Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

Mkuu wabara

Bahati mbaya sana wafuasi wa Chadema wengi hawajitambui kabisa sijui kwa nini watu wamekuwa na tabia za nyumbu.

baada ya TARISHI wenu kutimuliwa cdm mmechanganyikiwa sana .
 
Last edited by a moderator:
kuna babu mmoja kirundi aliwai kunambia mwaka 87 wakati naenda form 1 kwamba; ukwiga ntigutera ukumeya(elimu haifanyi mtu aache ujinga aliozaliwa nao). Kwa tafsiri hii, kamwe kitila hautakuja kutokwa na ujinga uliozaliwa nao ata kama umesoma. Baada ya kufukuzwa, dr lwaitama alisema kuwa wewe ni rafiki yake wewe na zitto. Mmesaidiana kwa mambo mengi ila kwa hili mmechemka na alisema mlipashwa kufukuzwa. Watu tunategemea mageuzi ya kweli nyie mnakuja na sera za kufifiza? Kama zitto alikuwa anakupa sh. Lak 2 kila mwezi, je ulikuwa na kazi gani special kwake? Kwa ujinga huu, angekupa milion moja kila mwezi, ungefanya ujinga mkuwa zaidi licha ya kuwa umesoma ila haujaelimika
 
Mmeshupalia dhana ya kuchukua pesa CCm bila kutafakari.. Kwani hujawahi kusikia usemi kuwa "Kula ccm kulala chadema?" au ulifikiri Ni kwa wapiga kura WA chini Tu. Sisi tunaamini hata kama kachukua kweli basi zimetumika kuimatisha chama kwanza Ni pesa za walipa kodi. Mbowe Ni kiongozi mbunifu hadi kuweza kuzichota pesa hizo

ama kwel wafuasi wa mbowe vipofu, no wonder mnaunga mkono uzinzi wake!!!!!!!
 
Wanaoshabikia viongozi badala ya chama ni vipofu ambao akili zao tayari zimedumazwa na "zidumu fikra za mwenyekiti"!!!

Muda ukifika watatambua uduni na ufinyu wa mtazamo wao wa sasa.
b
statement ya hovyo kabisa hii. chama ni nini? km chama sio viongozi basi which is obvious, ni nini sasa km sio katiba? nani ni custodian wa katiba na taratibu za chama? si kamati kuu? na si kamati kuu iliyowavua madaraka ndio tunayoishabikia? au wewe kitila unaposema watu washabikie chama unamaanisha nini. kushabikia chama si ndio kushabikia katiba ya chama? tofauti na wewe unavyomshabikia zito badala ya kushabikia chama (katiba ya chama)? hopeless kabisa.
 
we chizi nn, umeambiwa zito lakini bado unang'ang'ania kuuliza 'mbona wewe?!' - kwani yeye hajioni au unataka ajibu kulingana na matakwa yako?!
chadema haipaswi kuongozwa kwa utamaduni wa chama cha mapinduzi, real democracy LAZIMA ifuate mkondo wake!!!
Kuuliza si uchizi you prat .. there are many parallels bt zitto & kitilla.
 
Nimesoma makakala yako na nadhani nimeielewa vizuri.there is nothing in between the lines, the whole of your story is clear.nianze kwa kusema kama CHADEMA wasinge chukua busara ya kuwa a bit conservative napenda nikuhakikishie kuwa chama hiki kingekuwa kimesambaratika.Na hii conservatism ya chama ndio umekuwa mhimili wa uimara wa chama.Wakiridhika na mwenendo wa mwanachama, anapewa heshima zote na kupewa majukumu kulingana uwezo,umri na namna anavyo kilinda na kukitetea chama hadharani na hata akiwa mafichoni.

Hivi Dr mkumbo umewahi kujiuliza kwanini ZZK anataka kuwa mwenyekiti wa chama hiki kikubwa na chenye maadui wengi kutoka chama tawala? binafsi nilikuwa napata mashaka kuona ZZK yuko serious na utaka uenyekiti wa CHADEMA kwa udi na uvumba tena kabla ya 2015!! kweli? alikuwa na nia njema huyu? Hata kama alikuwa na nia njema,kwa maoni yangu ZZK hana mapenzi ya dhati kwa CHADEMA,si mfia chama.Mara ngapi amekisaliti chama wakati collective responsibility inahitajika BUNGENI? mara ngapi ameshiriki mikutano ya M4C? Halafu leo zitto huyu apewe chama haiwezekani.ZZK ATAFUKUZWA NA CHAMA HAKITATETEREKA.Amini usiamini chama hiki kina viongozi makini na wanachama makini.Mtu yeyote akijifanya ni mashuhuri kuliko CHAMA lazima aoneshwe mlango wa kutokea.zzk anakiburi kisicho na maana.Huwezi kudharau viongozi walio kujenga halafu ukabaki salama.utafukuzwa tu.

