The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,259
- 20,520
Tulia weweHahahaa...... Ushindwe na ulegee kama kiba100!
Tulia weweHahahaa...... Ushindwe na ulegee kama kiba100!
Hizo trilions zinazopatikana mererani zinatokana na nini? Nini chanzo cha mapato mererani? Ungeniambia kwamba mererani kabla ya ule ukuta walikuwa wanakusanya kiasi hicho cha hela ningekubali, lakini sio kwa hali iliyopo mererani kwa sasa,, mimi sio mgeni mererani mkuu naifahamu kuliko unavyoijua wewe,, Siasa zenu za kijinga ndo zinazotuletea yote haya kwenye ukweli semeni ukweli.Pengine hajapitia accounts za serikali vizuri. Mererani peke yake ilikuwa ikiingiza kama milioni 160 hivi na sasa tunapata trilions.
Bwana mdogo Nilikuwepo kabla hapo na hamna mtu mwenye akili timamu anataka kurudi huko ndiyo maana unanishangaza unapofurahia uchumi kushuka kama una akili timamu inabidi ufahamu wataumia wananchi siyo Jiwe na hadi leo bado sijaona Rais ambae ameweza kukuza uchumi na sioni Kiongozi wa namna hiyo kwa upande wa upinzani. Usifurahie ujinga.Kijana mdogo ulikuwepo 1980 hadi 1985..unafikiria Nyerere kwa nini aling'atuka ???watu walikuwa wanatembea uchi hakuna nguo..njaaa ya hatari..sukari na sabuni kulikuwa hakuna ..watu walifua nguo kwa mabunda ya mpapai...Ndio maana yule mzee aliachia nchi hata huyu mnaweza kumtengenezea chaos ambayo atajuta kuwa raisi...Akaja baba Mwinyi kwa kuwa ni mtu wa watu akatuondolea madhira..Kwangu Mwinyi ndio best President hapa Tanzania ingawa wengi hawataki kusema...Binadamu anapambana na mazingira yake watakimbia waogo..majority tutakuwepo..
Haaahaaaaa.yeye muache King kong hajaribiwi..........Konki Masta.
Dr Mpango ni muongo,anamgombanisha Rais na wananchi atumbuliwe haraka sana,hali ya uchumi ni nzuri mno,Rais kafanya kazi nzuri sana kuinua uchumi.
By jingalao,Barbarosa,magonjwa mtambuka,muda wote,Rutashoborwa,stroke and other Lumumba crazies.
Na wewe mkuu mbona unataka kujitoa ufahamu? Kwamba hakuna Rais aliyewahi kuinua uchumi are you serious? Halafu eti unadai kwa upinzani hujaona mtu wa kuinua uchumi,wewe kweli una akili zako binafsi zinakutuma ufikiri zigzaga bila kuchuja.Bwana mdogo Nilikuwepo kabla hapo na hamna mtu mwenye akili timamu anataka kurudi huko ndiyo maana unanishangaza unapofurahia uchumi kushuka kama una akili timamu inabidi ufahamu wataumia wananchi siyo Jiwe na hadi leo bado sijaona Rais ambae ameweza kukuza uchumi na sioni Kiongozi wa namna hiyo kwa upande wa upinzani. Usifurahie ujinga.
Unaelewa viongozi wa kisiasa wako accountable kwa yote, na wakifanya mazuri 99 na kuharibu moja tuna haki ya kukosoa hilo moja waliloharibu?Sijajua watu hufatilia vipi habari yaani MTU anaongelea kisehemu kimoja tuu cha changamoto as if hotuba iliongelea hapo tuu?? Kaongelea viwanda kuongezeka,barabara,madaraja,meli,ndege zilizoongezeka,maboresho ya elimu,afya,maji,makusanyo ya kodi kuongezeka nk. Kwanini tunasite kaeneo ka changamoto tuu? Au ndoile Fanya mema elfu ntakumbuka lile baya moja??
Usipoangalia mambo kwenye global context utapata shida kunielewa naposema hamna Rais Tanzania ameweza kukuza uchumi. Upinzani walipo sasa wamefeli kabla hata hawajapewa madaraka angalia halmashauri walizopewa toka tuanze kuwa na vyama vingi '95 , rudi kwenye vyama vyao jinsi wanavyosimamia fedha zao. Kupata Kiongozi mzuri siyo rahisi kama mnavyodhani inaweza kuchukua hata miaka 30 kumpata. Nchi kama zetu zinahitaji watu wenye caliber za Mahathir au Lee Kuan Yew kubadilisha uchumi. Hata hivyo inategemea na uelewa wa watu, nimebahatika kutembea nchi zilizokuwa na censorship za hali ya juu na ninadhubutu kusema Tanzania hatujafika level ya kusema tunanyimwa uhuru wa kuongea.Na wewe mkuu mbona unataka kujitoa ufahamu? Kwamba hakuna Rais aliyewahi kuinua uchumi are you serious? Halafu eti unadai kwa upinzani hujaona mtu wa kuinua uchumi,wewe kweli una akili zako binafsi zinakutuma ufikiri zigzaga bila kuchuja.
