Mkulima wa Kuku
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,270
- 536
Sasa hivi wataandika Magufuli afanyiwa fujo na wahuni wa Chadema
Unajifanya humwoni aliyesimama kwenye roof ya gari nyeupe basi hata sauti take husikii?acha shanga wewe utachezwa! Yu wapi hapo huyo Magufuli? Mwahaha sana.
Jamiiforums siku hizi server ipo lumumba. Uzi huu audumu
Acha uongo. Hao Zomea zomea ni pale Ubugo mataa wamepiga Viroba vyao na mabangi yao. Lakini mwisho wa siku alihutubia mkutano picha zipo kwenye thread nyingine hapa JF
Woote wanywa VIROBA! Mwenye akili anasikiliza na kuamua ampigie nani kura. Kufanya hivi ni kupunguzia kura UKAWA na CHADEMA!
Mwingine huko Geita alifanyiwa FUJO baada ya kumtukana Lowassa.
Eti Lowassa anatoka Uchagani ya Masaini. Watu wakalianzisha ikabidi tu waweke Mziki na wakamtoa na kumleta Lowassa.
Hivi Uchagani ya Masaini ndiyo wapi? Huyu MFICCM kweli hazimtoshi....
Hao wahuni walioandaliwa wala kupiga kura hawatakwenda,as mwenyekiti wenu kasema kuna mkesha jumamosi wataishia kunywa viroba na jpili hawataweza kwenda vituoni,
Hao wahuni walioandaliwa wala kupiga kura hawatakwenda,as mwenyekiti wenu kasema kuna mkesha jumamosi wataishia kunywa viroba na jpili hawataweza kwenda vituoni,
Sadam Wa Kuwait lazima azomewe mzee Wa kuongea na wagonjwa Wa ICU