Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,977
- 10,073
- Thread starter
- #41
Nadhani leo Mnyika hana kazi ya kubishana na Magufuli na AG. Bunge leo litaisha saa moja nadhani.
Kwa majibu ya Magufuli, nahisi vifungu vyote vitapitishwa bila matatizo
Mkuu unayoyasema ni kweli manake wabunge karibu wote wameunga mkono bajeti yake. Sioni akipata shida kwenye kupitisha hii budget.