Sasa kwanini na yeye analazimisha kuhutubia wanywa VIROBA, badala ya kwenda kuhutubia wanywa WHISK na VODKA wenzake? Am I missing something?
Hapo kulikuwa na mkutano wa kuhutubia?
Kumbe haya majitu kweli ni mapumbavu!
Hao ni wale wanywa viroba tu wanaozani siasa ni vita na mwisho wa siku huyo ndo rais wao. Badara ya kuwek masrahi ya taifa mbele na kuwakilisha matatizo yao..wamekalia viroba tu na kusahau kesh yao
usiwasingizie chadema hukohuko dodoma baada ya kumkata lowassa wanaccm walimpinga waziwazi kikwete kwa kuimba wakisema wanaimani na lowassa sasa labda utuambie kuwa wale nao niwanachadema kama sio basi hata leo waliomzomea kinywaji (pombe) ni wanaccm kwani toka dodoma walianza kumzomea kikwete
Ni aibu! Ni fedheha! Ama kweli CCM imekufa! Watu hawataki kusikia hata harufu yake. Shuhudia mwenyewe. Hii imetokea leo hapa Dar tena zikiwa zimebakia siku 3 tu CCM iondolewa na kuzikwa!
Uyole Mbeya hiyo
Kumzomea siyo vizuri, hata kama hatachaguliwa kuwa Rais bado anastahili kupewa heshima na mtanzania yeyote yule. Kazi kubwa kaifanya, na hatuna shida la hilo, tatizo ni chama chake tuu.
Halafu wewe kila ninakopita upo tu,hao wala kujiandikisha hawajajiandikisha.
Acha wazomee ila wanajua kabisa Magufuli ndo Raisi
Hapo kulikuwa na mkutano wa kuhutubia?
Kumbe haya majitu kweli ni mapumbavu!
Aisee hapo ni wapi ?? Au kwa wapiga mbizi
Magufuli anastahili kuwa rais
Kilichomfanya magufuli asimame kuongea na wanywa viroba ni nini? Mwambieni siku nyingine akipita wanywa viroba zone apite kimya kimya , sio mtu anazomewa halafu amekomaa tu na mic .. aibu!Hao ni wale wanywa viroba tu wanaozani siasa ni vita na mwisho wa siku huyo ndo rais wao. Badara ya kuwek masrahi ya taifa mbele na kuwakilisha matatizo yao..wamekalia viroba tu na kusahau kesh yao
Kama kawaidayenu kupanga wahuni barabarani...ndo maana mikoani mlikuwa mnapigwa chenga baada ya dili kuvuja
CCM wataiga hii muda so Mrefu.
Wao huwa wanasubiri UKAWA waanzishe ndo wakopi.
Poor CCM.