Hapo kulikuwa na mkutano wa kuhutubia?
Kumbe haya majitu kweli ni mapumbavu!
Huyo big foreheaded creature ana ruhusa ya kufanya mikutano popote na bioa vibali maalum? Hapo anapambana na nguvu ya umma maana polisi wanamwonea haya.
Hapo kulikuwa na mkutano wa kuhutubia?
Kumbe haya majitu kweli ni mapumbavu!
Magamba walibuni ile ndude ya kupeleka uvmagamba kule makao makuu ya chadema wakijifanya bavicha. Ikabuma. Na kila wafanyacho kinabuma, masikini weeeee! Hata wakiiga itabuma pia. Hata huyo magu-fool akifanya mbadiliko ya jina na akajiita Lowassa, bado tu itabuma. Mwaka wa hasara ni hasara tu.
Huyu Magufuli anaambiwa kabisa kuwa hupendwi na hujakidhi vigezo lkn hakomi. Haya sasa haya ndio matokeo yake kupatwa na aibu.
lofa katika ubora wakoMpuuzi huyu jamaa,anaamini upuuzi wa ccm kwamba jimbo la lema ndilo lina fujo,wakafukuza na kuwakamata bodaboda njia anazopita ili asizomewe,na magufuli kwa upuuzi akajisifu ktk mkutano hakuzomewa.hakujua jimbo la Lema ndio kuna wasio na muda w akumshambulia ua kumzomea.Sasa amejionea mwenyewe ktk nchi wapi watu wanaweza mfundisha adabu haraka.
Waliomzomea Magufuli hawajielewi, Mungu awasamehe,naamini siku moja watakuja elewa na kusikitika kwa upumbavu walioufanya. Wote wenye kuelewa ni MAGUFULI (HAPA KAZI TU)
Ni aibu! Ni fedheha! Ama kweli CCM imekufa! Watu hawataki kusikia hata harufu yake. Shuhudia mwenyewe. Hii imetokea leo hapa Dar tena zikiwa zimebakia siku 3 tu CCM iondolewa na kuzikwa!
Kweli kabisa usemavyo. Yaani haya majitu, kulikuwa hakuna mkutano wa kuhutubia lakini yakataka kulazimisha yahutubie hivyo hivyo, matokea yake ndo hayo, yamezomewa!Hapo kulikuwa na mkutano wa kuhutubia?
Kumbe haya majitu kweli ni mapumbavu!
sasa hv ana uwezo wa kuongea hata na maiti
Mbona nasikia sauti zikisema Lowassa huko?
Kumzomea siyo vizuri, hata kama hatachaguliwa kuwa Rais bado anastahili kupewa heshima na mtanzania yeyote yule. Kazi kubwa kaifanya, na hatuna shida la hilo, tatizo ni chama chake tuu.
CCM imewaletea watu Pombe,wameikataa . Headline ya October 27.
Hao wahuni walioandaliwa wala kupiga kura hawatakwenda,as mwenyekiti wenu kasema kuna mkesha jumamosi wataishia kunywa viroba na jpili hawataweza kwenda vituoni,
Mbona sijasikia akizomewa zaidi ya huyu mpuuzi anaechukua video na rafiki zake wakipiga kelele, tafute simu quality basi ..
Sasa mitaa kama hiyo anafuata nini?? Hawana inteligensia yakuwashauri sehemu za kupita na ambazo hazifai kupita hasa kuhutubia? Hii ni kujifedhehesha kwa kweli......
wamezoea kudanganya umma kwa mafuriko ya kusomba na malori sasa anakutana na umma live na hayo ndo majibu halisi ya tarehe 25.