Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

Mkumbo huna jipya, nenda kwa mabwana zako ccm waliokutuma -------- wewe
 
wanatapatapa tu hawa mamluki wa ccm,wanadhani watz wa leo ndio wale wa miaka ya 90?
 
Kweli kabisa chadema kimechuja hatukitaki tena kabisa kabisa.

Mimi nakihitaji hasa baada ya kufanikiwa kufanya maamuzi magumu ya kuwang'oa wasaliti. Hii ni tofauti na CCM iliyoshindwa kuwang'oa mafisadi hadi leo!!! Lazima mwezi huu niwe na kadi ya CDM mkononi. Big up makamanda
 
Nimesoma makakala yako na nadhani nimeielewa vizuri.there is nothing in between the lines, the whole of your story is clear.nianze kwa kusema kama CHADEMA wasinge chukua busara ya kuwa a bit conservative napenda nikuhakikishie kuwa chama hiki kingekuwa kimesambaratika.Na hii conservatism ya chama ndio umekuwa mhimili wa uimara wa chama.Wakiridhika na mwenendo wa mwanachama, anapewa heshima zote na kupewa majukumu kulingana uwezo,umri na namna anavyo kilinda na kukitetea chama hadharani na hata akiwa mafichoni.

Hivi Dr mkumbo umewahi kujiuliza kwanini ZZK anataka kuwa mwenyekiti wa chama hiki kikubwa na chenye maadui wengi kutoka chama tawala? binafsi nilikuwa napata mashaka kuona ZZK yuko serious na utaka uenyekiti wa CHADEMA kwa udi na uvumba tena kabla ya 2015!! kweli? alikuwa na nia njema huyu? Hata kama alikuwa na nia njema,kwa maoni yangu ZZK hana mapenzi ya dhati kwa CHADEMA,si mfia chama.Mara ngapi amekisaliti chama wakati collective responsibility inahitajika BUNGENI? mara ngapi ameshiriki mikutano ya M4C? Halafu leo zitto huyu apewe chama haiwezekani.ZZK ATAFUKUZWA NA CHAMA HAKITATETEREKA.Amini usiamini chama hiki kina viongozi makini na wanachama makini.Mtu yeyote akijifanya ni mashuhuri kuliko CHAMA lazima aoneshwe mlango wa kutokea.zzk anakiburi kisicho na maana.Huwezi kudharau viongozi walio kujenga halafu ukabaki salama.utafukuzwa tu.

ZZK ananikumbusha jeuri aliyo kuja nayo marehemu TUNTEMEKE SANGA(R.I.P),Kwakuwa alikuwa msomi akamtaka Mwl ampe uwaziri mkuu wakati hajui waliopo walipata ugumu gani kuifikisha Nchi hapo alipo ikuta.arrogance gani hii?hata alipobembelezwa apewe ukuu wa mkoa akakataa!! anautaka uwaziri mkuu. Nyerere akasema huna adabu,akatiwa ndani kuwekwa kizuizi cha kijijini kwake takribani miaka 20! Sasa ndio haya ya ZZK. kuwa naibu katibu mkuu hakutosheka anataka uenyekiti,kwa umri wake haya ni madaraka makubwa sana kwake.Na kwa hakika baadhi yetu tupo CHADEMA kwasababu tunaridhika na ukomavu wa viongozi wa juu wa chama. siyo ZZK.

Ushauri wangu kwa zitto,kwanza aoe,na kama kweli amedhamiria kuwa maisha yake yatakuwa katika siasa basi ajifunze uvumilivu na kuheshimu kanuni,sheria na taratibu za chama.kuwa msomi siyo lazima uwe na madaraka katika vyama vya siasa! that is an added advantage,the most important thing is wisdom!! yes, wisdom.

Ulichoongea ndio hasa tatizo la CDM sasa hivi, utajiita vipi chama cha demokrasia kama role model wako ni Nyerere?Utajiita vipi mwana DEmokrasia halisi kama kigezo chako cha kushindanisha watu kwenye uchaguzi ni Umri na Uzoefu?demokrasia halisi inatakiwa iwe open,kwa maana ya kutokuwweka vizingiti kwenye ushiriki hasa wa uhcaguzi.Kama ZITTO hana ushawishi au hafai hii si kwa mwenyekiti na katibu au CC kuamua, hii ni kwa wanachama wa CDM kuamua, mbona ni kitu rahisi sana.

