Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

Mpuuzi na wenzako mwandiga, kwani kuwa mwenyekiti lzm ugombee urais?? Akawe rais wa wavuvi huko kwao
 
itakua vigumu sana kwa "fuata upepo" kumsoma Kitila

ila nina tatizo tu na SWOT yao kama walifanya vizuri, maana kama wangefanya, wangeweza kutambua kwamba wana-deal na robots, hivyo approach should have been different

what they have done now ni kuua kabisa change process katika mfumo wa siasa Tanzania, and it may take another 20 years kuweza kuleta mabadiliko kwenye mfumo wa siasa wa Tanzania

vilevile zitto sio msafi sana, while Kitila sio mchafu... it was a bad combination
 
kama watanzania wote tungekuwa tunafikiri kwa mtazamo huu au mpana zaidi ya huu nchi hii ingekuwa mbali sana.makosa au mapungufu ya viongozi wa cdm yakisemwa hadharani basi utasikia mlinganisho na mtu wa ccm,sasa unajiuliza ya nini kuwaondoa ccm madarakani kama hao hao ndio role modo wenu?

angalia maccm yalivyo paronchial. halafu si ajabu hawa kina chicco ni wasomi hata wa masters level au hata zaidi. kwani wewe chicco unashindwa kuelewa ni kwa nini huo mlinganisho unatolewa? angalia nyuma ya huo mlinganisho utakuta kuna kitu watu wanakihoji japo hawakitaji straight. najua hata wewe unakijua lakini kwa sababu ndicho kinachowalinda mafisadi wa nchi hii, ndicho kinachowalinda majangili ya nchi hii, unajifanya hukijui na unabakia tu kusema kuwa cdm inahalalisha makosa just because ccm nayo inatenda makosa. embu toka nje ya box la simply ulinganisho then tulonge. Chicco kwa nini wewe ukiiba uitwe shujaa lakini moshdar akiiba katika nchi ileile apigwe mawe hadi kufa? kwa nini?

Jibu ni rahisi......M.F.U.M.O

ni Mfumo dhaifu wa kifedhuli umejengwa makusudi na ma-ccm ili kuwalinda makahaba wa uchumi wa waTanganyika, wazinzi wa maliasili za tanganyika, majangili ya meno ya tembo, wauza sembe wanaoua wenetu kwa sembe zao, wezi wa mali ya umma, wadini, wakabila nk nk na hapo hapo mfumo huo ukimkandamiza mnyonge na asiye na sauti....kwamba akinya kuku kanya lakini akinya bata kaharisha huyo. ndiyo, ni mfumo.....huo ndo tunaotaka ufumuliwe ujengwe upya. na siku si nyingi....utafumuliwa tu, pendeni msipende! wakati ni ukuta na embe limeshaivia mtini, kwamba litaanguka ama la si mjadala tena, mjadala ni kuwa embe litaanguka lini?
 
Hapa ni vigumu kwa mambulala na washabiki bandia wa CDM kumuelewa Kitila. Hawa wamekaririshwa kupinga chochote kinachokosoa uongozi wa CDM na kuunga chochote kinachotoka kwa akina Mbowe. Ni ushabiki uliotupofusha na sasa tunajidai hakuna mgogoro. Leo Mbatia katupigia vizuri kiaina!
 
As usual hamuwezi kutoa hoja bila matusi. Shida sana nyie watu!
 
Sijui kama kumbukumbu zangu ziko fresh ila Dr. Mkumbo, Kitilla alikuwa mmoja wa watu ambao wako katika vetting selection pale CHADEMA mfano Ubunge Viti Maalum na mambo mengine. Hili suala ni sawa sawa na mtu kuokota tope na kumrushia mwingine lazima mrushaji na anayerushiwa wachafuke. Kwa hiyo Uongozi CHADEMA, kundi la akina Z.Z.K mjitazame wote na mjipime makosa yenu. Naamini CHADEMA wamechemka katika kulikurupukia suala hili pengine timing na technicalities za 2015. Lakini hili suala sio jepesi kama lilivyochukuliwa na uongozi. Lakini hata hao waliotolewa wasijione kama ni super human beings wajishushe kwani CHADEMA kama taasisi itaendelea kuwapo na ilikuwapo hata kabla ya wao kuwa wanachama.
 
Inahitaji Weledi wa hali ya juu kumuelewa Nguli Kitila Mkumbo, Pale tutakapoacha kushabikia Viongozi na badala yake kupenda CHAMA, tutaweza kuchambua hoja za msingi na kasoro zilizopo katika uongozi.

Kwanini anatulaumu tulioamua kubaki name Chadema? Kwanini aliamua kuanzisha mgogoro makusudi; alidhani watasahewa tu kirahisi.
 
Sijui kama kumbukumbu zangu ziko fresh ila Dr. Mkumbo, Kitilla alikuwa mmoja wa watu ambao wako katika vetting selection pale CHADEMA mfano Ubunge Viti Maalum na mambo mengine. Hili suala ni sawa sawa na mtu kuokota tope na kumrushia mwingine lazima mrushaji na anayerushiwa wachafuke. Kwa hiyo Uongozi CHADEMA, kundi la akina Z.Z.K mjitazame wote na mjipime makosa yenu. Naamini CHADEMA wamechemka katika kulikurupukia suala hili pengine timing na technicalities za 2015. Lakini hili suala sio jepesi kama lilivyochukuliwa na uongozi. Lakini hata hao waliotolewa wasijione kama ni super human beings wajishushe kwani CHADEMA kama taasisi itaendelea kuwapo na ilikuwapo hata kabla ya wao kuwa wanachama.

Unakuja kwa mlango wa nyuma?? no way!! zito L.A.Z.I.M.A akae nje ya cdm KWA GHARAMA YOYOTE ILE, no compromise with the traitors. CDM will never negotiate with the terrorists, you are either with us or with ma-ccm, go tell zitto et al.....This game is over....PERIOD!
 
Anlo ongea lina ukweli.

Na ukweli wake unatakiwa uwe kwa mapana, Ili uvume na utambe siasa hizi zidi ya MACCM lazima uje tofaiuti.

Ni wazi MREMA na NCCR walikuja kivyao na sifa kuu ikiwa mabadiliko na Fagio la chuma kuwa kutakuwa hakuna kuchekea wizi, Dhuluma na Rushwa.

CUF pia walikuja kwa Stahili yao ya Ngangari, Mafuso Ukanda ( hili hata wakibisha kuna watu wapo CUF kwa kuwa tu ni wakanda fulani hasa pemba) na Udini Misikitini( Hili hata likibiswa ukweli ndio huo)

CHADEMA pia wamekuja na stahili yao ya kujipambanua ni wasomi, Maandamano,Ukanda( hata wakibisha kuna watu wapo huko tu kwa kuwa tu muanzilishi ni wa Kaskazini, Japo CDM hawajaitumia vizuri kete hii ndio maana tunaona Arusha na Kilimanjaro kiujumla bado CCM inatamba labda ni kwa sababu ya uwepo baadhi ya mawaziri kutoka huko)Udini hasa wakristo ( Hili hata wakibisha lipo wazi baadhi ya watu wanaipenda kwa kuwa tu inaviongozi wa kidini wengi wa dini fulani.)

Sasa basi sijuhi chama kipya kitakuja kivipi?

Maandamano? Hapana tushawasikia wakiyapinga.

Ngangari ? Hapana washakataa hili pia.

Usomi ? Hope so, Japo ni ngumu kuwashawishi wasomi wa kweli wa sasa kuachana na Chadema.

Ukanda ? Labda tushaona viongozi wakuu watarajiwa wakijidai kuwa na sapoti Kigoma na Tabora, hii ni kanda ya Magharibi.

All ina all mimi naombea waje na wafanikiwe maana kama haiwezekani kuitoa CCM kwa Umoja basi bora tuitoe kwa Ukanda wa Kaskazini, Magaharibi, Kati, Kusini wote tuki ichukia kwa dhati hakika Maccm tutawazika.

Warning:
Historia inaonyesha ni Ngumu viongozi walewale walio vuma na vyama vingine wahame na waje kuvuma tena na hili lina muhusu hasa zitto.
Hope chama kipya kitakuja na watu wapya kabisa.
 
