Dr. Isaack Ndodi: Hisia mchanganyiko

Dr. Isaack Ndodi: Hisia mchanganyiko

Kwanza naomba nirekebishe kidogo,
Dr. Isack Ndodi si Mchungaji bali ni Mwinjilisti. Kuna tofauti kati ya Mchungaji na Mwinjilisti. Dr. Ndodi hajawahi kuwekewa MKONO WA KICHUNGAJI, hivyo yeye si Mchungaji bali ni Mwinjilisti anayefanya kazi ya kueneza Injili ya Bwana Yesu. Pia, Dr. Ndodi ni Mganaga anayetumia Tiba Asilia hasa ya mimea amabayo hata ktk maandiko matakatifu yanashauriwa tuyatumie, kwani haya yenye kemikals yamekuwa na side effects nyingi sana kwetu. Dr. Ndodi hapigi Ramli na ndiyo maana yuko tofauti na Waganga wa Jadi/Kienyeji. Tatizo ni kwamba ni kweli Gharama yake ni kubwa sana, hivyo wengi wenye kuhitaji huduma yake wanashindwa kupata kutokana na gharama yake.

Ni sangoma tu.Amesajiliwa kama mganga wa kienyeji
 
dokta+ mchungaji+ mshauri+ mwalimu = TAPELI
 
Amekuwa mbunifu jamani.Mnataka akale wapi sasa,mwacheni apige sound waleti yake itune.
Ndodi hana uchungaji,uinjilisti,unabii,Ualimu wala Utume wa aina yoyote ana mbwembwe tu.
Tafuta usajili wake uone yupo katika kategori ipi ya kanisa au uganga wa kienyeji.
 
Long time no hear from this multi talented guy. Any current news guys?
 
Nilitoa comments zangu muda mrefu kwamba UKIONA MWANAUME ANAONGEA KWA SPEED NAMNA HIYO UJUE NI TAPELI. NDODI HANA TOFAUTI NA MATAPELI WOWOTE WALIOPO MITAANI. Jambo hili litafahamika vizuri kadri siku zinavyokwenda.
 
hata babu wa loliondo aliingia kwa gear ya dini watu wakamsifu wakapoteza muda wao kushuhudia kikombe leo hii ukizungumzia tu babu wa loliondo hakuna anaekusikiliza nae huyu ni upepo tu utapita tu? nani alikuwepo kipindi kakobe ameanza mambo yake pale kanisani kabla hawajabomoa unaweza kunipa picha yake na sasa yukoje? ilikuwa zamu yake. amini unachokiamini usipende kutawaliwa na mawazo ya mtu mwingine kwa kumuamini kisa kaonekana kwenye tv nyuma la pazia mengi yamejificha
 
Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakimsema vibaya huyu bwana kwa kumlalamikia gharaza zake za matibabu kuwa juu pia wapo wanaosema ni tapeli.
Binafsi sio rahisi kuaminishwa mambo kwa kutumia tetesi bila fact, huyu bwana alikuwa anajulika hasa kwa tiba zake, japo sijawahi kupata tiba kwake lakini niliwahi kumpeleka mtoto ili kujua mchakato wa kupata tiba. Kweli gharama zilikuwa juu ila pia niliambiwa kuwa tiba zake ni hakika.
Naomba wale tu waliwahi kupata tiba ama ndugu zao waseme ukweli kuhusu bwana ndodi.
 
hawa jamaa wamekua wengi sana siku hizi nikweli wamejifunza mwili unavyofanya kazi lakini kujua lakini magonjwa ya maambukizi sio rahisi kutibiwa kwa lishe tu kama wanavyojinadi matibabu ya kikemikali hawayawezi wawachie waliokwenda shule
 
mhm! kuna ukweli lakini sasawale wanaonyamaza kimya bali tunaona vitendo kama babu wa lloliondo nao waitwaje?
Nilitoa comments zangu muda mrefu kwamba UKIONA MWANAUME ANAONGEA KWA SPEED NAMNA HIYO UJUE NI TAPELI. NDODI HANA TOFAUTI NA MATAPELI WOWOTE WALIOPO MITAANI. Jambo hili litafahamika vizuri kadri siku zinavyokwenda.
 
Huyu Dokta/Mchungaji tena kijana ni mfano wa kuigwa.Napenda vipindi vyake vya redio na TV kwa maana anazungumzia mambo ya maisha ya kawaida kabisa.Kipindi chake cha juzi Jumatano kuhusu namna ya kuchagua mchumba kwa vijana wa kike na kiume kilinivutia sana.Laiti angejiunga hapa akaweza kuchangia hizi mada kwenye jukwaa la mahusiano na JF Dr.

Kumbe amerudi,anapatikana TV gani??
 
Wakuu naomba muone angalizo hapa chini.



Inatakiwa tumzungumzie kwa wema!!!!!







Utaona moja kwa moja sina nafasi ya kuchangi wema juu ya mtu huyu. Naomba upanue wigo ya mada hii ili tuweze toa mabaya pia.

Are u kidding? Hv tangu lini binadam wa kawaida akawa mtume.....mhh naona sasa hv ataitwa mungu lol
 
Pdidy haueleweki! Kwanza unamlalamikia Dr Ndodi, Pili unaendelea kupeleka watu kwake; we ni mtu wa aina gani?

Hao unaowapeleka wanapona au ...? Kama yeye amekaa kibiashara hilo ndio jambo la muhimu. tatizo waTZ hatujali muda wa mtu. Inawezekana jamaa yako alikuwa amepewa maelekezo yote lakini akawa mgumu wa kuelewa na akawa anapoteza muda kutaka jambo hilo hilo lirudiwe rudiwe na Dr akaona anampotezea muda wa kulamba 20K.

Tujali muda, kila mtu ana 24hrs per day na usipotumia vizuri uta-lost

Tangu lini mtume akapenda zaid pesa kuliko maslah ya watu wengne....ndivyo mungu alivyomtuma kuja kunyonya maskini?
 
Jamani fuateni njia sahihi toka kwa watu sahihi waliothibitishwa na mamlaka sahihi!
How on earth unaanza kumconsult mtu kama Ndondi?..hadeserve kuitwa dokta!
Tatizo mamlaka husika zinamuacha tu aendelee kupotosha! Bongo tambarare!

True said
 
Hizo trip ni za kujitangaza zaidi. Wanaomwalika wangemchangia kidogo ili gharama zipungue. Kuhusu kumanipulate mawazo ya watu ni kweli kabisa. Wabongo tuna matatizo mengi ambapo ni fursa kwa wajanja kama hao.
Hapana huyu Dr Ndodi ni ghali mno, Basi! Mambo ya kupanda ndege kwenda Mwanza au popote pale hayasababishi awe ghali kivile, dawa zenyewe limao, mapapai, kitunguu swaumu, tangawizi, ughali uko wapi hapa. Kutuibia tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom