Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Sasa kwa nini kodi ya kichwa haianzishwi?
Vijiwe si unaviona, kama wakoloni waliweza, sisi tunashindwa nini?
Hata mimi sijui ni kwa nini hawarudishi kodi ya kichwa, labda wanaogopa vilio kutoka kwa watu, Waafrika sisi ni wavivu hatutaki kufanya kazi, na hii kodi ilikuwa siyo maarufu enzi za Muzungu ilichukiwa lkn Muzungu hakujali, ilikuwa ni lazima ulipe kama hauna hela tafuta kazi ili upate kodi yao, sasa baada ya Uhuru kama yalivyo mambo mengine tukaona na ujinga na unyanyasaji tukaifuta.
Lkn ndo iliyotumika kukarabati barabara za vijijini na mambo mengine, leo vijana wako vijiweni wakimshangilia Mondi na kujadili analala na Mwanamke gani.