ZZK ananikumbusha jeuri aliyo kuja nayo marehemu TUNTEMEKE SANGA(R.I.P),Kwakuwa alikuwa msomi akamtaka Mwl ampe uwaziri mkuu wakati hajui waliopo walipata ugumu gani kuifikisha Nchi hapo alipo ikuta.arrogance gani hii?hata alipobembelezwa apewe ukuu wa mkoa akakataa!! anautaka uwaziri mkuu. Nyerere akasema huna adabu,akatiwa ndani kuwekwa kizuizi cha kijijini kwake takribani miaka 20! Sasa ndio haya ya ZZK. kuwa naibu katibu mkuu hakutosheka anataka uenyekiti,kwa umri wake haya ni madaraka makubwa sana kwake.Na kwa hakika baadhi yetu tupo CHADEMA kwasababu tunaridhika na ukomavu wa viongozi wa juu wa chama. siyo ZZK.

Ushauri wangu kwa zitto,kwanza aoe,na kama kweli amedhamiria kuwa maisha yake yatakuwa katika siasa basi ajifunze uvumilivu na kuheshimu kanuni,sheria na taratibu za chama.kuwa msomi siyo lazima uwe na madaraka katika vyama vya siasa! that is an added advantage,the most important thing is wisdom!! yes, wisdom.
 
Huyu mhadhiri mwenzangu amenisikitisha sana kwa kuonesha upeo finyu na tamaa. Alipaswa kujua kwmba chadema imeanza kukubalika sio zaid ya miaka saba iliyopita. tishio la cdm kwa chama tawala limekifanya chama tawala kutumia kila mbinukukimaliza. muda huu ulikuwa wa kuimarisha chama na kuongeza umoja kazika kukabiliana na mbinu za ccm. kinyume chake kina kitila and co. wanadhoofisha uongozi wa chama kichinichini ili wapate sababu ya kuwatoa.hii sii nia njema. this is pathetic. kitila umetuangusha sana. shame on you. mabadiliko ya uongoz kwenye chama ni jambo jema lakini kwa njia sahii na wakati muafaka. hovyo kabisa mwalim mwenzangu.

we utakuwa mwalimu wa kindergarten, unaungaje mkono demokrasia ya kihayawani chadema?! kwamba ifanane na ya ccm?!
ama kwel mabadiliko ya kisiasa 2015 ni ndoto tz!
 
Inahitaji Weledi wa hali ya juu kumuelewa Nguli Kitila Mkumbo, Pale tutakapoacha kushabikia Viongozi na badala yake kupenda CHAMA, tutaweza kuchambua hoja za msingi na kasoro zilizopo katika uongozi.

Yeah uko sahihi sana kaka mana hata kama Zitto ni tatizo basi tunahitaji kuujua ukwel wa hizi hoja zinazotolewa kua kama alivosema Dr
 
kuna babu mmoja kirundi aliwai kunambia mwaka 87 wakati naenda form 1 kwamba; ukwiga ntigutera ukumeya(elimu haifanyi mtu aache ujinga aliozaliwa nao). Kwa tafsiri hii, kamwe kitila hautakuja kutokwa na ujinga uliozaliwa nao ata kama umesoma. Baada ya kufukuzwa, dr lwaitama alisema kuwa wewe ni rafiki yake wewe na zitto. Mmesaidiana kwa mambo mengi ila kwa hili mmechemka na alisema mlipashwa kufukuzwa. Watu tunategemea mageuzi ya kweli nyie mnakuja na sera za kufifiza? Kama zitto alikuwa anakupa sh. Lak 2 kila mwezi, je ulikuwa na kazi gani special kwake? Kwa ujinga huu, angekupa milion moja kila mwezi, ungefanya ujinga mkuwa zaidi licha ya kuwa umesoma ila haujaelimika
 
Mkuu,
Yaani unaomba mbadala wa CCM na CDM baada ya kufukuzwa ndani ya chama?
Yaani unataka kuwaaminisha wanachama kila mtu ndani ya chadema ana nguvu sawa na Katibu wa Chama,sawa na Mwenyekiti wa chama?Ni nani sasa anapaswa kutoa displine endapo wanachama (kama wewe) wanavunja katiba ya chama au kupokea mlungula kutoa kwa CCM,endapo kila mwanachama ni sawa na viongozi wa chama?

Tulichagua viongozi sio tu kuongoza chama, Bali pia kusimamia katiba na kulinda chama endapo watu kama nyie mnaleta uhaini kwa mgongo wa demokrasia!