Nyerere ni mmoja kati ya viongozi wenye ahueni kubwa kama sio bora zaidi, Tanzania imewahi kupata so far, lakini siwezi kumuita mwana demokrasia halisi, ukizingatia alikaa madarakani kwa miaka 27!!huyu kama si presure za IMF na umasikini angefia pale.ishukuriwe busara iliyomfanya ang'atuke. Nyerere naye alikuwa na syndrome ya kuona wa chini yake wote hawafai. Simlaumu sana kama kweli walikuwa hawafai, kwani hata ukiitazama CCM sasa hivi, sidhani kama kuna mawaziri/wanachama zaidi ya watano wanaoweza kushindana na JK kwenye poll wakamshinda.Lakini principle ya demokrasia ni pamoja na kung'atuka.

nakubaliana na Dr.Kitila kwa mantiki kuwa wengi tulidhani CDM ni chama mbadala wa CCM na kiko tayari kufanya mambo tofauti ili kuikomboa Tanzania, lakini kosa walilolifanya CDM sasa hivi, wameifanya CCM iwe ndio role model wao,utawasikia makada wao wakiropoka. Mwenyekiti wetu Mzinzi, mbona kapuya Mzinzi,Ebo!!sasa aliyewaambia CCM ni kioo cha kujitazamia ni nani?if CCM is your standard ebarer then we might as well keep the devil we know.

CDM is supposed to be radical and different, and it's leaders are supposed to be standard bearers when it comes to morality, good governance and Democracy.
So far it seems CDM winning stratergy is Populism, this is the only way one can explain MP's like Sugu and Lema. These people can attract crowds and roll in votes.for better or worse if we see CDM in office come 2015/2020, they will have to lead, and that is where the real problem will come to show up.
 
To many, lugha ya "wasaliti", "wahaini" kwenye political system inatumiwa sana kwenye nchi za kidikteta.Go figure
 
usitoe hoja dhaifu mkuu ktk siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu..machali anasema ni upepo tu upitao..kubadili chama ni kawaid...shibuda alikuwa ccm nw ni cdm..je alikuwa kibaraka wa chadema hapo awali.....yule katibu wa ccm Arusha aliyehamia chaedema baada ya nassari kuwin Arumeru mashariki je alikuwa kibaraka wa chadema.........iweje ukihama kutoka ccm kwenda CDM iwe sahihi na kutoka CDM kwenda CCM uwe msaliti......hii ndio demokrasia na uheshimu wa haki za binadamu tunaoupigania....................mimi naamini ukombozi wa mtamzania haupo ktk Ballot pper au box...upo kichwani mwake...na ndiomaana tunatumia fedha nyingi nyakati za uchaguzi kusha madege ............lakini hukuti tukitoa michango kuchenga hata public libraries watu wasome vitabu waondokane na ujinga...tunawaburuza na kuwaaminisha...........CCM imeamisha watu bila yenyewe hamna amani..watu wanaandamana na mabomu yanapigwa ccm inapata credit wao hawaandamani kwani ni watu wa amani...----!!!!!!!!!! wengine ndio watu wa vurugu...vyama vyetu vimeshindwa kuutegua mtego huo.........shida 2pu
Naomba nisamehe kwa kuleta hoja dhaifu, ila nadhani hujanielewa, sikatai kuhama chama na kweli siasa sio uadui. Mimi mtazamo wangu ni kwamba walipokuwa chama hiki walikiona kile ni kibovu, walipohamia kwenye ubovu hatuoni ubunifu wao na changamoto mpya, wamewazidi hata waliowakuta huko kwa siasa zisizo na tija. Mimi nilitarajia wangepeleka mabadiliko mapya kwani madhaifu ya ccm walikuwa wakiyajua toka wakiwa cdm. Sasa wao wamegeuza ni uhasama badala ya kujenga chama chao kipya!!!
 
Dr.Kitila ulikuwa Rais wangu wa Daruso UDSM. Nakumbuka kati ya 96 /97 nilikupa kura yangu! Pia naheshimu sana michango yako kwenye Tv huwa unajitahidi kuongea common sense.

