Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

Hehehehee, mie ni CCM haswaaa. Ila nataka CCM ipumzike kidogo ili watie akili.

Utaletaje MAGARI ya POLISI 777 badala ya kununua ndege kwa ajili ya Air Tanzania Boeng 777?

Unajua kwa nini anaitwa John POMBE Magufuli? Poa tu lakini, kama vipi nipigie simu maana mie sinywi.

Ila tu inabidi uwe kwenye maeneo ya kujidai ya Shehe Kipozeo: 0753 273 2**.

Kumbe na wewe siku hizi ni team fisadi papa?Wanywa viroba siyo type yangu
 
Mungu kweli ni mwema.umejipelekesha mwenyewe Upande wa njia pana ya@
Udini,ukanda ukabila
Viroba,fujo
Ufisadi,Richmond
Kupora mashamba nk

Mungu hakai ktk giza hilo


Ndo maana CCM kimekuwa kama chama cha waimba taarabu , kwani kutukana ni maadili ya kitaarabu na kinafki kama itikadi yako haiendani na Lowassa fanya mambo yako , biashara ya kupewa pesa ili kutukana ni tabia nzuri na inayoendana na viongozi na wafuasi wa CCM wanaofanya mchezo huo , kwanza wanawapa viroba , wananunua vyombo vya dola , na posho nyingi ambayo ni mali ya watanzania , kutukana si dawa ya kupata utakacho , na kama hawa chadema wangekuwa na tabia za kipumbavu kama za hicho chama chenu sijui ni malori mangapi ya matusi mngekuwa mshayanywa mpaka sa hivi , Lakini mjue kwamba tunahitaji raisi wa watz wote atakayetetea maslahi ya watanzania wote na sio watukanaji wachache wa CCM.

Naamini Mungu ni mwema , hawezi kutupatia viongozi wanaokesha majukwan kutukana wenzao.
 
Yaani mateja ni sheedah hapo hata kupiga kura hayapigi!
 
Hivi Kwanini Mada Ambazo Zinahusu Mgombea Wa CCM, UKITAKA Kuipitia Unazuiwa!! Kuna UZI USEMAO Magufuli Afanyiwa Fujo!!! Unazuiwa!!
 
Mungu kweli ni mwema.umejipelekesha mwenyewe Upande wa njia pana ya@
Udini,ukanda ukabila
Viroba,fujo
Ufisadi,Richmond
Kupora mashamba nk

Mungu hakai ktk giza hilo

Mungu kweli ni mwema.umejipelekesha mwenyewe Upande wa njia pana ya

Mauaji ya kikatili , Upotoshwaji kwa raia , Ukiukwaji wa haki za binadam , Ubavu wa madaraka a.k.a Udictecta, Uvunjifu wa Maadili , Matusi , Ufisadi , Umasikin nk

Mungu hakai ktk giza hilo
 
Ni aibu! Ni fedheha! Ama kweli CCM imekufa! Watu hawataki kusikia hata harufu yake. Shuhudia mwenyewe. Hii imetokea leo hapa Dar tena zikiwa zimebakia siku 3 tu CCM iondolewa na kuzikwa!


Kama waliandaa mkutano mitaa ya Ufipa, halali yao kuzomewa!
 
Last edited by a moderator:
Yaani mateja ni sheedah hapo hata kupiga kura hayapigi!

Kama Walikuwa MATEJA, WANYWA VIROBA, WAVUTA BANGI Na WAPIGA BEDE!! Sasa Huyo MGOMBEA Wenu ALITAKA Kuongea Nao Nini!!! Kwa Sababu GANI!!?? Why Asipite Zake Tu, Akaachana Na Hao WATU!! ACHENI UNAFIKI Na Propaganda ZENU Za Kishoga!!!!
 
Unasali kwa Gwajima??

Una sali katika kanisa analo ongoza Gwajima? Hakuna mtu anaye sali kwa Gwajima. Kama huu ndio umakini unaoongelea na kujiona wewe ni makini kuliko hao vijana basi si bure unahitaji Elimu Elimu Elimu. Sisali kwa Gwajima.
 
Hivi Kwanini Mada Ambazo Zinahusu Mgombea Wa CCM, UKITAKA Kuipitia Unazuiwa!! Kuna UZI USEMAO Magufuli Afanyiwa Fujo!!! Unazuiwa!!

Kwasababu magufuli ni yai ana lindwa kwa gharama yoyote ile ili lije kutotolewa kifaranga cha Mafisadi.
 
Sasa ww tangu umeanza kumsikiliza Lowasa ameshakwambia kipi ukakielewa kama kweli una akili timamu?!
"Wanaomshabikia Lowasa wakapimwe akili"-Msigwa. Wahi wakakupime usije ukaanza kula magodoro ya sponji buree!

Bs asilimia 60 ya wananch tutapimwa
 
Wabunge wa CCM ndio walikua viongozi wa kuzomea Wapinzani katika Bunge lilipopita, Je na wao walikua wako Viroba?
 
Kumzomea siyo vizuri, hata kama hatachaguliwa kuwa Rais bado anastahili kupewa heshima na mtanzania yeyote yule. Kazi kubwa kaifanya, na hatuna shida la hilo, tatizo ni chama chake tuu.
 
WANYWA VIROBA COZ HAPO CJAONA HATA MWENYE AKILI TIMATU WOTE WAPIGA DEBE, UWEZ KUWA MKEREKETWA UKAMPA KURA YAKO LOWASSA TENA FISADI WA KIMATAIFA/ kura ya ndio kwa MAGUFULI

Ebu soma hii post yako huku unajiangalia kwenye kioo... alaf unijulishe umejionaje :/
 
Hehehehee, mie ni CCM haswaaa. Ila nataka CCM ipumzike kidogo ili watie akili.

Utaletaje MAGARI ya POLISI 777 badala ya kununua ndege kwa ajili ya Air Tanzania Boeng 777?

Unajua kwa nini anaitwa John POMBE Magufuli? Poa tu lakini, kama vipi nipigie simu maana mie sinywi.

Ila tu inabidi uwe kwenye maeneo ya kujidai ya Shehe Kipozeo: 0753 273 2**.

Upo chabutwa nini?nimekuona ukihesabu hatua miambili zitakuwa wapi ili ulinde kura.
 
mmezoea kusema weka picha tutakuamini vipi ayaa leo mnasemaje waweke nn tena maana mkiambiwa ivi ivi uwa amuamini ayaa kazi kwenyu wazee wa mita 200 nyumbani
 
Back
Top Bottom