Dr. Magufuli anahitimisha Budget ya Wizara ya Ujenzi

Dr. Magufuli anahitimisha Budget ya Wizara ya Ujenzi

Siku hizi kitu chochote mtu anachoona anakuja kupost, itafikia stage mtu hata bi'mkubwa wake akibakwa atakuja kutusimuliwa humu.
 
Kwamba JPM alijibu vizuri hilo swali au la hilo ni suala tofauti hapa. Pointi ni kwamba wakati Mh. JJ Mnyika anamuuliza swali Mr. Pombe alionekana kukosa raha na kukunja uso tofauti na alipokuwa anaulizwa na wengine na sababu iko wazi. Hakuna kiongozi wa nyinyiemu anayetamani kuulizwa swali na JJM. Chezea kubwa-jinga JMK, usichezee JJ Mnyika!
 
Magufuli hana habari na hicho kikojozi. Mtu anajiamini sana wala hana habari na mnyika. Njoo na hii topic baada ya miaka 20 kama kikojozi wenu bado yuko kwenye siasa

sidhani kama matusi ndio njia pekee ya kumrekebisha mtu au kujibu hoja!
 
Msinikumbushe joke ya "mimi najuwa yeye anajuwa".

Mmekazana kuponda hamsemi alichojibiwa. Ngoja siku mbili tatu tutapata kumbukumbu za bungeni tutabandika hapa.
 
mnyika amejibiwa kikauzu wajameeni ,,, lakini n mwanaume wa ukweli mnyika
 
mambo yua maana kama haya ya bunge lazima 2dadavue mtaalam,,
 
Magufuli hana habari na hicho kikojozi. Mtu anajiamini sana wala hana habari na mnyika. Njoo na hii topic baada ya miaka 20 kama kikojozi wenu bado yuko kwenye siasa

wewe mbona ndiye kikojozi! Sasa kamanda wetu anakuhusu nini wewe magamba?
 
Siku hizi kitu chochote mtu anachoona anakuja kupost, itafikia stage mtu hata bi'mkubwa wake akibakwa atakuja kutusimuliwa humu.
,,, kwani tunaongea mambo ya taifa au ya kiukoo ha pa ,, leta hoja mwana
 
Magufuli hana habari na hicho kikojozi. Mtu anajiamini sana wala hana habari na mnyika. Njoo na hii topic baada ya miaka 20 kama kikojozi wenu bado yuko kwenye siasa

Kwa kawaida mtu anaejibu swali (hata lingekuwa ni la kijinga) kwa matusi maana yake ni kuwa ameishiwa hoja!
 
Sijui unamaanisha nini kwa sababu sisi wana ubungo tunamsikia akiwa makao makuu ya chadema na hakuna alilofanya toka achaguliwe. Ni harakati tu za kitaifa. Hatufai hata kidogo.

unataka mumchague kupitia ccm magamba ambao wameongoza kwa zaidi ya miaka hamsini bila maendeleo?acha umagamba wako wewe na kamwe hutaona kinachofanyika na mbunge wa chadema manake upo upande wa magamba wenzako lakini 2015 tutawang'oa hata kwa nyundo.
 
maswali ya mnyika yalikuwa ya kawaida.. But i wonder y magufuki ukunje uso na ndita kibao kwenye kipaji alafu unakamia mno?
 
kimsingi magufuli pombe hotuba na hoja ya bajeti yako ni nzuri na maswali umejibu vizuri. . Lakini mim utata upo kwenye maswali ya jj..mnyika.. Kwa nini ujibu huku una vihasira asira.. Alafu cha kushangaza hata mnyika mwenyewe akawa anatikisa kichwa kama alama ya mshangao... Na sintofaham.. Ndo napata hoja na nguvu kusema kwamba mnamdidimiza mnyikaa.. Wajameni.. Anawakilisha ubungo na watanzania wote wazalendo hivyo si yeye wa kuchukiwa waachukien waliom2ma
 
Sijui unamaanisha nini kwa sababu sisi wana ubungo tunamsikia akiwa makao makuu ya chadema na hakuna alilofanya toka achaguliwe. Ni harakati tu za kitaifa. Hatufai hata kidogo.

Acha hizo we huishi UB inawezekana upo kisarawe. Kwetu kwa watu makini kama MBABE wa dhaifu
 
Back
Top Bottom