Ila kwa hili brother natofautiana na wewe 100%.

Nakubaliana na hoja ya kuleta mabadiliko kwani ni muhimu siku zote.Kinachonipa shida ni strategy mliyotumia.Haikuwa startegy ya kisomi na haikuwa muafaka especially kwenye politics.

Dr. Kitila hata wewe pamoja na kuhitaji kugrow ili siku moja uje kuwa Mkuu Wa UDSM , its not a one nite job it is a process.Hukurupuki na kuandaa mkakati wa mabadilko ya kumuondoa Prof.Mukandala na bahati mbaya sana ikagundulika and then ukasurvive!.Ladders will be there everwhere bhana!

Procedure mliyotumia inaprotray picture kwamba nyie ni 'wasaliti" na mark my words ina potray to the public nyie mlikuwa, na mnaendelea kuonekana hivyo kwenye jamii kwamba ni watu wa aina gani.

For your information mimi sio Chadema na ninapenda sana mabadilko.Lakini mabadiliko yenye harufu ya mapinduzi, clearly yanngegawa chama zaidi badala ya kujenga.

Ki-ukweli mmechafua CV zenu na credibility.To be trusted even in the future will need an extra work.Ni mjinga tuu au mbumbumbu atakayekuwa tayari kuruhusu mtu ambaye publicly amekubali kufanya changes behind the scenes awe naye kwenye same party or as a member! In short mme-jiexpose!

Najiuliza why didnt you guys influence CC na wanachama wote wa CHADEMA kuwasupport through your harworking, ushawishi mlionao, kujenga hoja za wazi wazi za mabadiliko (bila kuonyesha wazi mnamtaka ZZK).Hivi hizi point mngepeleka kwenye chama in 'a'proper'way zingekataliwa?!!..au hilo halipo huko CDM.Mimi sijui...sababu am not a member na kama halipo the better way mngeanzisha chama na kuhighlighr mapungufu ya CDM ingekuwa pouwa sana.

Najaribu kujiuliza hivi assume CDM ingeruhusu mlicho plan, don't you think mngeruhusu kila kundi linalofikiria kuweka mgombea urais ndani ya chama lingefuata huo mkondo!.That being the case si mngekigawanya vipande vipande hicho chama?

Kwa mtazamo wangu mdogo, ZZK is not a presidential material.

Not now at least.Kuna a lot of immaturity ambazo nyie wenyewe mli ziona kwenye document yenu. In my view he needs to learn to grow himself and be seemed wants the party to grow.

Mimi binasfi nadhani ZZK alikuwa anatumia platform ta CDM kujijenga na kwa hilo alifanikiwa kwa kiasi fulani lakini sio kuwa Rais wa nchi bhana.!

Sihitaji kuandika mkakati wa kuonyesha ZZK sio presidential material kwa sababu he will never win hata ukimweka na Kagasheki aliyejuzulu juzi ..... at least for now.!!! No
 
Pale UDSM kuna baadhi ya watu ambao sielewi ni kwa nini ila wamesaliti maana ya nguzo kuu ya UDSM ya kuwa ndumila kuwili na wasaliti wa harakati za ukombozi wa wanyonge ..watu kama Bana, Kitila na Bashiru Ally wamegeuka makuhadi wa wanyonyaji(CCM) na kusema kweli mmeua misingi ya Ud na ukombozi wa nchi hii,na hii dhambi haitawaacha kamwe.
 
Mawazo mazuri ya kujali maslai ya chama kwa kugundua kosa amabalo mlifanya wenyewe,kufukuzwa uanachama wenu umetokana na kushindana na katiba ya chama pamoja na viongozi ndio maana mkafukuzwa uanachama.Zitto lazima afukuzwe kwa kiwango alichofikia kwani akutaka kuomba radhi mambo yaishe na kukubali adhabu alizopewa kutokana na katiba ya chama.Kwamaana hiyo Zitto lazima afukuzwe kukinusuru chama ,ili kujenga nidhamu ndani ya chama pasipo kuogopa matoke ya hapo baadae ,kwani wakiogopa matokeo ya kufukuzwa kwa zitto ndio yatakiua chama zaidi.Nidhamu ndani ya chama ni Muhimu sana na wanachama wanapaswa kufuata taratibu zote ndani ya chama chochote ndio maana kukawa na katiba ya chama ili kuongoza chama.
 
