Watanzania bwana, siku moja niliwahi kumsikiliza huyo Dk. Ndondi akizungumzia kuhusu digestive system ya binadamu, nilicho sikia humo sikuamini masikio yangu - nakajiuliza hivi huyu mtu anajuwa anacho zungumza humu lakini! Je anajuwa kwamba kuna watanzania wengi wanao juwa vizuri maswala hayo vizuri tu na siyo kuleta mambo ya "SANGOMA"
Mwishowe nika-conclude kwamba huyu mtu kitu anachofanya ni kusoma vitabu tu kuhusu vyakula na athali zake lakini uelewa wake kuhusu jinsi ya internal organs za binadamu zinavyo fanya kazi ni mdogo sana, sema Mungu amemjalia kuwa a good orator (mzungumzaji/muhigizaji).
Kama wenzangu walivyo zungumza kwenye forum hii tatizo letu watanzania ni wavivu wa kusoma, matatizo yote kuhusu vyakula, magonjwa, madawa na ushauri wa bure wa kisayansi kutoka kwa watu walio elimika kweli kwenye fani hizo vyote hivyo vinapatikana humu kwenye internet huitaji watu wenye questionable qualification kukupa ushauri.
Chunga sana watu wanao sema dawa ya kutibu ubongo tunayo, yakutibu ini tunayo, yakurudisha uterus hata kama hilitolewa na mdaktari tunayo, kongosho tunayo, enzymes zote tunazo, red/white cells tunayo, serum tunayo; in short take heed of master of all trade it may cost you an arm and leg at the end of the DAY.
Sikatai wasifanye kazi zao lakini wa ache ku-exaggerate huwezo wao wakumbuke watanzania wa sasa hivi siyo wa miaka ya arobaini na SABA, alafu anapo zungumza kwenye radio au television anapashwa kuwa mwangalifu anayo yaongea, nampa ushari huo wa bure, kama yeye ni Mtu wa Mungu anapashwa kuwa mkweli anayo yajuawa/yaweza aseme anayajuwa hasiyo yajuwa vizuri hakili kwamba kusema kweli hayajuhi kiundani, hakuna atakaye mcheka.