DR.Kitila wasema tunahitaji mbadala wa CDM na CCM?.DR.kumbuka kuwa umenukuliwa na vyombo vya habari na CDM kuwa uliomba msamaha.Wewe ukiwa kiongozi wa juu na msomi wa CDM haukusoma katiba ya CDM inayokataza kiongozi kuunda makundi ndani ya chama?.Je ulipenda usamehewe?.mimi nimeunga mkono kutimuliwa kwako sb inaonekana hauna team work wewe na zito na mwigamba ni watu hatari kwa CDM so be quite au hamia CCM au kasajili a kwenu,kosa mlilofanya ni hatari kwa uhai wa chama so hakuna taasisi yoyote makini inayoweza kusamehe kosa kama hilo, wata kufire tu.Pia nakushauri achana na CDM KABISA MAANA KUENDELEA NA MANENO YAKO HAYO NAONA SIO SAWA. Why not quite?....utaonekana mhuni....ushauri wa bure chukua au tupa but hautavumilika kwa kuharibu jina la CDM.
 
Hapa ni vigumu kwa mambulala na washabiki bandia wa CDM kumuelewa Kitila. Hawa wamekaririshwa kupinga chochote kinachokosoa uongozi wa CDM na kuunga chochote kinachotoka kwa akina Mbowe. Ni ushabiki uliotupofusha na sasa tunajidai hakuna mgogoro. Leo Mbatia katupigia vizuri kiaina!

na sisi tuna akili zetu hata kama si madakitari na mapurofesa..ni za kimjinimjini tu. profesa J alishaimba..ukiujua huu na sisi tunaujua ule, ukituuzia mkufu wa bandia na sisi tunakulipa kwa noti ya bandia, then ngoma droo, daaake!! tuone sasa...mlifikiri tumeshuka leo?! tupo tawn longi sana.
 
