Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

Wazomeaji wenyewe wamedhoofika sauti haifiki hata mita moja mmeliwa hela imeenda bure

Sasa kwanini anakwenda kuhutubia watu ''waliodhoofu'' nikikazia kwa mchangia aliyeuliza ni kwanini anakwenda kuhutubia wanywa viroba badala ya wanywa wiski
 
Hao ni wale wanywa viroba tu wanaozani siasa ni vita na mwisho wa siku huyo ndo rais wao. Badara ya kuwek masrahi ya taifa mbele na kuwakilisha matatizo yao..wamekalia viroba tu na kusahau kesh yao
 
Mkuu ni wei kabisa....dakika kama hizi za majeruhi huwezi kufanya makosa kama haya ya kuchezea shillingi chooni......ni bora angepita kimyakimya...
Baada ya kuzomewa shekirango alipita bamaga mbio kama angesimama bila shaka yangempata ya ubungo.
 
Teh naona Mods bado hawajaishtukia hii.

Maana mahaba yao kwa mzee wa Kuwait yapo juu sana. Wanakera balaa.
 
Mwingine huko Geita alifanyiwa FUJO baada ya kumtukana Lowassa.

Eti Lowassa anatoka Uchagani ya Masaini. Watu wakalianzisha ikabidi tu waweke Mziki na wakamtoa na kumleta Lowassa.

Hivi Uchagani ya Masaini ndiyo wapi? Huyu MFICCM kweli hazimtoshi....



Mkuu Sikonge ni masiko na macho yangu au?
Kwamba jamaa wanasema lowasaaaaaaaa na mikono Bye bye ?

 
Last edited by a moderator:
Ni aibu! Ni fedheha! Ama kweli CCM imekufa! Watu hawataki kusikia hata harufu yake. Shuhudia mwenyewe. Hii imetokea leo hapa Dar tena zikiwa zimebakia siku 3 tu CCM iondolewa na kuzikwa!
hapo ni pale mbeya wapumbavu wakimwimbia magufuli 'lowasa lowasa' badala ya kusubiri oct 25 kumpigia huyo mgombea wao kura. sasa sijui walikua wanataka magufuli ajitoe kugombea au wanamuombea kura lowassa kwa magufuli,..sijui!! viroba kwa ukawa ni shiiiidah.
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana chadema kimekuwa kama chama cha wavuta bangi, kwani kuzomea ni maadili ya kibangibangi kama itikadi yako haiendani na Makufuli fanya mambo yako, biashara ya kupewa pesa ili kuzomea ni tabia mbaya kwa viongozi wa chadema wanaofanya mchezo huo, kwanza wanawapa viroba, bangi na posho kidogo. kuzomea si dawa ya kupata utakacho, na kama hawa ccm wangekuwa pia na tabia za kipumbavu kama za hicho chama chenu wala kisingekuwa kimefikia hapa, ambapo nyie ss mnazomea. Lakini mjue kwamba tunahitaji rais wa watz wote pamoja na wazomeaji hao.

Naamin Mungu ni mwema, hawezi kutupatia viongozi wa kuzomeazomea wenzao.
habari ndiyo hiyo hatakiwi.
 
Bado mna ujinga huu wa kutegemea kutayarisha vi clips vya vijana wa chadema wakizomea mnadhani ndio vitawaokoa! kitengo cha IT cha mafisadi mnakula hela za bure za Lowasa mwambieni ukweli kuwa pamoja na maigizo mnayomuonyesha, urais hawezi kushinda na wananchi wengi wameshaamua kumpa Magufuli.

Haya kawaambie Lumumba hivyo
 
UKAWA ni genge la wahuni watupuuu.hao ndio wanataka kulinda kura
Hongera Magufuli.watanzania tunakupeleka Ikulu .Hao wahuni watabadilika
 
Duu kwa hiyo siku hizi Moderator naye kanunuliwa au.... Invisible njoo huku utolee ufafanuzi wa hizi tuhuma

Nileleta uzi kama huu kwenye saa tisa hivi, yaani ulichukua dakika 3 ukaunganishwa na wa mafisiem wenye picha za uongo.

Bora hata wangeweka juu kabisa kama update.

Wao wakauficha katika kati ya posts.
 
Last edited by a moderator:
Na bado mtaelewa tu kuwa Dar hatuitaki CCM
Dar
Arusha
Klm
Mwanza
Mara
Geita
Kagera
Tanga
Mbeya
Mtwara
Tanga
Iringa
 
Back
Top Bottom