Dr. Kitila ampa tabu Thabo Mbeki

Dr. Kitila ampa tabu Thabo Mbeki

Naona huyo muuliza swali aliuliza tu kujionesha kwamba anafuatilia sana mambo ya Mbeki hakuwa na nia yeyote ya kupata clarification kwa faida ya wote.
what kind of clarification did he need?And how did he following
the personal life of Tabu Mbeki of Tabu Mbeki and whose interest?
 
mtoa mada ungetupa full quote ya swali, vinginevyo mada yako haijasimama vizuri!
lakini kama ndivyo swali lilivyoulizwa, basi Kitila Dr. alikuwa na hoja na Mbeki alipaswa
kurespond! Kwa muktadha wa kauli ya Mbeki (kama kweli) alipaswa kuthipitisha na kuonesha
kama bado ana mtazamo huo! Ni kawaida ya Viongozi wetu wa Kiafrika kutoa kauli
za kukejeli wananchi wao ambao wao wenyewe wamewatengenezea mazingira ya
kuwa maskini!
Ni ngumu kwa mtu ambaye siyo mwananzuoni wa ukweli kuona hoja ya Kitila katika swali hilo
kwa sababu pengine wametawaliwa na hisia zaidi ya ukweli! Fungueni macho muone
ukweli!
probably Mbeki knew he was wrong, na kama kawaida ya wanasiasa lazima watafute skapegoat!

Nafikiri tunahitaji watu wengi kama akina Kitila ambao ni critical thinkers! Tatizo la wabongo
wengi tumezoea maswali ambayo ni obvious! mfano: "hivi mkono wako una Vidole vitano?"
you should see the substance within that question of Kitila!
 
Mbeki alipaswa kulijibu swali la Kitila kwa sababu linaweza kujibika. wakati akitoa matamshi hayo alinukuliwa na dunia nzima sasa ulikuwa wakati mzuri kutoa ufafanuzi kuhusu uhusiano wa ukimwi na umasikini angeweza pia kukiri mtizamowake wa awali ulikuwa umebadilika na hilo lingempa heshima zaidi
 
Nimeshaanza kuwa na wasiwasi na uelewa wa hawa wasomi wetu ambao ndio tunaowategemea,ndugu umeeleza vizuri sana ,huyu Dr Kitila kaonyesha umbumbumbu wa hali ya juu,na nakubaliana na mdau kuwa kuingiza hilo kwenye mambo binafsi huo ni ufinyu wa akili,hasa kwa mtu msomi kama Kitila(?)nafikiri pia huyu Dr wakati alitaka tu kujionyesha kuwa anamjua Mbeki ndani nje na mwishowe kaharibu wakati ambao wengine wangetumia kuuliza maswali,unapomuuliza mtu kwa kurejea mambo yake binafsi ana haki ya kuhamaki ,na sawa hata yeye Kitila umuulize swali na kwa kufuata mambo yake binafsi tena yanayohisi kifo sijui kama angefurahi.Kwa mila mambo ya vifo yanayomhusu mlengwa hayaletwi kwenye mijadala,huo ni kukosa heshima na adabu

Mkuu.
Unaonekana umeandika kwa jazba sana! Lakini naomba nikuulize kitu hasa baada ya kusema kuwa Dr Kitila Mkumbo kauliza maswala binafsi.

Je, Mbeki aliposema kuwa vifo vingi vya ukimwi vilikuwa vinasababishwa na umaskini aliisemea private chumbani kwake akiwa na mkewe au alisema public?

Taarifa za mwanae kufa na ukimwi zilikuwa private au public?!

Mwisho, Alizikwa private au public?! kama majibu ni ndiyo basi Kitila alikuwa sawasawa asilimia 100.
 
Mbeki akielezea uhusiano wa HIV-AIDS.....unaweza kuanzia dakika ya 2:20

 
Last edited by a moderator:
Hapo Kitila alichemsha. Report ya world bank iliyotaka mwaka huu inaonyesha kuwa kuna correlation kati ya kipato na ugonjwa wa UKIMWI.