inawezekana wote sio mabwege ila baadhi yenu ni mabwege. umeshindwa hata kuelewa alichokisema Dr. kitila umebaki kuendeshwa na hisia tu.
kumbuka vizuri, kama kweli zitto alisema atagombea urais 2010. alisema hayo zaidi ya mwaka mmoja baada ya uchaguzi wakati wa maandalizi ya kuanza mchakato wa katiba mpya. katiba inataka mtu mwenye 40years, zitto atakuwa na 38/39 years, anagombeaji urais? kwa katiba ipi?
msifanye watu wote mabwege kama mlivyo nyie. hatujasahau yaliyompata Chacha wangwe. kwani kabla ya 2009, zitto kwenda kuchuka form mbona mlikuwa mkimsifia sana. lakini kwa nini haya yote yameanza baada ya zitto kumchallange mbowe?
iko wapi democrasia kwenye chama kinachojinasibu na democrasia tena mpaka kwenye jina?

Acha kuendeshwa na hisia toka nje ya box na uendeshwe na uhalisia. Au shule inatatiza, labda unakidigree chako cha sociology unajiona wa maana na unamandate hata ya kutukana watu?
Real, we need chama mbadala zaidi ya ccm na chadema. Period.

So Kitila Mkumbo you need mbadala wa CDM na CCM, kwa hiyo mlitaka muangamize CDM ili muelekee kwa huyo mbala. Acheni uhuni bhana.

Wakati wa uchaguzi 2010 kampeni zinaendelea. Zitto alikuwa busy kutangaza atagombea Urais 2015. Was it right timing? Acheni uhuni na kuaminisha wananchi ujinga.

Ndio Zitto alitaka kugombea Uenyekiti wa CDM, Kitila nakwambia kwamba, huyo Zitto wako angepata Uenyekiti leo CDM isingekuwepo.

Endelea kutuletea porojo zako unadhani wote ni mabwege.......
 
Mbadala wa CDM? Kwa hiyo mabadiliko 2013 ilikuwa ni kuleta mbadala wa CDM? Kama nitakuwa nimekuelewa vizuri nia ni kuleta chama kingine cha siasa ili kiwe mbadala ! Kama ni hivyo viongozi na wanachama wote wa CDM wanahaki zote kuwaita wasali, wahaini kwani nia yenu ilikuwa kuuwa CDM na kuanzisha mbadala. Je huoni mlikuwa hamuwatendei haki wale waliokubaliana na CDM, sera, taratibu , katiba, nk. Ni vyema mkaanzisha mbadala mkaendesha kwa vile mnavyoona inafaa ndio maana ZZK anatakiwa atoke mwenyewe kama anafikiri kama unavyofikiri asisubiri tsunami kwani lazima imbebe.
ungekua na akili japo kidoooogo tu wala usingejisumbua kuandika comment ya kijinga kama hii.
 
sijui kwa nini lakini siku zote nimekuwa ninatilia mashaka ubora wa elimu inayotolewa tanzania. Dakitari Kitila hivi elimu yako umeipata wapi kaka? hivi unafundisha watazania? kama ni ndiyo, je unawafundisha nini mkuu?

Dakitari umeungana na idadi kubwa ya watanzania wengine wanaoiaibisha sana elimu. Iliwahi kusemwa kuwa si rahisi umkute msomi tajiri wa fedha kwa kiwango cha rostam, mengi, bakheresa et al. Wasomi tunasikitika kuukubali ukweli huo lakini tunajifariji walau kwa heshima tunayopata kutokana na uwezo wetu wa kunyambua mambo, kufikiri na kushauri na kutenda sawia. Tunasikitika sana dakitari kuwa hata hiyo heshima ya "Akili" tuliyojijengea mbele ya jamii ghafla unaizika KWA namna yako ya kufikiri kidhaifu sana na kutenda kipumbavu(si kijinga) mno. hivi wewe ni dakitari wa nini kaka? saikolojia? kweli?