Tunakuhakikishia kama ndio unaomba BORA TUKOSE WOTE kwa sababu tumewafukuza,basi DUA LENU liwapate wenyewe na roho zenu mbaya!

Na kama mnaenda huko mwendako na washabiki wenu wa soccer nendeni nao mkashabikie vizuri hiyo timu yenu ya MAJANGILI!

HAKUNA MTU NDANI YA CHADEMA AMBAYE NI MKUBWA KULIKO CHAMA!
 
Jamani huyu Mkumbo si tayari wameshaanzisha chama chao cha ACT. Aende tu huko haraka atuacha na CHADEMA yetu sisi tunaiamini na itaendelea kuwa imara pindi tutakapomfukuza rasmi ZZK. Maana hata sasa hana nguvu tena CDM kwa kuwa haqna kibali hata cha kuitisha Mkutano mmoja wa CDM. Let Kitila Mkumbo, ZZK and Samson Mwigamba go to their own newly reformed party "ACT".
 
kama nyerere alivyomuanadaa B.W.Mkapa.


kama B.W.mkapa alivyomuandaa J.K kwa kumpa wizara ya mambo ya nje kwa miaka 10 .

kama J.K alivyowaandaa Bernad Membe na January Makamba mmoja wao kuja kuwa President.

poor reasoning! so chadema = ccm?!
 
chama hiki hakijafikia muda wa kugombania madaraka. ni kichanga mno. chama kijijenga kwanza kiwe na taasisi imara kiundeshaji ndipo tuanze kugombea madaraka. hata walim wa vidudu ni mwalim pia tena mwenye kipaji kuliko sisi wa vyuo!
 
uenyekiti wa hila ni mapunguani tu ndio watakaotoa hiyo fursa ukiacha mapungufu lukuki ya uaminifu aliyonayo

Dr Kitila aliandika mkakati na wenzake na kuibua tuhuma za uongo ili kudhohofisha uongozi uliopo... alipoitwa CC alipewa ushahidi akaishia kutoa macho tu..

atuambie kwanini walipotosha watu kuhusu katiba kunyofolewa na mengine kibao! lengo likikuwa nini!?

acha kupotosha, mwenyekt wa hila atapatikanaje ili hali wajumbe ndo wapiga kura (kikatiba)?!
madai yote ya waraka bado yamesimama pale pale....................anzia na uzinzi wa mwenyekt!!
 
Mimi kiukweli hata kusoma sijasoma maelezo ya kitila,mimi namuona msaliti tu,pamoja na mh.zzk wote wasaliti
hata kama kulikuwepo matatizo ndani ya chama hawa watu na washirika wao walitakiwa kujua majira na nyakati.
Huu haukuwa muda wa kurumbana,ulikuwa muda wa kuimarisha chama kwanza kivuke afu ndo mambo mengine yafuate.
Chukulia unaendesha gari afu lipate slow puncture mbele ya kundi la simba,je utasimama ili uzibe pancha au utaendelea ili uvuke maadui hao kisha ndo uzibe pancha?
Kama kweli hawa watu hawakuwa na nia mbaya mbona walikataa kumtaja mwenzao m4? Hata majambazi huwa wako tayari kufa ili wasiwataje wenzao,
Binafsi nimekerwa na raia hawa na sioni tena sababu ya mtu kuwa msomi aliyetumia fedha ya walipakodi afu ndo anachanganya watanzania.
Mimi sina jina nchi hii ila mimi ni mmojawapo wa waliowapuuza mkumbo,zzk na wenzao akiwemo yule aliyejichubua akalazwa hospitali akadai ametekwa.

umedhihirisha wewe huna tofauti na nyumbu tu kufuata mkumbo!! yaani unakiri kabisa kwamba hujasoma makala yake na bado unadhani una haki ya kuchangia mjadala huu?!
wafuasi wengi wa mbowe (sio chadema!) ni maamuma!!!!!!!!
 
binafsi kweli napata shida kuelewa. hebu tuambie kitila. mtu hajawahi kukanyaga ofisin kwake mwaka mzima. mtu amekuwa hashirki na wenzake kwenye harakati na maamuzi ya chama bungen na nje ya bunge. halafu leo eti ndio awe mwenyekiti wa chama! eti ni demokrasia . hizo ndio sifa za kuwa mwenyekiti wa chama? kitila bwana hata watoto wadogo watakucheka!
 
