Dr. Kitila ampa tabu Thabo Mbeki

Mwanagenzi ni mtu anayejifunza stadi fulani chini ya mwalimu.

Kauliza genzi sio mwanagenzi


* Pia, si lazima awe anajifunza chini ya mwalimu. Hata akijifunza mwenyewe tu anatambulika kama mwanagenzi.

Na mwanagenzi inaweza kumaanisha mwanamke ambae ni mjamzito kwa mara ya kwanza pia

Ahsante
 
Mkuu Ritz nadhani Kitila alipitiwa tu kwa hilo, mtoto aliyekufa kwa HIV/AIDS ni wa Mzee Nelson Mandela aitwaye [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]MAKGATHO Mandela[/FONT].Hata hivyo, hoja yake bado ni valid na nzito maana Thabo Mbeki ni controversial figure kwenye HIV/AIDS. Ana historia tata sana kuhusu ugonjwa huu na atabaki kuwa kwenye historia. Jaribu kupitia hii link kidogo uone utata na misimamo ya Mbeki kuhusu HIV...Thabo Mbeki – Journ-AIDS
 
Last edited by a moderator:
Mkuu eti Hilo ni Jembe la CCM Online ha ha ha yeye anauliza swali akirefer Uzushi na wakati Dr. Kitila ameshafanya clarification
Mkuu,mie huwa napata taabu sana nikiwa natafakari uwezo wa kujenga hoja wa haya majembe ya CCM,nikianzia na huyu kiongozi wao Ritz,Rejao,Zomba,Tume ya Katiba,Chama na wengine,hebu wafuatilie,utakuja kila hoja dhidi ya Serikali au Uislam basi wao huacha hoja na kumuatack mtoa hoja wakimhisha na CDM hata kama CDM haijatajwa!
 

Mkuu WOWOWO Hakuna Sehemu Kitila Mkumbo amesema kwamba Kuna Mtu Huko Afrika ya Kusini amekufa kwa Ukimwi. Nasema Hakuna Dr. Kitila hakusema kwamba Mtoto wa Mbeki amekufa kwa Ukimwi

Magamba acheni Propaganda Mbuzi
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Ritz ni UAMSHO ana frustration maana hata huko CCM hawatakiwi

"Bye Bye UAMSHO" Nnape Nnauye
 
Last edited by a moderator:
Mkuu WOWOWO Hakuna Sehemu Kitila Mkumbo amesema kwamba Kuna Mtu Huko Afrika ya Kusini amekufa kwa Ukimwi. Nasema Hakuna Dr. Kitila hakusema kwamba Mtoto wa Mbeki amekufa kwa Ukimwi

Magamba acheni Propaganda Mbuzi

Nimekusoma Mkuu Albedonadhani mleta uzi katupotosha hapo juu.Otherwise Swali la Kitila kuhusu HIV/AIDS kwa Mbeki ni la msingi sana maana huyu mzee ana historia na misimamo ya pekee kuhusu ugonjwa huu
 
Last edited by a moderator:

Acha uvivu jomba,wewe ndio umemuatack Dr Kitila kabla hata ya kusoma vizuri swali kama lilivyoulizwa kwa usahihi na Dr,ulichofanya ni kusoma uzushi wa mleta mada halafu ukarukia kuchangia.Nakushauri upunguze papara,soma michango yote ya wadau wa uzi,kisha uchangie maana unaweza kukuta unachozungumza kumbe kimeshasemwa mara nyingi katika post hiyohiyo,Haya anza sasa safari ya kupitia kila post ktk uzi huu,hapo ndipo utajidharau!
 
Mimi lazima nimfunze kwa kumtilisha irabu ili asisahau siku nyingine;

Bwana Mkuu wa Chuo, genzi kwenye Mkurugenzi ina maana gani kwani?

Au kama hilo ni gumu, Mkurugenzi maana yake nini?

Mkurugenzi ni mtu ambaye ni kiongozi.
 
Kauliza genzi sio mwanagenzi


* Pia, si lazima awe anajifunza chini ya mwalimu. Hata akijifunza mwenyewe tu anatambulika kama mwanagenzi.

Na mwanagenzi inaweza kumaanisha mwanamke ambae ni mjamzito kwa mara ya kwanza pia

Ahsante

nimekwisha kupata Gaijin
 
Last edited by a moderator:

still personal reference ingekuja kama follow up Q na siyo leading Q. Anyway mkuu nafikiri tumekubaliana kutokukubaliana kistaarabu na hii kitu cha kawaida kabisa kwa great thinkers.
 
Mkuu,hebu msome vizuri Kitila,Ameliweka kweye post swali alilouliza kwa usahihi,hakutaja habari ya mtoto wa Mbeki kufa kwa UKIMWI,tena amesema wala hajui jambo hilo,mleta uzi amezusha tu,labla lugha ilimpiga chenga au amefanya makusudi kumchafua Dr.Kitila,Dr. ametafsiri kwa kiswali alilenga nini ktk swali lake hil,Hebu msome tena mkuu!
 

Naunga mkono kauli ya Thambo Mbeki:

Umasikini sio wa mali tu, hata wa maarifa nao ni umasiki.
Lakimi umasikini wa mali ndio unaopelekea hasa umasikini wa maarifa na kuwapo na magonjwa duniani.
Kwa namba kubwa ya waafrika, umasikini wa mali ndio unaopelekea umasikini wa maarifa
 
No, I mean edifying education, just as I wrote.

Don't tempt me to charge tuition now 🙂 .
lini unafanya mtihani wako wa kidato cha IV? keep your dictionary with you all the time, it might help you to get F. please do it. Bomberclaad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…