa nchi kuporomoka

Dr Mpango ni muongo,anamgombanisha Rais na wananchi atumbuliwe haraka sana,hali ya uchumi ni nzuri mno,Rais kafanya kazi nzuri sana kuinua uchumi.
By jingalao,Barbarosa,magonjwa mtambuka,muda wote,Rutashoborwa,stroke and other Lumumba crazies.
😂😂😂😂
 
Let's call a spade a spade and not a big spoon. Wamachinga miaka wapo, leo wanatumika as scape goat ya kuporomoka uchumi. Wawe wazi and realistic kwa swala hili la uchumi. Wasiwe nyambisa bisa burweri.
 
Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.

Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .

Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
tunatembea vifua mbele we are on the right track
 
Tulia mkuu utakijua tu , hapa kariakoo tunapanga kufunga maduka yote bidhaa tupange nje

Hivi ule mpango niliouonaga ITV, TRA waliwapa ID ili walipe kodi umeishia wapi? Na nyinyi nendeni TRA mka-declare kwamba biashara inakufa kisha na nyinyi muwe machinga
 
Kuna kitu kinaitwa ''AN ENTREPRENEUR AND HIS ENVIRONMENT'' hakija kaa sawa Kwenye uchumi wa Tanzania kwenye Kitabu changu ninacho kiandika nimejaribu kuelezea vizuri
Ni faida asilimia ngapi kwenye bidhaa mjasiriamali anatakiwa kupata ambayo ni faida nzuri ?
 
Dr Mpango ni muongo,anamgombanisha Rais na wananchi atumbuliwe haraka sana,hali ya uchumi ni nzuri mno,Rais kafanya kazi nzuri sana kuinua uchumi.
By jingalao,Barbarosa,magonjwa mtambuka,muda wote,Rutashoborwa,stroke and other Lumumba crazies.
Kwanza pale chuoni si alisema hali ni nzuri na akiba ya bl of dola!!!

Ukweli haujifichagi bhaana
P
 
Pengine hajapitia accounts za serikali vizuri. Mererani peke yake ilikuwa ikiingiza kama milioni 160 hivi na sasa tunapata trilions.
 
Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.

Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .

Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
Sasa tuambiane ukwel nn hasa kinasababisha kuwa na uchumi wa namna hii na serikal ifany nn ili kuondokana na ukata huu
 
We are in right track! wamevurugana kweli kweli. Huku TBC1 inaendesha vipindi vya propaganda ya mafanikio ya mzee Jiwe miaka mitatu. Jee hito miwili iliyobaki tutaweza ku survive kweli?
Tuache fix tukae chini na kuambiana ukweli kama Taifa tufanyeje. Sasa miswada ya hati ya dharula ndio itasaidia nchi iliyo kwama?
Bado hatujui EU watatuchapa na nini?

UKIANGALIA TBCCM HATA KWA SEKUNDE KUMI TU UNAHISI KIFAFA.
PROPAGANDA ZA KIJINGA MPAKA BASI. WANAJITUMA KWELI KUWATANGAZIA WATZ KWAMBA TUKO KWENYE RIGHT TRACK LAKINI MAMBO YANAONYESHA TUNAANGUKA.
 
Dr Mpango ni muongo,anamgombanisha Rais na wananchi atumbuliwe haraka sana,hali ya uchumi ni nzuri mno,Rais kafanya kazi nzuri sana kuinua uchumi.
By jingalao,Barbarosa,magonjwa mtambuka,muda wote,Rutashoborwa,stroke and other Lumumba crazies.
KWELI KABISA, WATZ TEMBEENI KIFUA MBELE
 
uchumi umishikiliwa na makampuni ya kubet...serikali inatakiwa kuyabana waongeze odds..!!
Upo serious ? Unajua maana ya odds au unahisi zile ni namba tu unaongeza na kupunguza ... Soma japo kidogo "probability" kwenye mathematics utaelewa.
 
kampuni za michezo ya kubashiri zichunguzwe zinadhulumu pesa nyingi toka kwa watanzania mbumbu wanaoamini wanaweza kushinda milioni 200 kwa 500, ukichunguza pesa inayokusanya kwa siku kampuni 1 ya michezo ya kubashiri, inazidi pesa ambayo shirika letu la umeme inaingiza kwa wiki.
 
Back
Top Bottom