Kaka nakuomba sana useme you were just kidding na kwamba uliyatenda yote uliyotenda si kwa kutokujua kuwa ni utoto bali ulijuwa wazi ni utoto na ni hatari kwako binafsi, kundi lako, CDM na zaidi sana Nchi yako na wananchi wake kwa ujulma ila tu ni kwamba uliamua ku-risk ili kutimiza ama matamanio yako au ya watu waliokutuma ya vyeo na fedha. Ukisema hivyo nitakuwa na sababu ya walau kukusamehe kwa kiasi flani na kwamba jina utakalostahili kuitwa ni dakitari mjinga. ikiwa hivyo itakuwa rahisi kukusomesha, kukuelimisha na hatimaye ujinga wako utatoweka na/ama utapungua.

nitasikitika sana dakitari - na hii ni sababu kwa nini ninasema nina wasiwasi na ubora(quality) wa elimu inayotolewa Tanzania - ikiwa dakitari utashikilia kusema kuwa uliyatenda yote uliyotenda si kwa kujua kuwa ni utoto bali hakika hukujuwa ni utoto wazi na kwamba hukujua ni hatari kwako binafsi, kundi lako, CDM na zaidi sana Nchi yako na wananchi wake kwa ujumla na kwamba ulifikiri kuwa fikra na matendo yako vilikuwa tu moja ya njia (sahihi) ya kutimiza matamanio, yako au ya watu waliokutuma, ya vyeo na fedha. Kama ndivyo unavyosema dakitari wangu, basi nasikitika - na kwa hili naamini CDM yote, isipokuwa masalia, ipo nami - kuwa sintakuwa na sababu yoyote ya kukusamehe na kwa vyovyote vile jina utakalostahili kuitwa ni dokta mpumbav. ikiwa hivyo itakuwa ngumu kukusomesha, kukuelimisha na kwa vyovyote upumbavu wako hautatoweka na na wala kupungua kamwe.

dakitari, nakuomba sana, kwa heshima ya hiki kitu kinachoitwa elimu na kuelimika, na ili kutunza heshima na utukuka wa uwanja wa elimu, kuelimika, maarifa na maono chanya, tafadhali nijibu na useme .....you were just Kidding!!

dakitari please!!

vinginevyo dakitari nakushauri achana na siasa, fungua ofisi (kama bado hujafanya hivyo) ya kutoa ushauri wa kisaikolojia, wateja utapata wengi tu mbona!!
 
amesema hajavunja katiba. na ndo maana alikataa kuomba radhi. rudia kusoma hiyo thread. tatizo lenu mnasoma utafikiri mnaiba.

Tumeikataa CCM kwasababu inakumbatia makosa kwa kuogopa watu eti watayumbisha nchi. Lazima tujifunze kutoa adhabu na kupokea adhabu lazima tuanze na ZZK ili kutengeneza std zinazokubalika. NCCR haikuwa taasisi ilikuwa ni viongozi wenye uchu mkubwa sana wa madaraka na fedha, usalama wa taifa nk. Mazingira yamebadilika sana hatuwezi kuacha kuadhibiana kwa kuogopa kivuli cha NCCR. Dr ingebidi kwanza useme wazi je kwenye sakata lenu kwa vyovyote vile mlivunja katiba ya chama na kama mlivunja adhabu yake ilikuwa nini kwa mujibu wa katiba?

Lazima tuzifuate sheria zetu tulizokubaliana nazo. Sioni upofu wa wanachama ila naona tamaa ya tuliowaamini.
 
Ulichoongea ndio hasa tatizo la CDM sasa hivi, utajiita vipi chama cha demokrasia kama role model wako ni Nyerere?Utajiita vipi mwana DEmokrasia halisi kama kigezo chako cha kushindanisha watu kwenye uchaguzi ni Umri na Uzoefu?demokrasia halisi inatakiwa iwe open,kwa maana ya kutokuwweka vizingiti kwenye ushiriki hasa wa uhcaguzi.Kama ZITTO hana ushawishi au hafai hii si kwa mwenyekiti na katibu au CC kuamua, hii ni kwa wanachama wa CDM kuamua, mbona ni kitu rahisi sana.

