Dr. Kitila ampa tabu Thabo Mbeki

Dr. Kitila ampa tabu Thabo Mbeki

Mi ni mwanasaikolojia pia na dk mkumbo ni mwalimu wangu.Kwa jinsi watu walivyolipokea hilo swali na jinsi mbeki alivyojibu naamini dk mkumbo alijuta kwa nini aliuliza swali lile.Nachopingana nacho hapa ni vile watu wanavyoanza kumkejeli na kumdharau mtu kama dk mkumbo wengine hata hawamfaham wanaanza kurusha maneno ya ajabu kabisa.Acheni hizo bhana
 
Katika swali langu sikuzumzungumzia chochote kufariki kwa mtoto wa Mbeki kwa sababu wala sijui hilo jambo. Swali langu lililenga kupata ufafanuzi juu ya madai ya Thabo Mbeki alipokuwa Rais kwamba UKIMWI hausababishwi na virusi vya UKIMWI bali unasababishwa na kuharibiwa kwa mfumo wa kinga mwili kwa sababu ya umaskini na lishe duni. Msimamo wake ulisababisha Afrika Kusini kukataa kupokea msaada wa ARVs na maelfu ya watu kufa bila sababu.

Kwa Kiingereza swali lilikuwa framed kama ifuatavyo:

In the 1990s, supported by scientists described as minority, dissident and maverick, you boldly and courageously claimed that AIDS is not caused by HIV, but by a collapse of the immune system due to poverty and poor nutrition. As a result of your stance, your Government refused to receive the ARV assistance from international pharmaceutical industries. Your stance also almost caused a moratorium in HIV prevention efforts not just in south africa, but in the whole continent. Recently, Harvard scientists published a study report showing that about 300,000 died in South Africa because of your policy stance. The findings of this study have been validated by my scientists, including those in South Africa.
i) Reflecting and looking back to your presidency, and given the pace at which South Africa has reduced the HIV infection rates and HIV related deaths, do you still maintain the same position regarding the cause of HIV?
ii) Do you have any regrets over your position?
 
kitila hapo kweli alikosa busara na alihuliza swali kama sifa flani hivi aonekane nae kahuliza swali ,pia hakukuwa na haja ya yeye kumtaja mtoto wa mbeki kwani ni masuala ya kifamilia...hekiama hana akili finyu huo udokta kapewa kwa njia za panya yaelekea....mgeni akija kwake anaweza kumuhuliza vitu kama hivyo?

kwani kuna ubaya gani mbona mandela mtoto wake alikufa na ukimwi alitangaza hadharani?
 
Katika swali langu sikuzumzungumzia chochote kufariki kwa mtoto wa Mbeki kwa sababu wala sijui hilo jambo. Swali langu lililenga kupata ufafanuzi juu ya madai ya Thabo Mbeki alipokuwa Rais kwamba UKIMWI hausababishwi na virusi vya UKIMWI bali unasababishwa na kuharibiwa kwa mfumo wa kinga mwili kwa sababu ya umaskini na lishe duni. Msimamo wake ulisababisha Afrika Kusini kukataa kupokea msaada wa ARVs na maelfu ya watu kufa bila sababu.

Kwa Kiingereza swali lilikuwa framed kama ifuatavyo:

In the 1990s, supported by scientists described as minority, dissident and maverick, you boldly and courageously claimed that AIDS is not caused by HIV, but by a collapse of the immune system due to poverty and poor nutrition. As a result of your stance, your Government refused to receive the ARV assistance from international pharmaceutical industries. Your stance also almost caused a moratorium in HIV prevention efforts not just in south africa, but in the whole continent. Recently, Harvard scientists published a study report showing that about 300,000 died in South Africa because of your policy stance. The findings of this study have been validated by my scientists, including those in South Africa.
i) Reflecting and looking back to your presidency, and given the pace at which South Africa has reduced the HIV infection rates and HIV related deaths, do you still maintain the same position regarding the cause of HIV?
ii) Do you have any regrets over your position?

Sasa hili la mtoto wa Mbeki limekujaje? Halafu ungemalizia kwa nini Mbeki hakujibu (?)

Mbona umechelewa kusafisha hali ya hewa hapa jukwaani? Je umeshawaambia mods kufuta kichwa cha habari au thread yake nzima kwa upotoshaji?

Akina Gaijin & Co njooni msome upya!
 
Last edited by a moderator:
kitila hapo kweli
alikosa busara na alihuliza swali kama sifa flani hivi aonekane nae
kahuliza swali ,pia hakukuwa na haja ya yeye kumtaja mtoto wa mbeki
kwani ni masuala ya kifamilia...hekiama hana akili finyu huo udokta
kapewa kwa njia za panya yaelekea....mgeni akija kwake anaweza
kumuhuliza vitu kama hivyo?

msimuaibishe mtaalamu wetu wa CDM, yeye alikuwa anataka sifa za kijinga aonekane bright
 
Mtoa mada kalidanganya jukwaa swali la kitila limepotoshwa! anavyosema kitila na yeye ni tofauti aombe radhi jukwaa na member wote aliowapotosha.
 
