Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

Halafu Hawa wanywa viloba wana hasira CCM imewafanya hivyo na wanavichinjio tayari kuchinja hapo 25 oct.Pazuri hapo!
 
WANYWA VIROBA COZ HAPO CJAONA HATA MWENYE AKILI TIMATU WOTE WAPIGA DEBE, UWEZ KUWA MKEREKETWA UKAMPA KURA YAKO LOWASSA TENA FISADI WA KIMATAIFA/ kura ya ndio kwa MAGUFULI
 
Ni aibu! Ni fedheha! Ama kweli CCM imekufa! Watu hawataki kusikia hata harufu yake. Shuhudia mwenyewe. Hii imetokea leo hapa Dar tena zikiwa zimebakia siku 3 tu CCM iondolewa na kuzikwa!


Jamani mimi mwenzenu ninaona jp2 mbali. Kama mwezi ninahasira na chama cha matatizo ccm
 
Last edited by a moderator:
WANYWA VIROBA COZ HAPO CJAONA HATA MWENYE AKILI TIMATU WOTE WAPIGA DEBE, UWEZ KUWA MKEREKETWA UKAMPA KURA YAKO LOWASSA TENA FISADI WA KIMATAIFA/ kura ya ndio kwa MAGUFULI
wapiga debe na wanywa viroba kwani hawapigi kura. kwi kwi Kwi kwi!!!!!!
 
Watu wamefikia hatua ya kunywa viroba kutokana na mfumo mbaya wa CCM
 
Wahuni are good Lovers. Why don't you just DATE one of them? Utafurahi kuzaliwa Mtoto wa Kike with Wanywa Viroba 🙂

Just try the potential of Vuvuzela during Wakawaka mixed with Viroba.


Kumbe na wewe siku hizi ni team fisadi papa?Wanywa viroba siyo type yangu
 
Last edited by a moderator:
Ni aibu! Ni fedheha! Ama kweli CCM imekufa! Watu hawataki kusikia hata harufu yake. Shuhudia mwenyewe. Hii imetokea leo hapa Dar tena zikiwa zimebakia siku 3 tu CCM iondolewa na kuzikwa!


Hahahajajajaj hatariiiii asaaaaaaaaafiiii sanaaraaah
 
Last edited by a moderator:
Hata kama ni wavuta bangi na wanywa viroba,wanahaki ya kujieleza na kuzomea ni aina mojawapo ya kujieleza,angali bunge la england
 
Sasa Vicky.. Kama leo imewezekana kuwaandaa hao vijana na wakaweza kuonyesha kutokukubalika na kumwaibisha magufuli kiasi hicho ..Kwanini Isiwezekane kuwaandaa na hiyo tarehe 25 jumapili ili wampigie kura Lowassa? Hawa vijana sio wa kuwadharau kwani wana impact kubwa sana na tutakuja kushuhudia hilo mimi na wewe. By the way.. Unakumbuka ahadi tuliyo wekeana? Siku zimebaki 4 tu.


Halafu wewe kila ninakopita upo tu,hao wala kujiandikisha hawajajiandikisha.
Acha wazomee ila wanajua kabisa Magufuli ndo Raisi
 
WANYWA VIROBA COZ HAPO CJAONA HATA MWENYE AKILI TIMATU WOTE WAPIGA DEBE, UWEZ KUWA MKEREKETWA UKAMPA KURA YAKO LOWASSA TENA FISADI WA KIMATAIFA/ kura ya ndio kwa MAGUFULI

Hata Kuandika Tu Tatizo!! Je, Utaweza Kujenga Hoja Kweli Mtu Wa Aina Hii!!!!!?? Sasa Wale Na Ww Ni Nani Mlevi Na Mpiga Debe!!!!?? Kama Walikuwa Sio Muhimu Kwa Maelezo Yako, Why Mgombea Wenu ALITAKA Kuwahutubia!!!!!!? Je, Alikuwa Anataka Nini Kwao!! Acha BANGI Ww!!!!!
 
Huu uchaguzi mpaka upite tutajionea mengi sana watu wasipomshangilia Magufuli ni wahuni na wanywa viroba kaaazi kwelikweli!!!
 
Hao wahuni walioandaliwa wala kupiga kura hawatakwenda,as mwenyekiti wenu kasema kuna mkesha jumamosi wataishia kunywa viroba na jpili hawataweza kwenda vituoni,
Umeandika kwa huzuni sana mpaka nimekuhurumia..! Unaonyesha umekata tamaa kabisaa!! Maneno km hayo yako ndo yamewaponza ccm kwenye kampeni toka zianze. Hayo unaowaita wahuni kwani wananchi yao tofauti na hii!?? Jaribu kuheshimu watu wote bila kujali tofauti zao. Me nilikuwepo hapo,na ilikuwa ubungo mataa. Ambacho nna uhakika nacho,pamoja na kuwepo mimi pale,sijavuta bangi wala sigara na sijawahi,na bila hata kukujua,nna uhakika nakuzidi kila kitu. Akili,elimu,umri na hata fedha..!
 
Ndo maana chadema kimekuwa kama chama cha wavuta bangi, kwani kuzomea ni maadili ya kibangibangi kama itikadi yako haiendani na Makufuli fanya mambo yako, biashara ya kupewa pesa ili kuzomea ni tabia mbaya kwa viongozi wa chadema wanaofanya mchezo huo, kwanza wanawapa viroba, bangi na posho kidogo. kuzomea si dawa ya kupata utakacho, na kama hawa ccm wangekuwa pia na tabia za kipumbavu kama za hicho chama chenu wala kisingekuwa kimefikia hapa, ambapo nyie ss mnazomea. Lakini mjue kwamba tunahitaji rais wa watz wote pamoja na wazomeaji hao.

Naamin Mungu ni mwema, hawezi kutupatia viongozi wa kuzomeazomea wenzao.

Ndo maana CCM kimekuwa kama chama cha waimba taarabu , kwani kutukana ni maadili ya kitaarabu na kinafki kama itikadi yako haiendani na Lowassa fanya mambo yako , biashara ya kupewa pesa ili kutukana ni tabia nzuri na inayoendana na viongozi na wafuasi wa CCM wanaofanya mchezo huo , kwanza wanawapa viroba , wananunua vyombo vya dola , na posho nyingi ambayo ni mali ya watanzania , kutukana si dawa ya kupata utakacho , na kama hawa chadema wangekuwa na tabia za kipumbavu kama za hicho chama chenu sijui ni malori mangapi ya matusi mngekuwa mshayanywa mpaka sa hivi , Lakini mjue kwamba tunahitaji raisi wa watz wote atakayetetea maslahi ya watanzania wote na sio watukanaji wachache wa CCM.

Naamini Mungu ni mwema , hawezi kutupatia viongozi wanaokesha majukwan kutukana wenzao.
 
Back
Top Bottom