Nyerere ni mmoja kati ya viongozi wenye ahueni kubwa kama sio bora zaidi, Tanzania imewahi kupata so far, lakini siwezi kumuita mwana demokrasia halisi, ukizingatia alikaa madarakani kwa miaka 27!!huyu kama si presure za IMF na umasikini angefia pale.ishukuriwe busara iliyomfanya ang'atuke. Nyerere naye alikuwa na syndrome ya kuona wa chini yake wote hawafai. Simlaumu sana kama kweli walikuwa hawafai, kwani hata ukiitazama CCM sasa hivi, sidhani kama kuna mawaziri/wanachama zaidi ya watano wanaoweza kushindana na JK kwenye poll wakamshinda.Lakini principle ya demokrasia ni pamoja na kung'atuka.

nakubaliana na Dr.Kitila kwa mantiki kuwa wengi tulidhani CDM ni chama mbadala wa CCM na kiko tayari kufanya mambo tofauti ili kuikomboa Tanzania, lakini kosa walilolifanya CDM sasa hivi, wameifanya CCM iwe ndio role model wao,utawasikia makada wao wakiropoka. Mwenyekiti wetu Mzinzi, mbona kapuya Mzinzi,Ebo!!sasa aliyewaambia CCM ni kioo cha kujitazamia ni nani?if CCM is your standard ebarer then we might as well keep the devil we know.

CDM is supposed to be radical and different, and it's leaders are supposed to be standard bearers when it comes to morality, good governance and Democracy.
So far it seems CDM winning stratergy is Populism, this is the only way one can explain MP's like Sugu and Lema. These people can attract crowds and roll in votes.for better or worse if we see CDM in office come 2015/2020, they will have to lead, and that is where the real problem will come to show up.
kama watanzania wote tungekuwa tunafikiri kwa mtazamo huu au mpana zaidi ya huu nchi hii ingekuwa mbali sana.makosa au mapungufu ya viongozi wa cdm yakisemwa hadharani basi utasikia mlinganisho na mtu wa ccm,sasa unajiuliza ya nini kuwaondoa ccm madarakani kama hao hao ndio role modo wenu?
 
Ukiona chama viongoz wake wakuu wanahubiri vilevi kama GONGO huku wanaandamwa na kashifa za UZINZI na UASHERATI basi tambua hicho chama KINA LAANA...

Bora kilipokufa,kingesumbua sana hiki,
 
Dr.Kitila ulikuwa Rais wangu wa Daruso UDSM. Nakumbuka kati ya 96 /97 nilikupa kura yangu! Pia naheshimu sana michango yako kwenye Tv huwa unajitahidi kuongea common sense.

Ila kwa hili brother natofautiana na wewe 100%.

Nakubaliana na hoja ya kuleta mabadiliko kwani ni muhimu siku zote.Kinachonipa shida ni strategy mliyotumia.Haikuwa startegy ya kisomi na haikuwa muafaka especially kwenye politics.

Dr. Kitila hata wewe pamoja na kuhitaji kugrow ili siku moja uje kuwa Mkuu Wa UDSM , its not a one nite job it is a process.Hukurupuki na kuandaa mkakati wa mabadilko ya kumuondoa Prof.Mukandala na bahati mbaya sana ikagundulika and then ukasurvive!.Ladders will be there everwhere bhana!

Procedure mliyotumia inaprotray picture kwamba nyie ni 'wasaliti" na mark my words ina potray to the public nyie mlikuwa, na mnaendelea kuonekana hivyo kwenye jamii kwamba ni watu wa aina gani.

For your information mimi sio Chadema na ninapenda sana mabadilko.Lakini mabadiliko yenye harufu ya mapinduzi, clearly yanngegawa chama zaidi badala ya kujenga.

Ki-ukweli mmechafua CV zenu na credibility.To be trusted even in the future will need an extra work.Ni mjinga tuu au mbumbumbu atakayekuwa tayari kuruhusu mtu ambaye publicly amekubali kufanya changes behind the scenes awe naye kwenye same party or as a member! In short mme-jiexpose!

Najiuliza why didnt you guys influence CC na wanachama wote wa CHADEMA kuwasupport through your harworking, ushawishi mlionao, kujenga hoja za wazi wazi za mabadiliko (bila kuonyesha wazi mnamtaka ZZK).Hivi hizi point mngepeleka kwenye chama in 'a'proper'way zingekataliwa?!!..au hilo halipo huko CDM.Mimi sijui...sababu am not a member na kama halipo the better way mngeanzisha chama na kuhighlighr mapungufu ya CDM ingekuwa pouwa sana.