Katika swali langu sikuzumzungumzia chochote kufariki kwa mtoto wa Mbeki kwa sababu wala sijui hilo jambo. Swali langu lililenga kupata ufafanuzi juu ya madai ya Thabo Mbeki alipokuwa Rais kwamba UKIMWI hausababishwi na virusi vya UKIMWI bali unasababishwa na kuharibiwa kwa mfumo wa kinga mwili kwa sababu ya umaskini na lishe duni. Msimamo wake ulisababisha Afrika Kusini kukataa kupokea msaada wa ARVs na maelfu ya watu kufa bila sababu.

Kwa Kiingereza swali lilikuwa framed kama ifuatavyo:

In the 1990s, supported by scientists described as minority, dissident and maverick, you boldly and courageously claimed that AIDS is not caused by HIV, but by a collapse of the immune system due to poverty and poor nutrition. As a result of your stance, your Government refused to receive the ARV assistance from international pharmaceutical industries. Your stance also almost caused a moratorium in HIV prevention efforts not just in south africa, but in the whole continent. Recently, Harvard scientists published a study report showing that about 300,000 died in South Africa because of your policy stance. The findings of this study have been validated by my scientists, including those in South Africa.
i) Reflecting and looking back to your presidency, and given the pace at which South Africa has reduced the HIV infection rates and HIV related deaths, do you still maintain the same position regarding the cause of HIV?
ii) Do you have any regrets over your position?
this is one of the most intelligent question.na ndio maana una doctorate,you deserve to be called a doctor,sasa napendekeza mwanzisha thread aombe radhi,kisha mods mumpatie ban.
 
Wabongo bana, Bw. Mbeki keshasepa zake anakula bata na wala hata ukimuuliza sasa kuhusu Bw.Mkumbo hakumbuki wala hajui ni nani huyo, nyinyi huku mmebaki mnataka kutoana roho, halafu hata mnachobishania hakionekani!
 
Katika swali langu sikuzumzungumzia chochote kufariki kwa mtoto wa Mbeki kwa sababu wala sijui hilo jambo. Swali langu lililenga kupata ufafanuzi juu ya madai ya Thabo Mbeki alipokuwa Rais kwamba UKIMWI hausababishwi na virusi vya UKIMWI bali unasababishwa na kuharibiwa kwa mfumo wa kinga mwili kwa sababu ya umaskini na lishe duni. Msimamo wake ulisababisha Afrika Kusini kukataa kupokea msaada wa ARVs na maelfu ya watu kufa bila sababu.

Kwa Kiingereza swali lilikuwa framed kama ifuatavyo:

In the 1990s, supported by scientists described as minority, dissident and maverick, you boldly and courageously claimed that AIDS is not caused by HIV, but by a collapse of the immune system due to poverty and poor nutrition. As a result of your stance, your Government refused to receive the ARV assistance from international pharmaceutical industries. Your stance also almost caused a moratorium in HIV prevention efforts not just in south africa, but in the whole continent. Recently, Harvard scientists published a study report showing that about 300,000 died in South Africa because of your policy stance. The findings of this study have been validated by my scientists, including those in South Africa.
i) Reflecting and looking back to your presidency, and given the pace at which South Africa has reduced the HIV infection rates and HIV related deaths, do you still maintain the same position regarding the cause of HIV?
ii) Do you have any regrets over your position?

Tunashukuru..nashukuru this is what I also posted before na pia hii lugha ya malkia naona niliokota..so Dr kitila...do you have any regrets over th question you posed to Mr Mbeki?
 
Thabo Mbeki ni JEMBE haswa!! angejibu angechukua muda lakini siyo kwamba alikosea au hajui.
Tumeshajiuliza maswali haya?
What is causing the epidemic of HIV/AIDS?
Why Africa is more vulnerable than Europe/US? Kumbukeni kuwa hawa wenzetu umalaya ni kawaida ref> "sexual tourism in Thai and the like"HIV/AIDS infection vulnerability is beyond sex!!!!

I = N x P x T

where I is probability of sexual infection,

N is the number of partners= kwa wale mlioishi ughaibuni na wanaofahamu hawa watu weupe mnalo jibu hapa!!