Inawezekana ni kweli Dr. Mkumbo naye pamoja na kuwa msomi lakini hajamuelewa ZZK vizuri juu mpango wake pale cdm.
Sasa kama wanatafuta chama mbdadala wa cdm na ccm ni kwa nini anaenda Mahakamani kulazimisha kubakia kwenye chama 'kisichostahili'!?
Kama kweli CC ambayo ipo kikatiba maamuzi yake yanaitwa ya kidikteta basi nami pamoja na kutosoma, natilia mashaka usomi wa hawa waandaaji wa waraka.
Nakubaliana na mawazo ya mwamdishi hapo juu bila mashaka kabisa.Dr Mkumbo hakujua mkakati wa ZZK pamoja na kwamba ni msomi aliyebobea na hata kuaminiwa kuongoza DUCE pamoja na kuwa mshauri mkuu wa CHADEMA katika kuandaa mpango mkakati wa kuwapata wabunge wa viti maalumu ndani ya CHADEMA.Kitendo cha yeye kuaminiwa na chama ni dhahiri kuwa weledi wake haukuwa na mashaka kipindi kile anapewa majukumu hayo mazito.
Katika waraka wake hapa JF,yeye binafsi ameonyesha madhaifu maengi amabyo hakuyapa majibu na wala hakuona sababu ya kuyajadili.Moja kubwa zaidi ni,kwanza CHADEMA ni chama cha siasa mabacho uanachama wake ni wa hiari (siyo wa lazima),na kwamba ili uwe mwanachama wa vyama vya hiari ni lazima ukubaliane na KATIBA ya chama husika.Dr Mkumbo alilijua hili.Hoja hapa ni kwamba endapo utaona kuna mapungufu ya KIKATIBA ndani ya chama hicho,zipo njia sahihi za kufuata ili kurekebisha/kuondoa mapungufu hayo kupitia marekebisho ya KATIBA.Ni kwa nini Dr MKUMBO hakufuata taratibu sahihi ili kukidhi haja zake pamoja wafuasi wake?
Pili,sina mashaka kwamba Dr MKUMBO alisoma na kuielewa ipasavyo KATIBA ya CHADEMA,na ndiyo maana aliweza kuaminiwa na uongozi hadi kuandaa mpango mkakati wa namna ya kupata wabunge wa viti maalumu.Mpango huo ulikubaliwa na chama na umefuatwa hadi leo.Je ni kwa nini viongozi waliaomwamini sasa hivi wanaonekana ni madikiteta.Hakuwana kipindi kile anaaminiwa na kupewa kazi nzito ndani ya chama? Jibu rahisi ni kwamba Dr MKUMBO ni kweli alifuata MKUMBO wa ZZK bila kujua nini anafanya? Kama ni kweli kwamba Dr MKUMBO haakujua alichokuwa anafanya,hii inanifanya niamini yafuatayo "An educated person learns more and more about less and less until he/she learns everything about nothing".
Natumia maneno hayo kwa maana ya kwamba,Dr Mkumbo alikumbwa na upofu (turn of vision) wa kuona nini kitatokea (adhabu dhiki yake na wenzake) baada ya kukiuka KATIBA kupitia WARAKA wake wa Mabadiliko ndani ya chama.Lakini pili, Dr Mkumbo ameonyesha wazi kwamba hawezi kuwa na hoja za nguvu kukidhi kiu za wananachi wanaopenda kujua ni kwa nini alifanya hivyo sababu amekiri mwenyewe kuwa ni mjinga na ana maslahi katika mgogoro huu ndani ya CHADEMA na hapa ninanakiri maneno yake "Sitarajii katika makala haya kukidhi kiu ya watu wengi wanaotamani kujua ukweli wa mgogoro ndani ya CHADEMA na pengine mimi siye mtu sahihi kueleza jambo hili kwa kuwa nina maslahi ya moja kwa moja. Ninatoa changamoto kwa watafiti wa sayansi ya siasa kulifanyia utafiti jambo hili na kuliweka bayana, ili watu wapate kujifunza na kulijua vizuri"
Dr Mkumbo katika aya moja kabla ya aya niliyomkariri amesema yafuatayo “Kwa sababu hii nazipokea lawama zote kwa unyenyekevu pia na ninakubali kwamba nimeshiriki, bila kutarajia, kusababisha usumbufu na kutatiza tamanio na tumaini la mamilioni ya Watanzania katika kuitoa CCM madarakani. Hata hivyo, taswira ya mgogoro huu ni pana kuliko inavyoonekana na pengine tutapata nafasi nzuri zaidi mbele kueleza vizuri kilichotokea katika maandishi ili watu waelewe na waielewe CHADEMA na viongozi wake vizuri, na kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo”
Kwa ufupi kabisa katika aya hiyo ni yeye na kundi lake wamesabisha usumbufu kwa wananchi wengi (mamilioni) wenye matumaini na CHADEMA na hivyo napengine atapata nafasi zaidi ya kuueleza umma kwa maandishi.Hii ni katika kutafuta sympathy ya umma,sababu amekiri kwamba hatakidhi kiu ya watu na kuwa yeye ana maslahi katika mgogoro huo. Hoja hapa ni kwa mtu mwenye maslahi atawezaje kuyakinisha mtatizo yaliyotokea? Lakini pia amependekeza kufanyika utafiti ili kubaini kilichotea ndani ya CHADEMA,aidha amesahahu kuwa watafiti wengi ni biased kulingana na maslahi yao binafsi au ya mtu/kikundi kilicho nyuma yake.Kama ni hoja yake ni bora independent committee iundwe kuchunguza mgogoro huo ili tupate majibu sahihi.
Napingana na Dr Mkumbo kuwa ushabiki uliojitokeza kati ya ZZK (kundi lake) na CHADEMA ulikuwa na maslahi ya chama tawala ili kuuamisha umma kwamba vyama vingine si lolote ila CCM pekee.Siyo sahihi kuwa wote waliokuwa/wanamuunga mkono ZZK ni wanachama wa CHADEMA,miongoni mwao ni CCM na vyama vingine pinzani,lakni pia wapo wasio na chama ambao aidha walitaka kuonyesha uungaji mkono walitumika baada ya kushawishiwa na wenzao ama kwa ujira mdogo au kufuata mkumbo.Hii inanipa tafsiri ya kwamba,mgogoro huo si mkubwa kiasi hicho ila umekuzwa tu.Chama kilibaki na ulinzi mkubwa sana,kwani kundi kubwa lilikuwa/lipo kwa CHADEMA,siyo Dr Slaa au Mh Mbowe kama ambavyo Dr Mkumbo anataka umma uamini.
Mwisho,nakubaliana na Dr Mkumbo kuwa njia mbadala zifanyike kusuluhisha suala hili hili nje ya mahakama.Naamini viongozi wa chama watakuwa wanafikiria au wameanza kulifanyia kazi jambo hili kwani wapo watu makini ndani ya chadema.Uzoefu unaonyesha kuwa mediators kupitia mazungumzo humaliza migogoro kwa njia za amani bila kuathiri pande zote.
 