Najaribu kujiuliza hivi assume CDM ingeruhusu mlicho plan, don't you think mngeruhusu kila kundi linalofikiria kuweka mgombea urais ndani ya chama lingefuata huo mkondo!.That being the case si mngekigawanya vipande vipande hicho chama?

Kwa mtazamo wangu mdogo, ZZK is not a presidential material.

Not now at least.Kuna a lot of immaturity ambazo nyie wenyewe mli ziona kwenye document yenu. In my view he needs to learn to grow himself and be seemed wants the party to grow.

Mimi binasfi nadhani ZZK alikuwa anatumia platform ta CDM kujijenga na kwa hilo alifanikiwa kwa kiasi fulani lakini sio kuwa Rais wa nchi bhana.!

Sihitaji kuandika mkakati wa kuonyesha ZZK sio presidential material kwa sababu he will never win hata ukimweka na Kagasheki aliyejuzulu juzi ..... at least for now.!!! No

kaka huyu dakitari, maadamu yeye mwenzetu ni msomi, embu na aulizwe ni kwa nini mipango mikakati mingi (strategic plans) mara nyingi, kama si mara zote, huwa ni za miaka mingi? kwa mfano Vision 2025, MKUKUTA nk. Kwa nini isingekuwa Vision 2007 au 2015? yan msomi mzima unadanganywa na zito unaplan vitu the likes of a street roomer!!! eti waaaaapu kufumba na kufumbua umeshampindua mbowe, slaa nk!!! hivi hata kama umemdharau mbowe kiasi hicho ndo ufikiri yeye ni ---- to that extent kweli? yan yeye akae tu akusubiri wewe dakitari upange vimipango vyako kisirisiri vya kuja kumpindua!! hivi for Gods sake hata kama mlikuwa mmeamua hivo dakitari kulikuwa na ulazima gani wa kuweka huo mpango kwenye maandishi na kuuhifadhi kwenye kompyuta tena unayoitumia ofisini? Tunajua wasomi wengi(ikiwemo na wale ambao hawajaelimika) huwa na katabia ka kijinga ka kuwadharau Watanzania wenzao hasa wenye elimu ya kiwango cha chini au ambao hawana elimu(hata kama wameelimika). Hata hivyo ni wazi dharau hizo hazijafikia kiwango wanachotaka kukionesha kina daktari wangu huyu. mimi sijui bhana lakini kuishi kwangu hapa dar kumenifundisha kuwa pepole are too smart to kick off that easy. dakitari, mbowe (Na wana-cdm wengi) ni mtoto wa tawni longi sana kaka, hata hicho tu kukijua ilikushinda dakitari? you should have been smarter my bro. Not that much easy, nakuhakikishia, kwa jasho na damu nyingi ya wana-cdm iliyokwishamwagika, kwa uwekezaji mkubwa mno wa hali na mali toka kwa maSkini, matajiri, wasomi, wasiosoma, wadogo, wakubwa, wakulima, wafanyakazi, wafanyabiashara, nk nk....not that much easy bro!!!

dakitari siamini kuwa kupiga kwako umande koooote, madarasa na madawati yooooote uliyokalia, mavitabu yooooote uliyopekuwa, masemina yoooote uliyopewa na uliyotoa, ma-sypmposiam yoooote, mikutano yooote ya kisomi uliohudhuria, tafiti zooooote ulizoendesha na ulisosoma na kuzichambua nk nk,.....hayo yooooooooooote uliyofanya na kujikusanyia kichwani mwako...eti....eti dakitari...mwisho wake ndo kujiingiza kwenye mipango dhaifu kama hii??!! hii ndo product ya elimu yako uliyojikusanyia kwa miaka nenda miaka rudi? yaANI wazo lenyewe ni wazo dhaifu. afadhali basi liwe wazi dhaifu lakini ulipange kiustadi. lakini tena hata kwenye kulipanga unalipanga kidhaifuuuuuuuu!!

mpppgho! madakitari na mapurofesa wa bongo wengi wao tabu tupu!!
 
