kitila alipaswa kujua kwamba Mbeki alivyosema ukimwi ni ugonjwa wa maskini alisema kwa muktadha gani.kwa mfano; wakati mtu anakemea uzembe wa madereva, anaweza kusema "ajali barabarani husababihwa na uzembe wa madereva" sasa hapa haina maana kwamba ni kila ajali itakayotokea itakuwa ni usembe wa dereva lakini kulingana na mazingira ya kauli;kauli inakuwa ni sahihi.Sasa mbeki alipo sema vile. alitaka kuonyesha kwamba umaskini una mchango mkubwa katika kuenea kwa ukimwi;kitu ambacho kina ukweli.
Lol @ (suppressing a yawn)
Kisha anaona huyo Mkumbo ma swali lake la kujitutumua la kumweka kona zizini katoka kaliwacha geti la zizi wazi
Katoka mdogo mdogo kwa tambo, kuwa Mkumbo kafuata mkumbo wa Wazungu tu, data zake si lolote si chochote
Mwanasiasa mkongwe hakosi a trick or two za kuwapumbazia wanagenzi kwenye mambo
lini unafanya mtihani wako wa kidato cha IV? keep your dictionary with you all the time, it might help you to get F. please do it. Bomberclaad
Hakuna badili yoyote iliyopatikana iwapo watu hatutapewa jibu kamili la Mbeki tukalitendea haki kama tulivyopewa swali kamili la Dr. Mkumbo (hatimae)
Utajuaje, kuwa hakutumia hizo data za Wazungu kuonyesha kuwa hazina mantiki yoyote ya kuweza kutumika kujengea hoja?
Kwa mujibu wa swali la Dr.Mkumbo, hoja yake nzima inabebwa na data hizo. Kama hatujapewa jibu la Mbeki kwayo, tutakuwa hatutendi haki
Alianza kwa kufunguka kuhusu data baada ya kusema ni pinching question ....
Tupeni "kideo" hapa kabla watu wengine hawajaanza kuondoa chombo wakiwa bandari ya nchi kavu, kutuhanikiza kwa sifa (inyopakwa kwenye chombo) bila ya kuwa na chambo mbali ya shombo
There is absolutely nothing dignified about not answering a very pertinent question. It is a cop-out.
You have to look at this from the perspective of ""no comment" is a comment".
Extra, extra.Read all about it. "Mbeki Remains Unrepentant".
Mbeki alisema "that pinching question" halafu pia akasema "you have the wrong information." Ni information gani ya Kitila ambayo Mbeki alisema si sahihi? Nini kingine alichosema Mbeki, nini kingine alichokisema Kitila?
Tanzania ni nchi duni sana kiteknolojia ya habari, kitu kimetokea mchana, mjini Dar-es-Salaam, kwenye mkutano wa wazi Chuo Kikuu, halafu hakuna ushahidi wa sauti ama picha ya video ya kilichojiri.
Na kwa vile tumeshazoea kulishwa mizoga ya habari potofu basi hatuna tena udadisi wa chochote tunachoambiwa, Kitila ameshutumiwa na Mbeki kwa kutoa taarifa sizizo sahihi, halafu tunamuomba Kitila huyo huyo atusaidie kutuambia nini alisema!
si jambo zuri kumuuliza mtu mambo binafsi hasa yanayo husu misiba iliyompata kwenye mkutano wa hadhara halafu wa kisomi.nani kakufanya kuwa mjibu masali ya thabo mbeki? inamaana mbeki mwenyewe hakujua alichokuwa akikielezea na wakati wa majibu ndipo amabapo angetoa ufafanuzi?
Indeed hence the former president's succinct response encapsulated that answer that is already out there in the public domain for all and sundry to see - he could have arrogantly and dismissively say, 'boy go and do your homework', but out of the composed and calculated wisdom of age he let the fragile and fiery passion of youth learn to get the point without ruffling feathers.
si jambo zuri kumuuliza mtu mambo binafsi hasa yanayo husu misiba iliyompata kwenye mkutano wa hadhara halafu wa kisomi.
inakuwa inaudhi mtu anataka kuleta upotoshaji tena kwa kurejea kwa msiba wa mtu wako wa karibu huku ukiwa na uhakika kwamba alikuelewa ulichosema.Sasa kwanini asingesimamia kauli yake?
Mbeki just passed another opportunity to mature intellectually.
Wewe mwenyewe mbona haya uliyasema nusu nusu?Sasa mimi sielewi kwa nini watu hapa JF wameanza kuwa na tabia za kujadili mambo nusunusu
Ukweli ni kwamba Mzee Mbeki alijibu swali lakini alisema angehitaji muda zaidi kufafanua. Aliendelea kusisitiza msimamo wake kwamba 'AIDS is a syndrome caused by many conditions'. Lakini tofauti na nyuma this time around alitaja, kimakosa, kwamba HIV kama moja ya conditions zinazosababisha AIDS. Kuhusu utafiti niliomtajia wa wana sayansi wa Havard alisema kwamba kuna utafiti mwingine unaopingana na huo, na akaahidi kunitumia ripoti yake.
are you stating or, rather, insinuating that the last of the african philosopher kings is immature intellectually?
mkumbo's latest post on the matter renders your premature claims on mbeki utterly null and pathetically void!
Huwezi kusema swali la msiba halikuulizwa, nukta, kwa mujibu wake. Inasemwa: swali la msiba halikuuliwa, koma, kwa mujibu wake.Hizi habari za msiba hazikuulizwa, soma Dr. Mkumbo kaweka swali zima lilivyoulizwa. Kwa mujibu wake.