angalia maccm yalivyo paronchial. halafu si ajabu hawa kina chicco ni wasomi hata wa masters level au hata zaidi. kwani wewe chicco unashindwa kuelewa ni kwa nini huo mlinganisho unatolewa? angalia nyuma ya huo mlinganisho utakuta kuna kitu watu wanakihoji japo hawakitaji straight. najua hata wewe unakijua lakini kwa sababu ndicho kinachowalinda mafisadi wa nchi hii, ndicho kinachowalinda majangili ya nchi hii, unajifanya hukijui na unabakia tu kusema kuwa cdm inahalalisha makosa just because ccm nayo inatenda makosa. embu toka nje ya box la simply ulinganisho then tulonge. Chicco kwa nini wewe ukiiba uitwe shujaa lakini moshdar akiiba katika nchi ileile apigwe mawe hadi kufa? kwa nini?

Jibu ni rahisi......M.F.U.M.O

ni Mfumo dhaifu wa kifedhuli umejengwa makusudi na ma-ccm ili kuwalinda makahaba wa uchumi wa waTanganyika, wazinzi wa maliasili za tanganyika, majangili ya meno ya tembo, wauza sembe wanaoua wenetu kwa sembe zao, wezi wa mali ya umma, wadini, wakabila nk nk na hapo hapo mfumo huo ukimkandamiza mnyonge na asiye na sauti....kwamba akinya kuku kanya lakini akinya bata kaharisha huyo. ndiyo, ni mfumo.....huo ndo tunaotaka ufumuliwe ujengwe upya. na siku si nyingi....utafumuliwa tu, pendeni msipende! wakati ni ukuta na embe limeshaivia mtini, kwamba litaanguka ama la si mjadala tena, mjadala ni kuwa embe litaanguka lini?
uko sahihi mkuu.me sio kwamba napingana na wewe au vipi but huwa sipendi sana hii tabia.mbowe katumia pesa ya umma kwenda kustarehe na mtu wake ughaibuni lijitu linakuja linakujibu mbona mwigulu naye kafanye hivyo!!!!so what?kwamba coz mwigulu kafanya(actually ni kosa) ndio ihalalishe kufanya mbowe?(point of correction:natambua kuwa katibu wa bunge ameweka sawa hii issue so sio kwamba namtuhumu mbowe itz just an example).kwa nini cdm wasiwe tofauti?kwa nini wahalalishe maovu yao coz tu wa ccm nao wamefanya?
kwenye hiyo issue yako ya upinzani kuingia madarakani sahau.......majitu ya nchi hii hayatabiriki anytime yanaweza kubadilika.we subiri hapa uone 2015 ccm wanamweka lowassa(huyu huyu ambaye wengine tulitamani afe tu kwenye skendo ya richmond tukamwita majina ya kila aina and trust me kama angesimamishwa kugombea hata udiwani na mimi ningembwaga kwa mbaaali sana) wanampamba kwa nyimbo na ngonjera mijitu yotee inampigia kura.Raia wa nchi hii mkuu wanakera sana yaani hadi inauma kufiria.kiukweli ccm wameshindwa na watanzania tulio wengi tunahaha kuangalia mbadala wake but kwa upande mwingine huko tunakotarajia kupata mbadala nako mambo hayaendi sawa ni mvurugano tupu.i wish kungekuwa na craiteria za kupata viongozi but kule sifa kuu ni nani unamsapoti na kwa wakati gani basi.
 
