Dr. Magufuli anahitimisha Budget ya Wizara ya Ujenzi

Dr. Magufuli anahitimisha Budget ya Wizara ya Ujenzi

Dr Magufuli, ana kipawa kikubwa saana cha kukariri, kuna tetesi kuwa ndio anayeongoza kwa high capacity ya kukariri kuliko mabumge/mawaziri wote wa bunge la Tanzania!

Bora umesema ni tetesi...nilidhani ni research.Kazi ya kukariri inatakiwa ibaki kwa watoto wa form one.Yeye anahitaji ku-deliver.Aonyeshe weledi katika kuchapa kazi.si sifa kwa PhD Holder kukariri.insulting intellectual fraternity.sivyo?

Kuna tofauti ndogo sana kati ya kukariri na kuwa na ueledi wa mambo katika kufanya kazi au kuchambua.Huwa napata shida kuwaelewesha watu kuhusu hili .
 
Mkuu, anasemaje kuhusu kampuni ya Ujerumani Strabag International kuhusu mradi wa mabasi yaendayo kasi?

Aaah Ritz anatoa tu data kwamba pale fire kutakuwa na barabara nane siyo nne! Pia kutakuwa na vi fly over vidogo vidogo vitakavyojengwa kwenye huo mradi.
 
Last edited by a moderator:
Anawafagilia wahandisi wa TANROADS kwa kufanya kazi nzuri ya ujenzi wa barabara.
 
Kumbe mkuu Mungi nawe unaliona hilo. Jamaa amejipambanua tofauti na wengine. Kwa hakika CCM ingepata mawaziri watano tu kama huyu basi isingekuwa na tabu iliyonayo sasa.

Watanzania tuna roho ngumu kweli kweli
 
Last edited by a moderator:
Amkubali Akunaay wa Chadema kua ni JEMBE!!
 
ukweli lazima tuukubali na pale panapohitaji sifa basi papewe sifa, huyu Magufuli ni mchapa kazi mimi nadhani alistahili apewe uwaziri mkuu huu ubabaishaji kwa baadhi ya mawaziri wachovu wangejitoa wenyewe,kaza buti mwana wa pombe MUNGU atakutunuku siku moja
 
Anampongeza Akunaay, amesema amezungumza mambo ya ukweli, na hata akijiunga ccm atapewa kura
 
  • Thanks
Reactions: FJM
ukweli lazima tuukubali na pale panapohitaji sifa basi papewe sifa, huyu Magufuli ni mchapa kazi mimi nadhani alistahili apewe uwaziri mkuu huu ubabaishaji kwa baadhi ya mawaziri wachovu wangejitoa wenyewe,kaza buti mwana wa pombe MUNGU atakutunuku siku moja

ndani ya ccm, magufuli ni zaidi ya waziri mkuu. Amempiga chini hata Jk kwa uchapaji kazi
 
Kiukweli huyu Magufuli inaonekana anautumia vizuri U Dr wake. Japo ana mapungufu ya kibinadamu, but generally anajitahidi sana ukizingatia kuwa yuko kwenye system ya CCM ambayo ni vigumu sana kufanya kazi na ukaonekana.

Mimi namsubiri kwa hamu sana waziri asiyejua siasa Prof. Sospeter Muhongo. Licha a kuwa na manaibu waziri vimeo, nadhani anaweza kuifufua CCM kwa miaka hii iliyobaki before 2015
 
Nadhani leo Mnyika hana kazi ya kubishana na Magufuli na AG. Bunge leo litaisha saa moja nadhani.
Kwa majibu ya Magufuli, nahisi vifungu vyote vitapitishwa bila matatizo
 
Mbona kila Mbunge anataka barabara zake zipelekwe TANROD. Kwani hiyo TANROD ina nini?
 
Anampongeza cheyo kwa kuipongeza serikali ya CCM, pia kwa kukiri Tz sasa inapitika yote.

CCM kweli inatisha
 
''Usipokuwa na madeni huku ni tajiri basi wewe sio tajiri'' Dr. Magufuli
 
Pombe ni jembe, sema anaboa kutumia muda mwingi kuyapaisha magamba na vijembe lukuki kwa cdm
 
Back
Top Bottom