Urais ni taasisi kubwa,Rais hata kama hana elimu au kaishia la saba inatakiwa tu awe ni Rais mwenye hekima ya kusikiliza washauri wake.
Narudia tena,urais ni taasisi,Rais hafanyi kazi kwa elimu yake au mawazo yake,Rais amezungukwa na washauri wa uchumi, siasa za ndani na nje(Diplomasia),washauri wa usalama na nk.
Akiwa Dikteta kama huyu wa kwetu ndo ataongoza nchi kwa mawazo yake na matakwa yake binafsi huku akipinga kukosolewa na mpenda sifa tu,hao huwa ni madikteta.
Ni kweli Mwinyi alikuwa Rais mzuri sana,na sijui unapinga kwa kigezo kipi,aliikuta nchi imo shimoni watu wakipanga foleni hata kununua sabuni tu,bado unapinga wewe ulitakaje?
Mkapa alihakikisha thamani ya pesa haiporomoki na alidhibiti inflation, wewe unasema hakuna Rais aliyewahi kuinua uchumi, unachekesha sana,Kikwete alijenga urafiki mkubwa na mataifa makubwa duniani pamoja na wawekezaji,aliajiri kila mwaka na kuongeza mshahara hata kiduchu.
Magufuli ndo amekuja kuvuruga kila zuri lililofanywa na watangulizi wake,nchi imejikuta ikirudi nyuma kila siku,pesa haina thamani na inflation ipo juu mno,kila anayempinga ama kumkosoa ni lazima apotezwe au kupigwa risasi,rejea ya Ben Saanane na Tundu Lissu.
Nonsense!Usipoangalia mambo kwenye global context utapata shida kunielewa naposema hamna Rais Tanzania ameweza kukuza uchumi. Upinzani walipo sasa wamefeli kabla hata hawajapewa madaraka angalia halmashauri walizopewa toka tuanze kuwa na vyama vingi '95 , rudi kwenye vyama vyao jinsi wanavyosimamia fedha zao. Kupata Kiongozi mzuri siyo rahisi kama mnavyodhani inaweza kuchukua hata miaka 30 kumpata. Nchi kama zetu zinahitaji watu wenye caliber za Mahathir au Lee Kuan Yew kubadilisha uchumi. Hata hivyo inategemea na uelewa wa watu, nimebahatika kutembea nchi zilizokuwa na censorship za hali ya juu na ninadhubutu kusema Tanzania hatujafika level ya kusema tunanyimwa uhuru wa kuongea.
Kweli Mkuu, kakosa uzalendo kabisa!Nna wasiwasi na uraia wa bwana Mipango... uzalendo wake unatia shaka, lazima tumchunguze 😂
My shit stinks less than your ability to reply.Nonsense!
Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji , Ukosefu wa Ajira mpya katika nchi na kukosekana kwa mapato kutoka kwa sekta isiyo rasmi ( machinga ) kunakotokana na kukosekana kwa kumbukumbu za mapato kulikosababishwa na machinga kutokutunza kumbukumbu na kutokuwa na sehemu maalum za kufanyia biashara.
Dr Mpango amedai kwamba kushindwa kuongezwa mishahara ya wafanyakazi , na hivyo kupunguza mzunguko wa pesa ni sababu nyingine ya kuanguka kwa uchumi wa nchi .
Mytake , itafika wakati wote tutaongea lugha moja .
uchumi umishikiliwa na makampuni ya kubet...serikali inatakiwa kuyabana waongeze odds..!!
inaweza isiwe na mashiko ila kwa sisi tunaoishi uswahilini tunaona namna gani inavyoathiri uchumi wa mtu mmoja mmoja.Kwahiyo ndo sababu ya uchumi kuporomoka!!!!???? Aisee!
kodi wanalipa sawa njoo uswahilini uone watu wanavyoathirika na iyo michezo, beting na michezo mingine ya kubashiri ni addictive zaidi ya cocaine.Si wanalipa kodi lakini?