TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,765
- 19,011
Naona crap inaongezekaKitila wewe ni prof ambae hukupaswa kuwa waziri wa wizara nyeti ya Mipango. Uwezo wako ni mdogo. Ulionao nchi gani watu wanatoa maoni ya kisera bila reference?
Hiyo observation, opinions utarefer wapi?
Wananchi wanafanyaje scientific findings bila kuwepo ripoti iliyopo watakayotumia kufanya ulinganifu?
Andaeni ripoti kwanza, mnaonekana wababaishaji tu. Hampo realistic.
Unakwenda kuharibu mustakabali wa watoto na vijana wa nchi hii, wakati huo wewe utakuwa unaliwa na wadudu kaburini.