Correlation is not causation. Unaweza kuonyesha correlation kati ya kula chocolate na nishani za Nobel, hiyo haimaanishi kula chocolate sana kunapelekea kupata nishani ya Nobel.

I understand that there is an argument to be made that HIV/AIDS is linked to poverty (e.g lack of education which is a function of poverty, contributes largely to infection). But Mbeki's original remarks were irresponsibly politicized and dishonest, and in dismissing this question (in light of Dr. Mkumbo's clarification that no personal references were made - how did that even get recorded as so?-) the question remains valid and one that will haunt Mbeki to his grave, if not define him entirely.

Why, now even the buffoon Zuma looks more successful in the HIV/AIDS fight.

While I do not exactly endorse a Pol Pot style anti-intellectuallism, there are some cases - and Mbeki is the prime example- of intellectuallism amok, out of touch with reality, and elitism floating it's head in the clouds.

While the masses suffer.
 
Sababu ya kushamiri ulimwi Botswana ni wafanyakazi wa kwenye migodi hawakupewa elimu ya kutosha na mila na desturi zao zilichangia sana

Chama
Gongo la mboto DSM
kumbe sio umasikini ni ukosefu wa elimu kuhusu maambukizo. kitila yupo sahihi ni tabia ya viongozi wa africa kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu,
 
Sijui Mbeki alijibuje hilo swali lakini mara kadhaa amekuwa akionyeshe reluctance katika kulijibu hilo. Kwenye miaka ya 90 alizua controversy kubwa tu alipoonekana kama vile yupo upande wa wale wanasayansi waliokuwa wanakataa uhusiano wa HIV-AIDS.

Kwa hiyo mpaka hapo sioni Kitila alipokurupuka.

Dr. Wako kachemka mada ilikuwa ni ukimwi?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Nimeshaanza kuwa na wasiwasi na uelewa wa hawa wasomi wetu ambao ndio tunaowategemea,ndugu umeeleza vizuri sana ,huyu Dr Kitila kaonyesha umbumbumbu wa hali ya juu,na nakubaliana na mdau kuwa kuingiza hilo kwenye mambo binafsi huo ni ufinyu wa akili,hasa kwa mtu msomi kama Kitila(?)nafikiri pia huyu Dr wakati alitaka tu kujionyesha kuwa anamjua Mbeki ndani nje na mwishowe kaharibu wakati ambao wengine wangetumia kuuliza maswali,unapomuuliza mtu kwa kurejea mambo yake binafsi ana haki ya kuhamaki ,na sawa hata yeye Kitila umuulize swali na kwa kufuata mambo yake binafsi tena yanayohisi kifo sijui kama angefurahi.Kwa mila mambo ya vifo yanayomhusu mlengwa hayaletwi kwenye mijadala,huo ni kukosa heshima na adabu

kwa imbechili kama wewe utasema hivyo

Mbeki alikua rais wa SA, na alichangia kukandamiza vita dhidi ya ukimwi kwa maimani yake dhaifu, akawa na waziri wa afya mpuuzi, bahati mbaya ukimwi ukafika nyumbani

swali la kitila ni zaidi ya swali kwa watu wenye upeo kimini kama wewe
ni swali la behavioural change
ni swali la imani
ni swali la sera
ni swali la kisaikolojia
ni swali la results
ni swali la binafsi
na kikubwa zaidi ni swali la kuonyesha kwamba urais ni zaidi ya kuwa mvaa suruali na kukamata unachotaka tu

YOU SHOULD LEARN TO UNDERSTAND QUESTIONS CONTEXTUALLY
 
Dr. Wako kachemka mada ilikuwa ni ukimwi?