Inatosha tunahitaji chama mbadala cha ccm na cdm, sasa sijui kitakuja chama gani, nashauri ccm ijisahihishe sana na kujirekebisha iondoe yale malalamiko ya wananchi labda tutapata ccm-original
 
Nakubaliana na mawazo ya mwamdishi hapo juu bila mashaka kabisa.Dr Mkumbo hakujua mkakati wa ZZK pamoja na kwamba ni msomi aliyebobea na hata kuaminiwa kuongoza DUCE pamoja na kuwa mshauri mkuu wa CHADEMA katika kuandaa mpango mkakati wa kuwapata wabunge wa viti maalumu ndani ya CHADEMA.Kitendo cha yeye kuaminiwa na chama ni dhahiri kuwa weledi wake haukuwa na mashaka kipindi kile anapewa majukumu hayo mazito.
Katika waraka wake hapa JF,yeye binafsi ameonyesha madhaifu maengi amabyo hakuyapa majibu na wala hakuona sababu ya kuyajadili.Moja kubwa zaidi ni,kwanza CHADEMA ni chama cha siasa mabacho uanachama wake ni wa hiari (siyo wa lazima),na kwamba ili uwe mwanachama wa vyama vya hiari ni lazima ukubaliane na KATIBA ya chama husika.Dr Mkumbo alilijua hili.Hoja hapa ni kwamba endapo utaona kuna mapungufu ya KIKATIBA ndani ya chama hicho,zipo njia sahihi za kufuata ili kurekebisha/kuondoa mapungufu hayo kupitia marekebisho ya KATIBA.Ni kwa nini Dr MKUMBO hakufuata taratibu sahihi ili kukidhi haja zake pamoja wafuasi wake?
Pili,sina mashaka kwamba Dr MKUMBO alisoma na kuielewa ipasavyo KATIBA ya CHADEMA,na ndiyo maana aliweza kuaminiwa na uongozi hadi kuandaa mpango mkakati wa namna ya kupata wabunge wa viti maalumu.Mpango huo ulikubaliwa na chama na umefuatwa hadi leo.Je ni kwa nini viongozi waliaomwamini sasa hivi wanaonekana ni madikiteta.Hakuwana kipindi kile anaaminiwa na kupewa kazi nzito ndani ya chama? Jibu rahisi ni kwamba Dr MKUMBO ni kweli alifuata MKUMBO wa ZZK bila kujua nini anafanya? Kama ni kweli kwamba Dr MKUMBO haakujua alichokuwa anafanya,hii inanifanya niamini yafuatayo "An educated person learns more and more about less and less until he/she learns everything about nothing".
Natumia maneno hayo kwa maana ya kwamba,Dr Mkumbo alikumbwa na upofu (turn of vision) wa kuona nini kitatokea (adhabu dhiki yake na wenzake) baada ya kukiuka KATIBA kupitia WARAKA wake wa Mabadiliko ndani ya chama.Lakini pili, Dr Mkumbo ameonyesha wazi kwamba hawezi kuwa na hoja za nguvu kukidhi kiu za wananachi wanaopenda kujua ni kwa nini alifanya hivyo sababu amekiri mwenyewe kuwa ni mjinga na ana maslahi katika mgogoro huu ndani ya CHADEMA na hapa ninanakiri maneno yake "Sitarajii katika makala haya kukidhi kiu ya watu wengi wanaotamani kujua ukweli wa mgogoro ndani ya CHADEMA na pengine mimi siye mtu sahihi kueleza jambo hili kwa kuwa nina maslahi ya moja kwa moja. Ninatoa changamoto kwa watafiti wa sayansi ya siasa kulifanyia utafiti jambo hili na kuliweka bayana, ili watu wapate kujifunza na kulijua vizuri"
Dr Mkumbo katika aya moja kabla ya aya niliyomkariri amesema yafuatayo "Kwa sababu hii nazipokea lawama zote kwa unyenyekevu pia na ninakubali kwamba nimeshiriki, bila kutarajia, kusababisha usumbufu na kutatiza tamanio na tumaini la mamilioni ya Watanzania katika kuitoa CCM madarakani. Hata hivyo, taswira ya mgogoro huu ni pana kuliko inavyoonekana na pengine tutapata nafasi nzuri zaidi mbele kueleza vizuri kilichotokea katika maandishi ili watu waelewe na waielewe CHADEMA na viongozi wake vizuri, na kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo"
Kwa ufupi kabisa katika aya hiyo ni yeye na kundi lake wamesabisha usumbufu kwa wananchi wengi (mamilioni) wenye matumaini na CHADEMA na hivyo napengine atapata nafasi zaidi ya kuueleza umma kwa maandishi.Hii ni katika kutafuta sympathy ya umma,sababu amekiri kwamba hatakidhi kiu ya watu na kuwa yeye ana maslahi katika mgogoro huo. Hoja hapa ni kwa mtu mwenye maslahi atawezaje kuyakinisha mtatizo yaliyotokea? Lakini pia amependekeza kufanyika utafiti ili kubaini kilichotea ndani ya CHADEMA,aidha amesahahu kuwa watafiti wengi ni biased kulingana na maslahi yao binafsi au ya mtu/kikundi kilicho nyuma yake.Kama ni hoja yake ni bora independent committee iundwe kuchunguza mgogoro huo ili tupate majibu sahihi.
Napingana na Dr Mkumbo kuwa ushabiki uliojitokeza kati ya ZZK (kundi lake) na CHADEMA ulikuwa na maslahi ya chama tawala ili kuuamisha umma kwamba vyama vingine si lolote ila CCM pekee.Siyo sahihi kuwa wote waliokuwa/wanamuunga mkono ZZK ni wanachama wa CHADEMA,miongoni mwao ni CCM na vyama vingine pinzani,lakni pia wapo wasio na chama ambao aidha walitaka kuonyesha uungaji mkono walitumika baada ya kushawishiwa na wenzao ama kwa ujira mdogo au kufuata mkumbo.Hii inanipa tafsiri ya kwamba,mgogoro huo si mkubwa kiasi hicho ila umekuzwa tu.Chama kilibaki na ulinzi mkubwa sana,kwani kundi kubwa lilikuwa/lipo kwa CHADEMA,siyo Dr Slaa au Mh Mbowe kama ambavyo Dr Mkumbo anataka umma uamini.
Mwisho,nakubaliana na Dr Mkumbo kuwa njia mbadala zifanyike kusuluhisha suala hili hili nje ya mahakama.Naamini viongozi wa chama watakuwa wanafikiria au wameanza kulifanyia kazi jambo hili kwani wapo watu makini ndani ya chadema.Uzoefu unaonyesha kuwa mediators kupitia mazungumzo humaliza migogoro kwa njia za amani bila kuathiri pande zote.