Pengine niseme tu kwa waraka huu,namuona Shibuda ana unafuu kuliko wewe Dr.Kitila Mkumbo na ZZK wako.Pamoja na udhaifu wa Shibuda,yeye amekuwa akiikosoa CDM wazi wazi.Lakini wewe ambaye chama kimekuamini kikakupa majukumu makubwa,uliamua kuwa double agent.Umekitumikia chama kwa bidii na kukijenga,lakini wakati huo huo unashiriki kukiangamiza,kwa sababu tu unamtaka mtu fulani.Kungekuwa na mantiki kubwa kama waraka wako ungejikita kutomtaja mtu fulani.Ni uwazi kuwa mahaba yako juu ya Zitto yalizidi kipimo,ukasahau misingi uliyoijenga na kujielekeza kwa mtu mmoja.

Pia kwa makala hii naelekea kuamini kuwa kadri mtu unavyozidi kusoma,na kiwango cha uelewa kinakuwa kidogo.Dr.Mkumbo,katika kujenga demokrasia hasa katika nchi kama ya kwetu,we need to look the situation on the ground and not merely academic exercises.Katika bandiko lako,u sound more academic badala ya kuangalia uhalisia.

Matatizo CDM inawezekana yakawepo makubwa,lakini mpaka sasa taasisi hii imejengwa kwa damu za watu kwa kuipigania.Imejengwa kwa mioyo na mamilioni ya watanzania.Katika uhalisia wa hali inavyokwenda,haikuwa wakati muafaka wa kuanzisha vugu vugu la ndani kwa ndani ambalo mlijua kabisa kwamba litaleta mgawanyiko.

Inawezekana kwa hili umefanikiwa pamoja na timu yako.Lakini jua ya kwamba,mmekatisha wengi tamaa.Sintofahamu mlioijenga kwa kigezo cha demokrasia ndani ya chama,imeleta mgawanyiko mkubwa na mpana.Nikupe mfano mdogo tu,kuna kipindi fulani wakati Nyerere anaongoza,aliamua sehemu ya haki za binadamu kwenye katiba iwe suspended,malalamiko yalikuwa mengi lakini lengo ilikuwa ni kuijenga nchi na watu wasitumie mwavuli wa demokrasia ili kuharibu mikakati ya kujenga nchi.

Uchanga wa CDM na vyama vingine pamoja na kufurukuta kwake,inayo changamoto ya kupambana na chama tawala na chenye fedha.Katika wakati kama huu ambapo tunao viongozi walau walikuwa wamejipambanua kutuvusha salama katika wakati huu mgumu,sikuona kama agenda ya uchaguzi,tena kwa njia ya mapinduzi ndo ingechukua nafasi,na bahati mbaya kwa kusaliti katiba ya chama ambayo mmeshiriki kuitengeneza.

Katika wakati tulionao,tujue ya kwamba hata demokrasia popote pale ina mipaka yake.CCM wamefanya uchaguzi mara ngapi?ni wangapi wamesimama kumpinga rais aliyepo madarakani?Katiba ya CCM inasemaje kuhusu uchaguzi ndani ya chama?unajua akina rais Aboud Jumbe,na wale kundi la G55 walifanywaje pale ilipogundulika wanaenda kinyume fikra za Mkt?

Nikuombe Dr.Mkumbo,usifanane mke aliyeachwa,ambaye baada ya kuachwa ndo huanza kuyazungumzia ya chumbani.Jisitiri,jisahihishe na ujipange upya.Vinginevyo makala hii ni ya kutafuta huruma na kuzidi kuleta mtafaruku.
 
amesema hajavunja katiba. na ndo maana alikataa kuomba radhi. rudia kusoma hiyo thread. tatizo lenu mnasoma utafikiri mnaiba.

ok tu-assume kweli hajavunja katiba, basi angepanga hiyo mipango yake kiakili basi. sasa mtu unapanga mipango ya kumpindua mtu kidhaifu namna hiyo utafkiri unaenda kumpindua balozi wa nyumba kumikumi kule muleba ndani kijijini? mtu mwenyewe mbowe!!!??

huyu dakitari wako kajidhalilisha sana.
 
Kabisa mkuu Dr. Mkumbo anzisheni mi nitakuwa mwanachama wa mkoa wa Arusha hakikisheni ni mu wakweli na wawazi. Fanyeni haraka watanzania wanateketea kwa upotofu.
 
Back
Top Bottom