Dr. Magufuli anahitimisha Budget ya Wizara ya Ujenzi

Leo bungeni mhe, magufuli alipokuwa akijibu maswali ya john mnyika alionekana kukunja uso .. Na ndita kibao.. Usoni.. Alafu kama hajali jali ivi.. Jambo ambalo limenipa utata wajameni..! Kuhusu bajeti ni nzuru tunakushukuru. Magufuli.. Lakini yote 9, kumi ni je kwa nini wewe unachukia maswali ya mnyika kama ..wale thenashara ccm wengine? Mnyika ameagizwa na wana ubungo .. Asichukiwe tafadhalin sana

wabongo mnapenda sana kugombanisha watu

Kiujumla Magufuri amejibu vizuri sana maswali yote pale bungeni acheni fikra finyu za namna hiyo kwenye jukwaa
 
Ulitegemea ajibu akiwa anachekelea huku akitoa udenda kama chizi? Toa upuuz wako hapa,yule ni mtu makin sana,siyo kama mabwege wengine.
 
Leo bungeni mhe, magufuli alipokuwa akijibu maswali ya john mnyika alionekana kukunja uso .. Na ndita kibao.. Usoni.. Alafu kama hajali jali ivi.. Jambo ambalo limenipa utata wajameni..! Kuhusu bajeti ni nzuru tunakushukuru. Magufuli.. Lakini yote 9, kumi ni je kwa nini wewe unachukia maswali ya mnyika kama ..wale thenashara ccm wengine? Mnyika ameagizwa na wana ubungo .. Asichukiwe tafadhalin sana

Umesahua, Mnyika aliungana na wakina Guninita, Mtemvu na wengine kumshambulia Magufuli pale alipoongeza nauli ya kivuko cha Kigamboni.
 
Ulitegemea ajibu akiwa anachekelea huku akitoa udenda kama chizi? Toa upuuz wako hapa,yule ni mtu makin sana,siyo kama mabwege wengine.

mbona ya wabunge wengine amejibu huku anakeneka keneka na kubatasamu.. Kama swali la deo kunjombe, machali, mrema, mbowe, alafu amewajibu kwa mifano..? Y mnyika?
 
Magufuli hana habari na hicho kikojozi. Mtu anajiamini sana wala hana habari na mnyika. Njoo na hii topic baada ya miaka 20 kama kikojozi wenu bado yuko kwenye siasa
 
Mnapokosa hoja huwa mna viroja.

viroja gani mkuu? Hoja hapa ni wat conflict is between mnyika n magufuli pombe? Bcoz wengine wamejibiwa vizuri kwa mifano, alafu mnyika anajibiwa kama yeye ndo mkazi pekee wa ubungo wakati nyuma yake ana watu kibao nyuma yake anawawakiliasha walio mtuma bungeni.. He is neva there 4 his own interest.. Mnyika is there 4 wanaubungoz sake
 
mmmmh! Kama mwanamke mbeya hukosi cha kusema! Jifun zekukaa kimya waweza onekana unahekima hatakama wewe ni mbumbumbu! Leo umechemka!
 
Mbona alimjibu fresh tu! Swali la Mnyika lilikuwa ni kujenga kwa kiwango cha rami barabara kama ya Goba ili kupunguza foleni ili kuendana na Mpango wa miaka mitano. Magufuli akampa akamweleza mipango na miradi yote ya DSM ili kupunguza foleni, ingawaje alikuwa anaongea kwa msisitizo sana!
 
mnyika yuko makini wote wanamuogopa majibu yake ni ya mtu aso jiamini ndo maana ukaona makufuli kakunja ndita hajiamini.
 
Mbona Mnaishi kwa Hisia ...ulitaka ampigie Magoti Mnyika..watu. Hawana muda wa Kukenua kenua

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
hana chuki ila nadhani na yeye alkua anajihami kuonekana dhaifu......
.....ila hawezi kwepa!
 
Magufuli ana jua Kwamba JJ Mnyika ni Jembe lazima achukue umakini na tahadhali

Sijui unamaanisha nini kwa sababu sisi wana ubungo tunamsikia akiwa makao makuu ya chadema na hakuna alilofanya toka achaguliwe. Ni harakati tu za kitaifa. Hatufai hata kidogo.
 
viroja gani mkuu? Hoja hapa ni wat conflict is between mnyika n magufuli pombe? Bcoz wengine wamejibiwa vizuri kwa mifano, alafu mnyika anajibiwa kama yeye ndo mkazi pekee wa ubungo wakati nyuma yake ana watu kibao nyuma yake anawawakiliasha walio mtuma bungeni.. He is neva there 4 his own interest.. Mnyika is there 4 wanaubungoz sake

Mbona alichojibiwa hamkisemi? kaambiwa tena "unawashwawashwa"?
 
Back
Top Bottom