umeongea vizuri kabla ya kuharibu mwishoni. nani atamwamwini tena huyu traitor ndugu yangu? zito ni arrogant na ana superiority complex nyingi sana. ni mtu ambaye anaamini yeye ndiye na kwa sababu yeye ndiye, na hakuna mwingine zaidi yake, basi ni lazima akae juu ya kila mtu by hooks and crooks. kama ni kwenye michezo, mathalani futiboli, hilo halina tatizo lakini kwenye siasa ni jambo la hatari sana kuwa na mtu wa namna hiyo kwenye timu kwa sababu mkulima nisiyesoma kama mimi sintakuwa na nafasi ya kuongoza chama kwa sababu sijasoma na kwa hiyo sina akili ya kuongoza.

Tangu 2007, kwa mdomo na kwa maandishi, tumekuwa tukimwonya SANA huyu jamaa lakini hakusikia. hadi ikafikia tukamwambia kumbikumbi huruka na huliwa..lakini wapi, hakusikia. tume-mediate sana lakini hili limekuwa ni sikio la kufa....

no no no, hapana, mwacheni huyu mtusi aende zake akachunge ngombe zake. sisi wahutu atuache tulime mahindi yetu.
 
Inatosha tunahitaji chama mbadala cha ccm na cdm, sasa sijui kitakuja chama gani, nashauri ccm ijisahihishe sana na kujirekebisha iondoe yale malalamiko ya wananchi labda tutapata ccm-original

Itarudisha tembo wetu mbugani? itarudisha madiniyetu ardhini? itarudisha samaki wetu baharini, itarudisha fedha za epa et al ndani ya akaunti za benki zetu? itarudisha kucha zetu zilizong'olewa, meno yetu yaliyong'olewa kwa plaiz bila ganzi na macho yetu yaliyotobolewa? halafu kuuza unga haina tofauti na kuubwia when it comes to addiction, wataweza kuucha?
 
