hivi wadhani kuzomewa ndo kushindwa!!! Maana kuwalaghai wananchi kwa kuwalipa ili kuzomea viongozi wao sio jadi na mila zetu!!! Viongozi wanaoshauri hayo ni wa hovyo na hata vyama hivyo havifai kuingia madarakani maana walianza kwa kusema atakayemuunga mkono .......akapimwe akili na ........akipita kokote azomewe lakini leo hii ni hao hao ndiyo wanaopita naye na kusema ndo anafaa kuleta mabadiliko je wana akili hao????
Tumia akili yako vizuri usijazwe hasira na kukoseshwa uwezo wa kutafakari maneno yao!!! Maana hao ni vigeu geu!!!!
Tupia no,nikutumie zomea zomea ya sinza
do i look like i care..??!
Ni aibu! Ni fedheha! Ama kweli CCM imekufa! Watu hawataki kusikia hata harufu yake. Shuhudia mwenyewe. Hii imetokea leo hapa Dar tena zikiwa zimebakia siku 3 tu CCM iondolewa na kuzikwa!
do i look like i care..??!
kaka kila mtu anajinsi ya kuonyesha kutoridhika kwa kitu fulani. Utashangaa wapalestina wanatumia mawe kupambana na jeshi lenye nguvu, wanafanya hivyo kwani ndio njia pekee ya kuionyesha mataifa kuwa hawakubaliani na hao wenye mabavu. Vijana wamefanya kazi nzuri sana, ujumbe umefika na wanaccm wameelewa kuwa hawatakiwi tena tofauti na lowassa baraka zinamfuata popote aendapo. Fikiri mkuu kuna somo hapo....
masela wote watakaompigia kura lowasa nchi nzima hawazidi laki tano,,,,,,,na ndo hao wazomeaji,,,wenye akili zao timamu wametulia tuli,,kura wanampa magufuli...
We Wee,Palestina Na Tanzania Ni Tofauti mkuu.sisi tanzania tumepewa vikatio vyetu kumaliza hasira zetu na sio kuzomea.sasa unaweza kuta pale wengine wanazomea kuonyesha hasira zao lakini hata kura hawataenda kupiga,wengine hata vikatio hawana,wengine kwa sababu ya ujinga wao wamepoteza.mwisho wa siku ccm bado inabaki madarakani....wanachofanya ni kuendeleza upumbavu tu na kujaribu kuharibu amani tu.
kura za lowasa toka kwa...
-wanavyuo wote 150,000.
-wanywa viroba 100,000.
-wavuta ndumu 150,000.
-masela wengineo100,000.
jumla kuu 500,000.