Curriculum Vitae
Kitila Alexander Kanyama MKUMBO (Ph.D)
Associate Professor in Psychology and Education
Department of Educational Psychology and Curriculum Studies
School of Education
University of Dar es Salaam
P O Box 35048, Dar es Salaam, Tanzania.
Email: kitilam@udsm.ac.tz and kitilam@yahoo.com
Mwenye details atueleze kafanya research ya nini?
Hawezi kuwa Prof.kabla ya kwenda hata Sebbatical leave , alienda lini Sebbatical ? Na hata kama alienda atakuwa Associate Prof.."........ Aidha ameshatoa chapisho lolote ? Ameandika nini ? Msitulishe upepo bana
Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo. Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor. Hongera Profesor Mkumbo
professor Mkumbo kuwa na marafiki sampuli yako ndicho kilichomshushia hadhi nchi hii atapewa kila aina ya cheo lakini bado kabatizwa msaliti maana anamarafiki wasio na hadhi ya Lissu kiusomi hata kifikra,hata kama Mkumbo ana beef na Lissu asikuttumie kanjanja kama weweHaya sasa Prof. KITILA MKUMBO vs Ndugu TUNDU LISSU, lissu aokote makopo.
Bora yeye kazipata kwa jasho, kuna mtu hata hajasome ila anaitwa Dr fulani
Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo. Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor. Hongera Profesor Mkumbo
Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo. Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor. Hongera Profesor Mkumbo
Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo. Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor. Hongera Profesor Mkumbo
Kama wwe siyo mfuatiliaji na msomaji wa research za wasomi lazima uulize maswali ya kipuuzi kama haya.