WASIFU WA MAREHEMU CHADEMA; Marehemu Alizaliwa 02/02/1992.
Enzi Za Uhai Wake Marehemu Alijishughulisha Na Kuua Vyama Vya Upinzani' UDP, CUF, TLP, NCCR MAifu Wa Fedha Na Kodi Za Umma Kwakuwa Na Kesi Nyingi Mahakamani. Marehemu Ameacha Wajane UBUNGO, Vilema MBEYA, Makaburi TARIME Na Waathirika kisiasa SUMBAWANGA, IRINGA Na IGUNGA.
CHANZO CHA KIFO Chake Ni Ubaguzi Wa KIKABILA Na Itikadi Ya DINI. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake....li2kuzwe AMIN
 
Hivi wasomi wazima kama kitila, Zitto na Mwigamba wanaweza kweli kusema mpango wao waliupanga kimkakati na kisomi? Kweli walitegemea wakibainika mwenyekiti atawachekea? Kweli waraka umshutumu na kumdhalilisha mwenyekiti halafu mseme eti njia hii ni ya kidemokrasia? Kweli wasomi hawa wamesahau kuwa kuna demokrasia ya nadharia ambayo hipo kwenye maandishi hlf kuna demokrasia halisia ambayo ndio (utekelezwa ktk siasa bila kujali utekelezaji huo umezingatia nadharia ya demokrasia au la) pia kuna demokrasia ya africa ambayo kwa msomi yoyote atakuwa kituko kwa kutoielewa. Chama kujiita cha kidemokrasi si kigezo kuwa kinafuata demokrasia (nadharia ya demokrasia yaani demokrasia halisi)Lzm msomi yoyote aelewe ktk chama chake au nchi yake je kuna demokrasia ya kweli au demokrasia yake bado changa au demokrasia inayotekelezwa ni ya maneno. Hivyo msomi yoyote anapaswa afahamu mazingira anayoendeshea siasa zake (yaani uwanja wanao cheza mechi zao za kisiasa ndani ya chama au ktk nchi ukoje) kinyume chake usomi wako lzm utiliwe shaka. Kwa wasomi hawa kutengeneza mapinduzi ya uongozi ktk chama chao cha CDM na kudai mbinu hiyo inakunakubalika ktk katiba yao (kama wasomi hao wanavyodai) hata mimi layman nitaishangaa hiyo katiba. Lkn tukumbuke binadamu wengi tunaongozwa na "Ego" hivyo huwezi ukamchambua binadamu mwenzako kumwita dhaifu na lugha nyingi za udhalilishaji tena akiwa kiongozi wako halafu aje kubaini suala hilo utegemee atakuacha tu kwa kigezo cha kusimamia demokrasia hicho kitakuwa kituko cha mwaka.
Hata mjitetee vp ukweli ni kuwa Mpango wa mapinduzi mlioupanga wasomi nyie ulikuwa hatari kwa ustawi wa chama na ustawi wenu binafsi hasa kwa siasa zetu za Africa, kama ni kweli nyie ni wasomi sitegemei kuwasikia mkilalama kwa yaliowakuta nimalizie kwa kusema Kitila,Zitto na Mwigamba hata kama baba zenu ndio wangekuwa viongozi wa CDM kwa mlichokifanya sirini hlf wangewabaini msingepona mnge adhibiwa tu,Maana nyinyi ni wasomi lakini hamna ufahamu.Maandiko yanasema ktk Mithali 10:13 "Hekima hupatikana midomoni mwa wenye ufahamu,Bali fimbo hufaa kwa mgongo wake asiye na ufahamu" kilichowapata nyie ni fimbo mgongoni mwa asiye na ufahamu
 
Huyo Dr. -------- naona ubongo wake umeganda. Mbona alimshabikia zito awe kiongozi wake. Mnafiki.
 
Back
Top Bottom