Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

Hao wahuni walioandaliwa wala kupiga kura hawatakwenda,as mwenyekiti wenu kasema kuna mkesha jumamosi wataishia kunywa viroba na jpili hawataweza kwenda vituoni,

So what u think ni kwamba CCM kura zenu kwa wavaa tai zitawatosha!? Mwaka huu wahuni wengi sana wamejiandikisha sasa sijui unawaambia nini hao wahuni na kwa tafsiri yenu wahuni ndio hao mliowanyima fursa za kimaisha hali ngumu wamepigika sana tu,

Jumapili wahuni tunaamka mapema sana tuwe wa kwanza kwanza kudhihirishia dunia kuwa wahuni nao kuna wakati wanakuwa na maamuzi na yanaheshimika,, time will tell just wait few hours and u will see what wahuni are capable of
 
Hao wanaoitwa wanywa viroba ni watanzania pia tunaomba kura zao kwa lowassa
 
Ni aibu! Ni fedheha! Ama kweli CCM imekufa! Watu hawataki kusikia hata harufu yake. Shuhudia mwenyewe. Hii imetokea leo hapa Dar tena zikiwa zimebakia siku 3 tu CCM iondolewa na kuzikwa!


Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Last edited by a moderator:
Halafu wewe kila ninakopita upo tu,hao wala kujiandikisha hawajajiandikisha.
Acha wazomee ila wanajua kabisa Magufuli ndo Raisi


Nilikuwa najiuliza, wewe ni mwanamke gani unamtetea Magufuli hivi... sasa nimejua..!!

Wewe ni Kabula wa Kebby Hotel..!!

So, mtetee hawara yako, una haki zote...!!!

Ila jiandae Rais ni Lowassa na hiyo Hotel hapo Bamaga Mwenge, Kebby tunaichukua...fasta..!!
 
12112241_10207747244268384_6089992044738606566_n.jpg
 
Hata mwenyewe anajua kazomewa, nasikia amepiga simu aje amalizie kanda ya ziwa ili ahutubie kwa kisukuma
 
Kuwa ameongea na kigoda alipokuwa anapelekwa ICU ya India

Hahaaa.. Kweli siasa mchezo mchafu. Ngoja niagize Viroba viwili na mimi nijiunge na vijana wanao onyesha ushujaa wa kumkataa mtu kidemokrasia.
 
Hapo kulikuwa na mkutano wa kuhutubia?

Kumbe haya majitu kweli ni mapumbavu!
 
Hapo kulikuwa na mkutano wa kuhutubia?

Kumbe haya majitu kweli ni mapumbavu!
Mwisho wenu October 25 watanzania wameamua mzee Wa sadamu Wa Kuwait na kuongea na wagonjwa Wa ICU na kuwatumia email akawaongopee kwenye chama chenu hamna pa kutokea mwaka huu
 
pigaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ndio kifuatacho hatutaki raisi anaetokea juu ya gari :bange:
 
Back
Top Bottom