P is the prevalence rate in the population, and

T is the per-contact transmission risk, which is assumed to be the same for every population.

lT = V – + C + (or T = V – x C +)
risk of transmission = vulnerability + contagiousness
lV – = f {standard risk, H–, M–, F–, TB–, STD–,
SCH–, . . . }
Tafiti zimeshaoneshwa kuwa uwezekano wa maambukizi (vulnerabilities) huongezeka kukiwepo na Utapiamlo wa hali ya juu, kichocho, magonjwa ya zinaa, malaria, TB, na magonjwa yote kwa ujumla. Hii ni nini kama siyo umaskini?
Ninampenda THABO kwa kutufumbua macho mapema.
Uhusiano wa maambukizi ya UKIMWI na Umaskini ni mkubwa kupita kiasi. Thabo alipingwa na anapingwa na Mashirika ya KIFISADI yaliyotumia janga la UKIMWI kama mtaji! wa kufisidi!!. Hadi miaka hii ndipo tunapohusisha UKIMWI na maendeleo. MY take THABO was absolutely right! we were myopic that time.
UKIMWI unasababishwa na UMASKINI na Unasababisha UMASKINI.

Ahahaha... hapo unapoteza muda kuja na upembuzi kama huo humu JF, hamna atakayeelwa hapo, ni bora uelewa wako ungebaki nao tu, halafu humu ukaandika porojo tu kama kupoteza muda na kujifurahisha, tena ukitaka zinoge sana oanisha hii habari na CHADEMA na CCM hapo utakuwa umewafikisha, lakini upembuzi wa hivyo hupati mtu, wataperuzi na kuendelea kutafuta penye neno CHADEMA au CCM!

Alitaka tu kumkumbusha Mzee wa watu machungu ya kumpoteza mwanaye, yaani , watu wengine kero kweli, ili mradi na yeye aonekane yupo
 
Katika swali langu sikuzumzungumzia chochote kufariki kwa mtoto wa Mbeki kwa sababu wala sijui hilo jambo. Swali langu lililenga kupata ufafanuzi juu ya madai ya Thabo Mbeki alipokuwa Rais kwamba UKIMWI hausababishwi na virusi vya UKIMWI bali unasababishwa na kuharibiwa kwa mfumo wa kinga mwili kwa sababu ya umaskini na lishe duni. Msimamo wake ulisababisha Afrika Kusini kukataa kupokea msaada wa ARVs na maelfu ya watu kufa bila sababu.

Kwa Kiingereza swali lilikuwa framed kama ifuatavyo:

In the 1990s, supported by scientists described as minority, dissident and maverick, you boldly and courageously claimed that AIDS is not caused by HIV, but by a collapse of the immune system due to poverty and poor nutrition. As a result of your stance, your Government refused to receive the ARV assistance from international pharmaceutical industries. Your stance also almost caused a moratorium in HIV prevention efforts not just in south africa, but in the whole continent. Recently, Harvard scientists published a study report showing that about 300,000 died in South Africa because of your policy stance. The findings of this study have been validated by my scientists, including those in South Africa.
i) Reflecting and looking back to your presidency, and given the pace at which South Africa has reduced the HIV infection rates and HIV related deaths, do you still maintain the same position regarding the cause of HIV?
ii) Do you have any regrets over your position?

Dr.

I will give you a break on this one. Swali lako likuwa sahihi kabisa. Ni kweli kuwa position ya Thabo Mbeki ilikuwa sio sahihi kisayansi.

Hila kitu kimoja cha muhimu ni kuwa gharama za huduma kwa wagonjwa wa HIV zilikuwa bado kubwa. Hivyo si kweli kuwa kulikuwa na makampuni ya madawa yaliyokuwa yanatafuta watu kuwasaidia. Walichokuwa wanataka ni serikali ya africa kusini kutumia bajeti yake kwa kununua madawa hayo.

Game changer katika upatikanaji wa ARV ni utawala wa George Bush uliotoa pesa nyingi za kufanya utengenezaji wa generic drugs za bei nafuu.
 
Ubaya wa swali la Kitila ni kitu gani mbona hamsemi mnalalama tu ?Ni vyema hawa watawala kukumbushwa maana wamezidi kujisemea wakiwa madarakani .
 
Alikuwa katika academic ground lazima atoe majibu yasiyo na utata ndion maana hata iweje JK anajiita Dr pale hakanyagi
 
Katika swali langu sikuzumzungumzia chochote kufariki kwa mtoto wa Mbeki kwa sababu wala sijui hilo jambo. Swali langu lililenga kupata ufafanuzi juu ya madai ya Thabo Mbeki alipokuwa Rais kwamba UKIMWI hausababishwi na virusi vya UKIMWI bali unasababishwa na kuharibiwa kwa mfumo wa kinga mwili kwa sababu ya umaskini na lishe duni. Msimamo wake ulisababisha Afrika Kusini kukataa kupokea msaada wa ARVs na maelfu ya watu kufa bila sababu.