Wasemavyo vijana wa mjini, "Kula ccm lala CHADEMA". Wenziwe wamepewa hela, wakaweka mafuta kwenye chopa na kuwatimulia vumbi wale wale walitoa pesa. But the likes of Kitila wanapewa hela wakaganda, sasa wasubiri zamu ya kupiga deki Lumumba! Foolish!

kwa hiyo umeoana uje na upuuzi huu ili tu kuhalalisha ushenzi wa mbowe - narudia tena na tena, wafuasi wengi wa mbowe (sio chadema) ni maamuma!!!!
kwao mbowe akitenda jambo flani SAWA, ila jambo hilo hilo akitenda zito SI SAWA - kwa ubaguzi huu ni bora maccm yaendelee kushika hatamu 2015 pumba.u!
 
Alikuwa amekaa kimya nikadhani amekubali kosa na anaelekea kuomba radhi kumbe bado anajiona ana haki!!!!!
Mimi sio mwanasiasa lakini ninachojifunza kwa watu wengi wanafikiri ukiitwa Dr au Proffesor basi wewe una knowledge kubwa sana ya mambo mengi.Kumbuka hizi ni superspecialization na mtu anapoenda huko huzidi kunarrow down uelewa wake wa vitu vya kawaida. Marekani na Uingereza kuna maprof kibao lakini ulishasikia huko Waziri prof ?Chukua mfano prof aliyebobea kwenye VVU na ukimwi kwa miaka zaidi ya 20,VVU wengine hatujawahi kuviona, yeye anaviona kwenye maabara zake kila siku,ghafla unamteua kuwa waziri wa ardhi au mifugo akasuluhishe migogoro si majanga.Kuwa kiongozi wa chama au rais unahitaji general knowledge tu .Juzi nimeona gazeti la ----- kila mwanasiasa sasa ni Dr au Prof
 
Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

Kwa hiyo lawama ya kwanza kwa wanachama na mashabiki ni pale walipokubali kugeuzwa kuwa mashabiki wa viongozi ndani ya chama badala ya kuwa mashabiki wa chama(WE MWENYEWE NI MSHABIKI WA ZITTO KWA HOYO BEBA LAWAMA ZAKO PEKE YAKO). Na kwa kuwa ushabiki hupofusha macho na akili, mashabiki wa viongozi hawatofautishi kati ya uongozi na chama(WE MWENYEWE NI KIPOFU WA AKILI HAUJATUELEZA ZILE LAKI MBILI MBILI MLIZOKUWA MNAPOKEA KWA ZITTO ZILIKUWA NA AJENDA GANI). Ni kama vile wamedanganywa na viongozi waliopo na wakakubali kudanganyika, kwamba uongozi wa chama ndio chama, na chama ndio uongozi!(NA WEWE UMEKUBALI KUDANGANYIKA KUWA UONGOZI WA CHAMA NI ZITTO, NA ZITTO NDIO CHAMA)

Ni kwa sababu ya ushabiki kwa viongozi, ndio maana ilifika mahala wanachama na mashabiki wa CHADEMA wakagawanyika katika makundi ya washabikia viongozi
(WEWE UKAWA SHABIKI WA ZITTO), na chama kikakosa watu (WATU TUPO BADO NDO MAANA HATUJAONDOKA NA NYIE NA WALA HATUTAONDOKA NA NYIE)wa kukishabikia na hapo kikajikuta hakina mlinzi(HUKO MNAKOENDA SI KUNA GREEN GUARD??).

Makosa yaliyofanywa na uongozi na wanachama wa CHADEMA unafanana sana na makosa yaliyofanywa na viongozi na wanachama wa NCCR Mageuzi miaka ya tisini.
(NI UCHIZI WA FIKRA KUMFANANISHA MREMA WA MIAKA YA 90 NA ZITTO....UTAKUWA MWEHU). Mbadala CCM na CHADEMA.(UFUASI WA CHAMA SIO MAKALIO, KWAMBA KILA MTU ANAYO, ANZISHENI CHAMA CHENU MKIJENGE, MBONA BADO MNANG'ANG'ANIA???)


Source:
Raia Mwema

hAMKUWA NA DHAMIRA NZURI, NI PESA NYING SANA MEPOKEA KUTOKA CCM, BORA MUENDE HUKO
 
Inawezekana ni kweli Dr. Mkumbo naye pamoja na kuwa msomi lakini hajamuelewa ZZK vizuri juu mpango wake pale cdm.
Sasa kama wanatafuta chama mbdadala wa cdm na ccm ni kwa nini anaenda Mahakamani kulazimisha kubakia kwenye chama 'kisichostahili'!?
Kama kweli CC ambayo ipo kikatiba maamuzi yake yanaitwa ya kidikteta basi nami pamoja na kutosoma, natilia mashaka usomi wa hawa waandaaji wa waraka.
 
Back
Top Bottom