Chama
Gongo la mboto DSM

UKIMWI ni janga, janga kwa SA linaathiri kila sekta kuanzia uzalishaji hadi huduma, kama huelewi hilo au hujui athari za ukimwi basi subiri upaki kwenye yard yako kwa muda utagundua maana ya ukimwi

kuanzia workforce, care and treatment, psychological, system impact, economic impact etc.... chama unazidi kuthibitisha una matatizo makubwa ya upeo
 
Dr. Wako kachemka mada ilikuwa ni ukimwi?

Chama
Gongo la mboto DSM

Mada ilikuwa kuhusu African leadership. Mbeki alitoa kauli za kuhoji uhusiano wa HIV-AIDS akiwa bado raisi wa Afrika Kusini - position ambayo ina influence public policy.

Na swali lilihusu kauli zake alizotoa wakati yeye (Mbeki) bado ni kiongozi wa nchi hiyo. It was a pertinent question.
 
kumbe sio umasikini ni ukosefu wa elimu kuhusu maambukizo. kitila yupo sahihi ni tabia ya viongozi wa africa kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu,

Unongea vitu usivyovielewa tafuta jingine

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Ndugu zangu, mimi ninachokiona hapa ni kwamba hatupaswi kuwa na majibu mepesi kwa masuala magumu hasa yanayogusa jamii. Viongozi wanapaswa kuangalia dhamira zao kabla hawajatoa matamko mazito bila kujiridhisha na uhalisi wake pamoja na athari zake katika kwa jamii nzima na vizazi vyake. Yamkini alipokuwa akisema ngono haiambukizi ikimwi, alitamka kwa ushabiki na shibe ya umaarufu wa kisiasa. Ninasikitika kwamba kaumizwa na swali la Dr, lakini kama angepata nguvu kidogo angetoa tamko la ukanusha mzaha wake ili kuwasaidia wanasiasa na wahanga wa matamko yanayoashiria ulevi wa sifa.
 
UKIMWI ni janga, janga kwa SA linaathiri kila sekta kuanzia uzalishaji hadi huduma, kama huelewi hilo au hujui athari za ukimwi basi subiri upaki kwenye yard yako kwa muda utagundua maana ya ukimwi

kuanzia workforce, care and treatment, psychological, system impact, economic impact etc.... chama unazidi kuthibitisha una matatizo makubwa ya upeo

Hakuna anayekataa kama Ukimwi sio janga hapa tunazungumzia swali alilouliza Dr wenu!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Gongolamboto, unaleta siasa. Nipo kwenye field hii kwa muda mrefu sasa. Mbeki thesis yake imekuwa kwamba hakuna uhusuano kati ya hiv na aids na kwa hivyo akadai kwamba arvs ni sumu, ndio maana akaweka kizingiti hizi dawa zisiingie nchini mwake. Haya mambo yapo wazi hata kwa google tu. Soma acha uvivu!
 
Hamsumbui vichwa vyenu kufikiria swali la Kitila Mkumbo (Kama kweli aliuliza). Kama Thabo Mbeki alisema UKIMWI ni ugonjwa unaotokana na umaskini inakuaje mtoto wake (ambaye si maskini) afe kwa UKIMWI? Hili ni swali lenye mantiki sana maana kauli hiyo ya Mbeki ilizua mjadala sasa ukipata fursa ya kumuuliza lazima ujue kama bado ana msimamo huo au ameubadili. Sioni sababu ya Mbeki kujaa povu angekuwa muungwana tu na kujibu maswali.

WOWOWO,
Kwa faida ya JF naomba ututajie jina la mtoto wa Thabo Mbeki aliyekufa kwa HIV.
 
Last edited by a moderator:


In Econometrics and Mathematical Statistics correlations can be used to show causation.

Which is not to say that correlation equals causation.

In set language, causation is a subset of the larger set of correlation. Cases of causation are correlated to the results, but there are many other cases correlated to yet many other cases with no causation. The chocolate example above isa fine testimony.

One can simplify this by saying say all causations are correlated but not all correlations are causations.

"Binadamu wote ni bipeds, lakini kuna bipeds si binadamu" style.
 
Back
Top Bottom