Kwa Kiingereza swali lilikuwa framed kama ifuatavyo:

In the 1990s, supported by scientists described as minority, dissident and maverick, you boldly and courageously claimed that AIDS is not caused by HIV, but by a collapse of the immune system due to poverty and poor nutrition. As a result of your stance, your Government refused to receive the ARV assistance from international pharmaceutical industries. Your stance also almost caused a moratorium in HIV prevention efforts not just in south africa, but in the whole continent. Recently, Harvard scientists published a study report showing that about 300,000 died in South Africa because of your policy stance. The findings of this study have been validated by my scientists, including those in South Africa.
i) Reflecting and looking back to your presidency, and given the pace at which South Africa has reduced the HIV infection rates and HIV related deaths, do you still maintain the same position regarding the cause of HIV?
ii) Do you have any regrets over your position?

Dah! Watu bana. Hawana hata haya kukuzulia ambayo hukuyasema.

Swali lako lilikuwa fair kabisa na ni kweli Mbeki kwenye miaka hiyo ya 90 hususan mwishoni mwishoni alionekana yupo kwenye kundi la hao wanasayansi waliokuwa wanahoji/kataa uhusiano kati ya HIV na AIDS.

Great job Dr. That wasn't a softball question.
 
Ulikurupuka kuuliza swali bila kufanya utafiti wa habari yenyewe; wakati Mbeki anakataa misaada ya dawa swala halikuwa kama unavyotaka kulijadili; utafiti wakati ule ulionyesha idadi ya watu waliokuwa wakitumia dawa wanafariki kwa kiwango cha juu kuliko waathirika wasiotumia dawa; Alichokataa Mbeki ni wagonjwa kupewa dawa za viwango duni; ndipo alipohoji ikiwa dawa hizi zinaharakisha wagonjwa kufa je ipo haja ya kuzitumia? Na ndipo ilipogundulika dawa zinazopelekwa nchi za dunia ya 3 zilikuwa ni za majaribio sio dawa wanazopewa wagonjwa waliopo USA na nchi nyingine zilizoendelea; na zipo tafiti nyingi tu zinazoonyesha utapiamlo unachangia kwa kiasi gani; inasikitisha sana kuona msomi kama wewe unauliza maswali nje mada Mbeki hakuja kutoa mada kuhusu HIV/AIDS na kitendo chake cha kutokukujibu alionyesha ni jinsi gani amekudharau; kama alikuwa hana jibu

Chama
Gongo la mboto DSM
 
msomi mzima anauliza swali la kijinga namna hiyo? je linamanufaa gani kwa watanzania?
Nilidhani jamaa huyu anaweza panga hoja vizuri kumbe debe tupu !

Mwenyewe keshakuja hapa na kabandika alichokiuliza. Hebu soma hicho alichokiuliza halafu uonyeshe huo ujinga uliopo kwenye hilo swali lake.
 
Dah! Watu bana. Hawana hata haya kukuzulia ambayo hukuyasema.

Swali lako lilikuwa fair kabisa na ni kweli Mbeki kwenye miaka hiyo ya 90 hususan mwishoni mwishoni alionekana yupo kwenye kundi la hao wanasayansi waliokuwa wanahoji/kataa uhusiano kati ya HIV na AIDS.

Great job Dr. That wasn't a softball question.

Nyani Ngabu
Dr. wako kachemka mbaya sana !!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Ulikurupuka kuuliza swali bila kufanya utafiti wa habari yenyewe; wakati Mbeki anakataa misaada ya dawa swala halikuwa kama unavyotaka kulijadili; utafiti wakati ule ulionyesha idadi ya watu waliokuwa wakitumia dawa wanafariki kwa kiwango cha juu kuliko waathirika wasiotumia dawa; Alichokataa Mbeki ni wagonjwa kupewa dawa za viwango duni; ndipo alipohoji ikiwa dawa hizi zinaharakisha wagonjwa kufa je ipo haja ya kuzitumia? Na ndipo ilipogundulika dawa zinazopelekwa nchi za dunia ya 3 zilikuwa ni za majaribio sio dawa wanazopewa wagonjwa waliopo USA na nchi nyingine zilizoendelea; na zipo tafiti nyingi tu zinazoonyesha utapiamlo unachangia kwa kiasi gani; inasikitisha sana kuona msomi kama wewe unauliza maswali nje mada Mbeki hakuja kutoa mada kuhusu HIV/AIDS na kitendo chake cha kutokukujibu alionyesha ni jinsi gani amekudharau; kama alikuwa hana jibu

Chama
Gongo la mboto DSM

Sijui Mbeki alijibuje hilo swali lakini mara kadhaa amekuwa akionyeshe reluctance katika kulijibu hilo. Kwenye miaka ya 90 alizua controversy kubwa tu alipoonekana kama vile yupo upande wa wale wanasayansi waliokuwa wanakataa uhusiano wa HIV-AIDS.

Kwa hiyo mpaka hapo sioni Kitila alipokurupuka.
 
Back
Top Bottom