Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

Hivi video ikiondolewa ndipo litatimia like andiko kuwa CCM wamenunua JF.
 
Tatizo la Magufuli anasimama popote kuhutubia bila kuangalia mazingira husika ili aongeze idadi ya mikutano tunayotangaziwa na Bulembo.
Na ile gia yake kuwa ni raisi wa wote kumbe hawataki kumsikiliza. Yeye angesepa zake tu badala ya kulazimisha. Halafu na polisi ndani
 
Bado mna ujinga huu wa kutegemea kutayarisha vi clips vya vijana wa chadema wakizomea mnadhani ndio vitawaokoa! kitengo cha IT cha mafisadi mnakula hela za bure za Lowasa mwambieni ukweli kuwa pamoja na maigizo mnayomuonyesha, urais hawezi kushinda na wananchi wengi wameshaamua kumpa Magufuli.
 
Moderator, ondo uzi huu! haufai...not of Critical Thinkers!
 
Ni aibu! Ni fedheha! Ama kweli CCM imekufa! Watu hawataki kusikia hata harufu yake. Shuhudia mwenyewe. Hii imetokea leo hapa Dar tena zikiwa zimebakia siku 3 tu CCM iondolewa na kuzikwa!
https://youtu.be/NI_JKb9KJSc

Kimenukaaaaaaaaa...!!!Hahaaaa, Hii i noooma kweli kweli. Leo ni mara ya 4 sasa kwa watu kumzomea wazi wazi Magufuli. JAMANI WATANZANIA WANATAKA MABADILIKO ..!!!
 
Woote wanywa VIROBA! Mwenye akili anasikiliza na kuamua ampigie nani kura. Kufanya hivi ni kupunguzia kura UKAWA na CHADEMA!

Ilimradi tu katoka ccm hakuna haja ya kusubiri sera zake! Chama ambacho wezi wa mali zetu wanarandaranda tu mitaani bila kuwa na wasiwasi kisa tu wanahela
 
Safi sana, huwezi kuwa Rais kwa kupambwa tu muda wote,lazima ajue nchi yake inawananchi wenye uelewa tofauti tofauti.!
 
Back
Top Bottom