what kind of clarification did he need?And how did he followingNaona huyo muuliza swali aliuliza tu kujionesha kwamba anafuatilia sana mambo ya Mbeki hakuwa na nia yeyote ya kupata clarification kwa faida ya wote.
Botswana ni nchi maskini? mbona ukimwi umeshamiri? Wacha kumshabikia Mbeki.
Nimeshaanza kuwa na wasiwasi na uelewa wa hawa wasomi wetu ambao ndio tunaowategemea,ndugu umeeleza vizuri sana ,huyu Dr Kitila kaonyesha umbumbumbu wa hali ya juu,na nakubaliana na mdau kuwa kuingiza hilo kwenye mambo binafsi huo ni ufinyu wa akili,hasa kwa mtu msomi kama Kitila(?)nafikiri pia huyu Dr wakati alitaka tu kujionyesha kuwa anamjua Mbeki ndani nje na mwishowe kaharibu wakati ambao wengine wangetumia kuuliza maswali,unapomuuliza mtu kwa kurejea mambo yake binafsi ana haki ya kuhamaki ,na sawa hata yeye Kitila umuulize swali na kwa kufuata mambo yake binafsi tena yanayohisi kifo sijui kama angefurahi.Kwa mila mambo ya vifo yanayomhusu mlengwa hayaletwi kwenye mijadala,huo ni kukosa heshima na adabu
Hapo Kitila alichemsha. Report ya world bank iliyotaka mwaka huu inaonyesha kuwa kuna correlation kati ya kipato na ugonjwa wa UKIMWI.
kumbe sio umasikini ni ukosefu wa elimu kuhusu maambukizo. kitila yupo sahihi ni tabia ya viongozi wa africa kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu,Sababu ya kushamiri ulimwi Botswana ni wafanyakazi wa kwenye migodi hawakupewa elimu ya kutosha na mila na desturi zao zilichangia sana
Chama
Gongo la mboto DSM
Sijui Mbeki alijibuje hilo swali lakini mara kadhaa amekuwa akionyeshe reluctance katika kulijibu hilo. Kwenye miaka ya 90 alizua controversy kubwa tu alipoonekana kama vile yupo upande wa wale wanasayansi waliokuwa wanakataa uhusiano wa HIV-AIDS.
Kwa hiyo mpaka hapo sioni Kitila alipokurupuka.
Nimeshaanza kuwa na wasiwasi na uelewa wa hawa wasomi wetu ambao ndio tunaowategemea,ndugu umeeleza vizuri sana ,huyu Dr Kitila kaonyesha umbumbumbu wa hali ya juu,na nakubaliana na mdau kuwa kuingiza hilo kwenye mambo binafsi huo ni ufinyu wa akili,hasa kwa mtu msomi kama Kitila(?)nafikiri pia huyu Dr wakati alitaka tu kujionyesha kuwa anamjua Mbeki ndani nje na mwishowe kaharibu wakati ambao wengine wangetumia kuuliza maswali,unapomuuliza mtu kwa kurejea mambo yake binafsi ana haki ya kuhamaki ,na sawa hata yeye Kitila umuulize swali na kwa kufuata mambo yake binafsi tena yanayohisi kifo sijui kama angefurahi.Kwa mila mambo ya vifo yanayomhusu mlengwa hayaletwi kwenye mijadala,huo ni kukosa heshima na adabu
Dr. Wako kachemka mada ilikuwa ni ukimwi?
Chama
Gongo la mboto DSM
Dr. Wako kachemka mada ilikuwa ni ukimwi?
Chama
Gongo la mboto DSM
kumbe sio umasikini ni ukosefu wa elimu kuhusu maambukizo. kitila yupo sahihi ni tabia ya viongozi wa africa kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu,
UKIMWI ni janga, janga kwa SA linaathiri kila sekta kuanzia uzalishaji hadi huduma, kama huelewi hilo au hujui athari za ukimwi basi subiri upaki kwenye yard yako kwa muda utagundua maana ya ukimwi
kuanzia workforce, care and treatment, psychological, system impact, economic impact etc.... chama unazidi kuthibitisha una matatizo makubwa ya upeo
Correlation is not causation.
Hamsumbui vichwa vyenu kufikiria swali la Kitila Mkumbo (Kama kweli aliuliza). Kama Thabo Mbeki alisema UKIMWI ni ugonjwa unaotokana na umaskini inakuaje mtoto wake (ambaye si maskini) afe kwa UKIMWI? Hili ni swali lenye mantiki sana maana kauli hiyo ya Mbeki ilizua mjadala sasa ukipata fursa ya kumuuliza lazima ujue kama bado ana msimamo huo au ameubadili. Sioni sababu ya Mbeki kujaa povu angekuwa muungwana tu na kujibu maswali.
In Econometrics and Mathematical Statistics correlations can be used to show causation.
In Econometrics and Mathematical Statistics correlations can be used to show causation.