Mhadhiri Mwandamizi wa UDSM, Dr. Kitila Mkumbo jana alimpa wakati mgumu Rais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki.
Hiyo ilikuwa ni katika wakati wa maswali kwa Mbeki baada ya hotuba yake katika ukumbi wa Nkrumah wa UDSM.
Swali la Dr. Kitila lilijikita katika kauli ya Mbeki, wakati akiwa madarakani, kuwa UKIMWI hauenezwi na ngono ila shida na umaskini wa wananchi. Dr. Kitila alimkumbusha Mbeki juu ya kifo cha mtoto wake (wa Mbeki) kilichosababishwa na UKIMWI. 'Unaendelea kusimamia kauli yako?' aliuliza Dr.Kitila
Mbeki aliacha kujibu hilo swali. 'I will not respond to that pinching question' alisema Mbeki. Na hapo ndipo ukawa mwisho wa maswali kwa Mbeki ingawa swali la Dr.Kitila lilikuwa la pili tu.Prof. Mukandala alimaliza muda wa maswali ghafla
Thabo Mbeki ni JEMBE haswa!! angejibu angechukua muda lakini siyo kwamba alikosea au hajui.
Tumeshajiuliza maswali haya?
What is causing the epidemic of HIV/AIDS?
Why Africa is more vulnerable than Europe/US? Kumbukeni kuwa hawa wenzetu umalaya ni kawaida ref> "sexual tourism in Thai and the like"HIV/AIDS infection vulnerability is beyond sex!!!!
I = N x P x T
where I is probability of sexual infection,
N is the number of partners= kwa wale mlioishi ughaibuni na wanaofahamu hawa watu weupe mnalo jibu hapa!!
P is the prevalence rate in the population, and
T is the per-contact transmission risk, which is assumed to be the same for every population.
lT = V + C + (or T = V x C +)
risk of transmission = vulnerability + contagiousness
lV = f {standard risk, H, M, F, TB, STD,
SCH, . . . }
Tafiti zimeshaoneshwa kuwa uwezekano wa maambukizi (vulnerabilities) huongezeka kukiwepo na Utapiamlo wa hali ya juu, kichocho, magonjwa ya zinaa, malaria, TB, na magonjwa yote kwa ujumla. Hii ni nini kama siyo umaskini?
Ninampenda THABO kwa kutufumbua macho mapema.
Uhusiano wa maambukizi ya UKIMWI na Umaskini ni mkubwa kupita kiasi. Thabo alipingwa na anapingwa na Mashirika ya KIFISADI yaliyotumia janga la UKIMWI kama mtaji! wa kufisidi!!. Hadi miaka hii ndipo tunapohusisha UKIMWI na maendeleo. MY take THABO was absolutely right! we were myopic that time.
UKIMWI unasababishwa na UMASKINI na Unasababisha UMASKINI.